Wakati Ulaya ukristo uliingia karne ya kwanza kupitia mitume watakatifu wa BWANA Yesu Kristo; Afrika ya weusi ukristo hardly hauna zaidi ya 200 yrs! 200 vs 2000 muwe sawa kweli? Afrika bado; at least 1000 yrs ahead kutoa Papa.huwezi kuwa papa mweusi kwenye nchi ambazo hazijakidhi viwango vya ulimwengu
Jitulizeni ,labda Mandela angekuwa kardinal
Nimeongea kwa mifano maana mna macho hamuoni; mna akili hamuelewi. Enyi vipofu na viziwi!INEC imeingiaje ? Hapo
Maswala ya kuchaguliwa papa na INEC yanahusiana vipi ? pengine ndio maana sijakuelewa kwakua mimi nataka kufahamu sababu za msingi kwanini mtu mweusi hawezi kupitishwa ili achaguliwe kuwa papa
Daah, nimecheka kibreaking news, ccm mwaka huu kazi wanayoGoogle kitu kinacho itwa CCM ndiyo utajua ni kitu ambacho hakiwezekani
Aliishawahi kutokea huko nyuma, labda asitokee tena huko mbeleni!Sidhani kama atakuja kutokea papa mweusi
But wazungu kamwe hawatamkubali, wakimkubali basi dunia itachukua uelekeo mpyaWadau hamjamboni nyote?
Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza.
Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa
Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian prelate and cardinal of the Catholic Church who has served as chancellor of the Pontifical Academies of Sciences since 2022.
He was president of the Pontifical Council for Justice and Peace from 2009 to 2017 and the inaugural prefect of the Dicastery for the Promotion of Integral Human Development from 2017 to 2021.
View attachment 3311267View attachment 3311268
Ameen.Sawa.
Sura inatisha hatarii, atakua dikteta huyu.Hiyo Dini ya kibaguzi haitakaa itokee iwe na Papa mweusi Papa mpya ni huyuView attachment 3311388
Ni nani alikwambia kuwa atakuwa Papa mweusi wa kwanza? Unadhani mifumo ya upatikanaji wa Papa inazingatia race?Wadau hamjamboni nyote?
Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza.
Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa
Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian prelate and cardinal of the Catholic Church who has served as chancellor of the Pontifical Academies of Sciences since 2022.
He was president of the Pontifical Council for Justice and Peace from 2009 to 2017 and the inaugural prefect of the Dicastery for the Promotion of Integral Human Development from 2017 to 2021.
View attachment 3311267View attachment 3311268
Sura inatisha lakini Angalau hafagilii ushoga kama Papa FrancisSura inatisha hatarii, atakua dikteta huyu.
Mmmh
Anae kuja ni ana halalisha, stay tuned.Sura inatisha lakini Angalau hafagilii ushoga kama Papa Francis
Hiyo Dini ya kibaguzi haitakaa itokee iwe na Papa mweusi Papa mpya ni huyuView attachment 3311388
Hakujawahi kuwa na papa mweusi wa kutoka afrika,hao weusi unaowazungumzia walikuwa kutoka katika nchi za ulimwengu wa kwanza japo ni weusiAliishawahi kutokea huko nyuma, labda asitokee tena huko mbeleni!
Kwanini?Sidhani kama atakuja kutokea papa mweusi