Mfahamu kwa picha Papa mtarajiwa wa Kanisa Katoliki kutokea Ghana Kadinali Peter Kodwo Appiah Turkson

Papa Francis pia ni mitaliano
Wazazi wake wote ni waitailiano waliohamia America ya kusini
Ni kweli mkuu kiini macho kudai katoka Bala American kwanza kule akukuwa na Wazungu ila soga zao tuuu !!!

mwisho anaweza kutoka Afrika lkn akawa mzungu !!! tukashikwa bumbuwazi
 
Huo siyo uchaguzi wa kisiasa kiasi kwamba muanze kubashiri. Kanisa Katoliki haliko hivyo mkuu! Hivi ni nani alikuwa anamjua Cardinal Papa Francis
Kanisa Katoliki haliko hivyo mkuu! Mtabashiri mpaka mtachoka. Ni nani alikuwa anamfahamu Cardinal Jorge Mario Bergoglio (Papa Francisko).
 
Yupo father Rafiki yangu sana pale Dodoma anaitwa Father Vincent kijiji cha Matumaini anatokea pia Italy wanafanana sana sana na uyu PAPA Francis

sijui ata nisemeje nikama mapacha ktk ma Father nawaeshimu sana uyu namba 1 Vincent !!!

kile kituo kinalea watoto yatima wengi wao wazazi wao walikufa na HIV kutoka maeneo mbalimbali ya TZ nimetembelea kile kituo mala kadhaa nikipokewa na Father Vincent na kujifunza mambo mengi kutokea apo !!!!

ndio mana usemaga nitakuwa wa mwisho kurusha ndogo kuusu R.C.. linamambo mengi yakumpigania mtu mweusi pamoja na Ubaguzi wao uliojikita tangu na tangu uko mwanzo wake..

lkn Wanasaidia jamiii sana kwa kiwango kikubwa sana.. nimetembeya maeneo mengi ya vituo vyakufanana lkn pale kwa Father Vincent nimepapenda sana kuna uduma zote !!!!

apo apo ndani watoto wanaofanya vizuli kwenye mitiani yao upewa dhawadi mbalimbali za kuwafanya wapiganie namba ktk 10 bora,,
 
Eti papa mtarajiwa...MNAUMWA NYIE...mnadhani kupata papa ni rahisi na usanii kama wa ccm .? mnaijua Vatican nyie?? Mambumbumbu.
 
Eti papa mtarajiwa...MNAUMWA NYIE...mnadhani kupata papa ni rahisi na usanii kama wa ccm .? mnaijua Vatican nyie?? Mambumbumbu.
Waache warukeruke! Wanafikri pale ni Tanzania Assemblies of God au Full Gospel Bible Fellowship?
 
INEC imeingiaje ? Hapo

Maswala ya kuchaguliwa papa na INEC yanahusiana vipi ? pengine ndio maana sijakuelewa kwakua mimi nataka kufahamu sababu za msingi kwanini mtu mweusi hawezi kupitishwa ili achaguliwe kuwa papa
Wazungu ni racist mkuu haiji kutokea papa akawa mtu mweusi, ukristo sio dini ya watu weusi mkuu huelewi nini ? Jesus Christ hakuwa mweusi na mitume wote hakuna mweusi hata mmoja wbu jaribu kufikiria mastaa
 
Hiyo movies nimeiona asee ni kama imecopy tukio La Kifo cha Papa...So Mayor huwa Papa anapokufa anapropose nani achukue nafasi yake akifariki sio au inakuaje in reality?

Zile siasa ni balaa kwenye hiyo watu waliibua vigisu hata zilizopita yule muafrika asipite 🤣
 
Unaujua mfumo wa kumpata Papa? Hawapigagi KURA wale, kuna kitu kinaitwa MOSHI mweupe, subiri huo.
Halafu, nimeona umesema "askofu mkuu wa Ghana". Roma huaga wana askofu mkuu wa nchi? Wameanza lini?
 
Usiwaamini sana wana tabia ya "kuharibu" watoto, historia ya katoliki imeonesha hivyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…