Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Hiyo anayopigana na baunsa juu ya ghorofa ndo hawa wanaisemea wanachanganya na tiger cage japo na humo kalitumia lile baunsa lilikua nomaKitambo sana,, moja aneanda pigana na baunsa mmoja airpot juu ya ghorofa.
Nyingine yule baunsa anapigana nae kwenye cage ya wavu, don alinipigia vichwa mtu ni kisanga
Story ni Tiger Cage....japo sio kuwa demu alikuwa na mishe za kumuua boyfrnd wake bali ni kuwa kuna pesa ziliibwa zikatupwa mahali na yy icho kisanga kilitokea tu kumkuta akiwa kitaa....Movie ya kwanza kuiona ya don ulikuwa ni mwaka 96 nimeisahau jina ila kwa wakati ule ilikuwa ni movie Kali Sana
Kuna scene yupo na demu 1 hivi anaye tafutwa kwa tuhuma za mauaji ya bf wake wakati siye yeye aliye muua huyo bf wake
Ghafla wana kutana na makachero wanao watafuta ikabidi don aanze kuwapa kichapo .. Kuna sehemu demu wakati ana msaidia don alichukua kasha la kuhifadhia. Maua ili ampige nalo jambazi ghafla katika kasha hilo akatokea mjusi ikabidi limponyoke lika mdondokea don kichwani aka zimia
[emoji16] [emoji1] [emoji1]Amelewa huyu mshikenii
Itakuwa inaitwa TIGER CAGEMovie ya kwanza kuiona ya don ulikuwa ni mwaka 96 nimeisahau jina ila kwa wakati ule ilikuwa ni movie Kali Sana