Mfahamu kwa picha Papa mtarajiwa wa Kanisa Katoliki kutokea Ghana Kadinali Peter Kodwo Appiah Turkson

Ma kadinali wa kwenye hiyo movie wanakula fegi kama hawana akili nzuri 😂😂😂
 
Wazungu ni racist mkuu haiji kutokea papa akawa mtu mweusi, ukristo sio dini ya watu weusi mkuu huelewi nini ? Jesus Christ hakuwa mweusi na mitume wote hakuna mweusi hata mmoja wbu jaribu kufikiria mastaa
Kwenye historia tayari kuna mapapa watatu kutokea Africa.

Unasemaje haiji kutokea ? Wewe ndio unajua vizuri hatma ya binadamu na mambo yote kwenye maisha yaliyobakia ?
 
Waafrika wengine wataroga ili Papa awe mweusi 😂😂😂
 
Zamu ya mndengereko
 
Ni heri asiwe mweusi, weusi wenyewe akina askofu kilaini na rushwa za Escrow, aaah hatuwataki bana
Hahaaa anapachekelea akaibe aseme Trump kanimegeaga muamala na sikujua kama ni wizi ulifanyika
 
Wanalea watoto wa masista na watawa wanaozaliwa tz na nje ya tz usihamishe magnolia huendi kwenyenlist ukakuta hamisi au abdala
 
Ni kweli mkuu kiini macho kudai katoka Bala American kwanza kule akukuwa na Wazungu ila soga zao tuuu !!!

mwisho anaweza kutoka Afrika lkn akawa mzungu !!! tukashikwa bumbuwazi
Kuna yule wa Jerusalem ila sio mwarabu wala myahudi bali asili Italian
Nae anatajwa kwenye list
 
Sasa kuna ulazima gani kwa mtu mweusi kuendelea kusali sehemu ambayo anabaguliwa kwa uwazi???

Au kuna ubaguzi mtakatifu
Yaani unafanyia kazi jibu ulilopewa JF na mtu ambaye ni kama wewe tu muuliza swali!
 
Wazungu ni racist mkuu haiji kutokea papa akawa mtu mweusi, ukristo sio dini ya watu weusi mkuu huelewi nini ? Jesus Christ hakuwa mweusi na mitume wote hakuna mweusi hata mmoja wbu jaribu kufikiria mastaa
Papa Victor I, Papa Miltiades na Papa Gelasius I walikuwa blacks/Africans
Unaendelea na kauli yako au tuishie hapo?
 
Hata waganga wooote weusi kutoka duniani kote wakimpigia manyanga hilo jambo haliwezi kutokea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…