Mfahamu kwa picha Papa mtarajiwa wa Kanisa Katoliki kutokea Ghana Kadinali Peter Kodwo Appiah Turkson

Ikitokea basi chukuwachakomapema hawashindi uchaguzi 2025!
Ndoto za alinacha!
Na kama unaota amka haraka!
 
Shida kubwa ubaguzi wa langi umekita mizizi ndani ya Vatican akuna chengine akuna cha kutetea!!!

ukisoma history ya Mapapa uyu Francis ndio wa3 kutoka nnje ya Italian wote wenginei walikuwa ni made Italian japo awa 3 ndio wamelipa hishima kubwa kanisa wakiongozwa na JONN Paulo 11 !!!!

wengine wote magumashi tu kias yukin angepatikana kutoka Afrika Kanisa lingepata heshima kubwa zaid. Lkn Ubaguzi wao kwa mweusi !!!

Lkn tatizo lengine awa weusi wenyewe wapo tayali kuongozwa na mweusi kama wao au utakuja kushangaa weusi ndio wakwanza kumdhalau PAPA mpya.!!!!

Wanataka Mzungu Sababu kubwa ipo apa iman yenyewe imejengeka ktk misingi ya kumtukuza MZUNGU siajabu watu weusi kumkataa mweusi mwenzao!!!!!!
 
Walishawahi kuwepo Papa watatu kutoka Afrika nao ni Pope Victor 1 kuanzia mwaka 189 mpaka 199, Pope Miltiades kuanzia 311 mpaka 314 na Pope Gelasius 1 kuanzia 492 mpaka 496.
Gealasusi alikuwa wa nchi gani
 
ukisoma history ya Mapapa uyu Francis ndio wa3 kutoka nnje ya Italian wote wenginei walikuwa ni made Italian
Papa Francis pia ni mitaliano
Wazazi wake wote ni waitailiano waliohamia America ya kusini
 
Kumchagua papa lazima iwe strategic move, na target ni ku-maintain wafuasi wa america ya kusini na kati ambao ni karibu theluthi 2 ya wakatoliki wote duniani.. kumchagua wa asili ya africa itawafanya waanze wapoteza hawa wafuasi. Kule wapo sensitive na race, sio kama sisi.
 
Walishawahi kuwepo Papa watatu kutoka Afrika nao ni Pope Victor 1 kuanzia mwaka 189 mpaka 199, Pope Miltiades kuanzia 311 mpaka 314 na Pope Gelasius 1 kuanzia 492 mpaka 496.
Walitokea Afrika ila hawakuwa weusi.
 
Ushahidi?
Jorge Mario Bergoglio was born in Buenos Aires, Argentina, and was the son of Italian immigrants. He was named a Cardinal by Pope John Paul II in 2001 and was elected pope on March 13, 2013. Pope Francis was the first non-European pope in more than a millennium and the first Latin American pontiff.
 
Miaka ya nyuma kulikuwa na Mapapa walevi wacheza kamali Mchana mwengine usiku mwengine !!!

wapo mapapa wamepigwa risasi na Vatican wenyewe baada ya matendo yao machafu kuvuja kwenye jamiii !!!!

uko Vatican ipo list ya Mapapa awawaesabu kama nao walikuwa Mapapa japo ukweli walikuwa Mapapa !!¿¿¿¿¿

Italian ndio Mafya wakuu duniani wameweka wauni wao kuwa Mapapa zaid ya 10. Miaka ya nyuma Ikulu ya Italy yenyewe ilikuwa chini ya Mafya¿¿¿

wamwisho ktk mafya ndio uyu Silvio Berlusconi
 
Kila la kheri....
 
Wewe ulisema Pope hutokea nchi zinazotoa sadaka nyingi. Nataka ushahidi juu ya hili.
 
Wazungu wanajua msimamo wa waafrika kuhusu mapenzi ya jinsia moja,lazima wawaletee mwenye uelekeo kama wa Papa Fransis
 
Wote mnaowafikiria watakua papa sio mapapa yaan anaechaguliwa kua papa ni yule ambae watu hawakumtarajia hao wooote mnaowaona kwenye mapichapicha sio mapapa na hawatokuja kua mapapa papa ni mtu asietarajiwa ni mtu ambae hata mwenyewe hakutarajia kua atapata cheo km hicho ila anabebeshwa mzigo niseme ni yule alie mdogo kuliko wote ila ndani yake ni mkubwa kuliko wote kiimani ndio anaweza kua papa hao wakubwa wakubwa mnaohisi wanaweza kua mapapa sio kweli mtamshangaa papa mpya, yule George mwenyewe aliefariki hakutarajia km yeye ndio atakua papa akajikuta tu amebebeshwa mzigo wa upapa
 
Inawezekana lakini matumaini ni kidogo!
Ikitokea huenda wanaweza kumwua.
 
Kwasasa aitowezekana tena Italia kutoa PAPA baada ya wale wawili kutoka nje ya Italy yani Poland jonn Paul 11 mwenye heshima kubwa Duniani !!!

akaja kutoka Ujeruman Benedict ambaye amejiudhulu mwenyewe japo wote awa ni Ulaya !!!!!

sasa uyu Francis ndio wakwanza kutoka nje ya Ulaya Bala American ndani ya Argentina !!!!

. Maswali kwasasa Bala lipi litatoa au zamu ya Asia tutegemee kutoka Philippines
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…