Mfahamu kwa picha Papa mtarajiwa wa Kanisa Katoliki kutokea Ghana Kadinali Peter Kodwo Appiah Turkson

Ukiamka usingizi utajua kuwa hii si ndoto bali jinamizi mwanangu.
 
Walishawahi kuwepo Papa watatu kutoka Afrika nao ni Pope Victor 1 kuanzia mwaka 189 mpaka 199, Pope Miltiades kuanzia 311 mpaka 314 na Pope Gelasius 1 kuanzia 492 mpaka 496.
 
Acha upuuzi na uzushi, nani kakuambia ni Papa mtarajiwa?
 
Utajua hujui...
Ni moshi ndio inachagua papa au laa
 
Hakujawahi kuwa na papa mweusi wa kutoka afrika,hao weusi unaowazungumzia walikuwa kutoka katika nchi za ulimwengu wa kwanza japo ni weusi
Three Popes have come from Africa—all during antiquity. Those pontiffs—Victor I, Miltiades, and Gelasius I—came from Africa Proconsularis.

Ushahidi wangu huo. Nawe leta wa kwako.
 
Ni ngumu mtu mweusi kuchaguliwa kuwa papa mizimu ya kizungu haiwezi kuruhusu 🤣🤣. Nimehuzunishwa na kuchekeshwa kwa pamoja na comment za wananzengo 🙌🤣🤣🤣😪😪.
 
Nmeuliza swali "Kwanini" ?

Maana yake nahitaji kujua sababu,
Kila mmoja anampigia kura mwenzake kwahiyo kati ya hao 135 atayepata kura robo tatu ndiye anakuwa papa, na kuanzia mzinguko wa kwanza hampati majibu ni nani kaongoza au nani kapata kura chache ila mnaambiwa tu zoezi bado linaendelea.
 
Unadhani papa anachaguliwa kama mwenyekiti wa ccm?
 
Yakibaguzi kivipi wakati kura zinapigwa? Mbona kwenye mpira hamshangai kwanini kombe la dunia lilichezwa mara moja africa? Na huchezwa kila baada ya miaka mitano? .... Kama dunia haitaisha ipo siku atapatikana pope mweusi
Na hapo ni kwa upendeleo maalum bila hivyo ingekuwa ndoto mpaka leo
 
Mkuu sio kweli kwamba hapajawahi kuwepo na papa mweusi, walishawahi kuwepo tena zaidi ya mmoja. Na yesu mwenyewe alikuwa mweusi! Fanya utafiti wako vizuri.
 


Ukiona sinema ambayo ina imitate rituals, za taasisi husika na ikashinda tuzo kadhaa.

Elewa sehemu kubwa ya story ni established facts (kama umeangalia hiyo movie, Bishop wa Nigeria alikuwa among the contenders).

Watanzania acheni huu upuuzi wa kubuni vitu kutoka vichwani mwenu. That’s not how the world works.

You have to learn how things work. Kuna siasa humo kwenye conclave balaa.

Watanzania kwao kila kitu rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…