Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen


Tiger cage
 
Tiger Cage Don Yen anapiga mateke matatu akiwa hewani yalimfanya bubu asimame huku akionesha vidole vitatu ubanda.

Another best from him
14 blades
 
Nadhani mtu ambaye hajawai na hataki kucheza kama adui ni jackie chan pekee.

Wengine karibia wote ni mpunga tu.
Kwa haraka haraka jet le kacheza adui katika movie kama mbili hivi, kuna ile the mummy tomb of the dragon emperor sijui na kuna ile yupo na jason statham sijui inaitwa war, nimeisahau kidogo.
 
Yaani uzi mpaka unafikia page ya 3 hakuna aliyeitaja FLASH POINT nakati katika Scene za mapigano za movie zote za Donnie Yen mikono aliyepiga humo hata mwenyewe Don haamini kama yeye.

Hiyo movie ina mkono sehemu mbili tu, Mkono wa mwisho na kubwa la majambazi haujawai kutokea.

Ingia YouTube Search FLASH POINT FINAL FIGHTING.
 
Namfahamu vizuri tulisoma wote na kuish naye utotoni , aisee kitambo Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…