Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

Nakazania,

In reality Wanasema wakati jamaa kijana kijana kuna siku alikuwa na demu wake club mitaa ya Boston huko, sasa kuna wahuni wakataka kumzingua demu wakabishana na jamaa afu wakawa kama wamepotezea kumbe wanamvizia mwana atoke club, Baada ya jamaa kutoka (Don yen) akakututwa anazungukwa na wahuni kama tisa hivi
Kiufupi jamaa alinipigia wote mpaka wengine walilazwa
 
Donie Yen-Wing Chun Sifu.
Wachina ni wagumu sana,Donie alipigwa ngumi na Mike Iron Tyson mpaka nikasema kwa mara ya kwanza leo stering anakufa na picha linaisha.
 
Namkubali sana Donnie yen aisee, kuna movie zake nyingine hujaweka hapo sikumbuki vizuri jina ila ni kama pros sijui, anatoka kupigana vita anarudi China na kua mfanyakazi wa hotel,
Though katika IP Man zote napenda sana namba 2 & 3
L.T.O return of the Chen zhen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tiger cage hii movie inaitwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In the line of Duty 4 mbona haujaitaja hapa?

 
Hiyo muvi kitambo sana kibanda umiza nilikuwa naikubali ile mbaya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…