Mkuu, hii mbona kama ni dragon tiger cage ambayo don aliiba pesa hadi akawa anaunguza dolla ili kuwashia sigara??naam na kuna scene walifungwa pingu ikawa wanakimbia pamoja mpaka kwa yen kufika huko mtihani ukawa ni yen kwenda toilet
daahh kitambo 😃😃 sana
sisi wengine le mubebez ni age mate mwenzetu
Ip man namba 2Kuna ile wanaonyeshana ubabe na mzee mmoja nae hua mtata sana wakajikuta wamepasua meza flani ya duara kila mmoja akaruka na kipande chake akaenda kutua kivyake, ngoma ikatoka droo. Hua naipenda sana hii scene. Baadae huyu mzee akaja kuuliwa ulingoni na mzungu flani mjuaji sana na mzungu akaja kukalishwa na mwamba Donnie
Kwa speed hapo muweke jet leeJamaa anangumi spidi utafikiri anaunga juhudi awamu ya tano!
Huyu ni noma mkuu, hua namfananisha na jeshi ambalo liko fit katika sekta zote za mapambano yani "jeshi la anga, jeshi la ardhini, nk.Vp kuhusu mzee wa kupaa hewani jet li
tai chi..acha kabisaHuyu ni noma mkuu, hua namfananisha na jeshi ambalo liko fit katika sekta zote za mapambano yani "jeshi la anga, jeshi la ardhini, nk.
Kikosi cha anga: fong sai yuk, legend of the red dragon, flying swords, taichi, wong fei hung, nk.
Kikosi cha ardhini: the bodyguard, fist of legend, black mask, forbidden kingdom, dan the dod, nk
[emoji3] [emoji3] [emoji3]mwamba huyu tatizo lake kamba nyingi sana kweny action zake kuna moja hiyo alikuwa anamiminiwa risasi km mvua eeeh..si akawa anazikwepa kama anacheza mdako dah.. nilizima tv nikaondoka..
Ha ha hqSasa Rambo lile zeee halijui ngumi, utafananisha na Damme mzee wa round kick?
Donnie yen Kwani tai chi yupotai chi..acha kabisa
HayupoDonnie yen Kwani tai chi yupo
Hii movie ni next generation.mle kuna ngumi ya mtikisikoKuna hii inaitwa crystal hunt,humo unapigwa mkono balaa,dah kwa kweli mi ndio maana hizi movie za kisasa siziwezi kabsa,hasa haya maseason yao
Kwa speed hapo muweke jet lee
Jet li hilo ni jina alipewa kutokana na speed yake watu walikua wanamfananisha speed yake na ndege aina ya "jet"
Ni muigizaji ambaye hajawahi kucheza kama adui katika movie, tafuta "once upon a time in china" wako wote na donie
pia kwenye lether weapon 4 na movie flani hivi yuko na mark darcascosKwa haraka haraka jet le kacheza adui katika movie kama mbili hivi, kuna ile the mummy tomb of the dragon emperor sijui na kuna ile yupo na jason statham sijui inaitwa war, nimeisahau kidogo.