Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

Mfahamu kwa undani Zarinah, mwanamke anayezima Nyota ya Wema Sepetu

I am asking you.

So why are you telling me to do my homework?

We ain't in junior high up in here.

If you know, say so and how. If you don't, zip it.

Sa unapanic nn mkuu?
He gave u a hint km uko interested y don't u do your own homework?dude plz
 
Wema alishauharibu mwili wake na mikorogo na fake chinese booty.

Hawezi kufika umri huo wa Linda akawa na mvuto kama wa Linda sahau hilo kabisa.

Hawa wenzake ni ma-Africast ni rangi zao za kuzaliwa wamezaliwa na rangi za masiah na siyo powered by mkorogo.

Hilo swala la Rangi nakubaliana na wewe...ila huyo Linda mkuu bado sana kisu...utafikiri hana 43yrs.
 
miss you too binamu, zari ndo habare ya mujini... kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha... wapi Dinazarde na Mrembo by Nature.

Zari ndo habareee yani, hatumii nguvu nyingi lakini anakubalika, kweli umaarufu unamfuata...

Diamond alivyopiga show Dar live...watu Zaari, Zaari, tunamtaka zariii...
Ila tatizo nyooota...

Halafu Dinazarde nasikia kawekwa mwarii, kumbe siku zote hizo hajawahi hata kuvunja glass, ndo kaivunja kawekwa ndani na simu kanyang'anywa...

Mrembo by Nature nae nasikia kaenda kuvuna ming'oko ya biashara....ila watarudi tuu...vumilia
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kimantiki nimeleta picha za Linda kuonesha wazi umri siyo ulemavu watu wengi humu wanatamani Zari angetambulishwa ana miaka 22 ili dogo asionekane amepigwa gap kubwa la umri na Zari.

Ukweli ni kwamba Zari ni girlfriend tu wa Diamond having and spending together days of grace lakini hawezi kuwa mkewe huo ndio ukweli.

Kwahiyo hata Zari angekuwa na miaka 60 those are just numbers wapo mademu wana miaka 25 tu na wameshazeeka hata mimi pia siwezi kutoka nao.

Kwahiyo fact ni kwamba umri wa Zari haupunguzi uzuri wake au uzuri wake hauwezi kupunguza umri wake.

Mwisho kwa status ya Zari umri wake wala siyo siri sawa na Diamond mwaka jana kafanya birthday ya kutimiza miaka 25 lakini kujuwa umri wa Diamond haina maana kwanba sisi ndio wazazi wake.

Huyu hapa alishirikiana na wazazi wake kudanganya umri lakini alibanwa na fact na wazazi waliomzaa walishindwa hoja na watu baki ambao hawajamzaa wala kumlea.

I salute u mpwa
 
Mkuu huyu mwana mama namtamani kila siku..ukisikia mwanamke ndio hivyo...
Nasubiria nimuone wema akifikisha umri wa huyo mama jinsi atakavyokuwa

Mamamamae wema akicheza 35 tu majanga aisee she will be a vampire aisee
Honestly sijui kama kuna mwanaune hamtamani Linda
Mungu ambariki sana. Aisee
 
Nimesoma Ivan ana miaka 30 another serengeti boy wa Zari.

Serengeti boy au ndo alikua akimuweka mjini zari?
We have to Show him some respect dude bila Ivan tusingemjua huyu mtoto mzuri aisee
Siju ndomo angekua ananyonya pusi ipi muda huu
 
Dua la kuku hili, unafahamu asset za huyu mwanamke?

Huyu akitimiza malengo yake ambayo anayajuwa mwenyewe ni yeye mwenyewe ndio atakayempiga chini potter wake.

The same applied to peter of Psquare
 
Linda ana mwili mzuri sana by the way amespend nusu ya maisha yake mamtoni.

Kuna wadogo zake wa kiume ukiwaangalia utajuwa wao ndio wakubwa kiumri. Huyu mtoto mashaalah umbaji wa mola hapa unaonekana.

Hakika huyu kiumbe ni moja ya viumbe ambao Mungu alipoteza muda mwingi sana kuwaumba
Dah I wish ule uzima Wa milele nipate
Akifanya hilo kosa la kunitunuku i promise u atanitangaza kila media za mtoni aisee
 
Serengeti boy au ndo alikua akimuweka mjini zari?
We have to Show him some respect dude bila Ivan tusingemjua huyu mtoto mzuri aisee
Siju ndomo angekua ananyonya pusi ipi muda huu

Uzuri wa Zari yeye viserengeti havinunui yeye ndio anachuna kwahiyo huyu mama yuko very strategy kwa hili hana mpinzani na yawezekana Diamond hakumtongoza huyu shori ila demu ndio aliweka nyavu yake Diamond akajikuta ameshanasa.

Nimeangalia sana spy movie wanawake aina ya Zari ni hatari sana wana uwezo wa kumnasa mwanamme yeyote ambaye atamtamtarget na akishakamilisha mishion yake anakudampo tu. Naomba asiwe hivyo anamtumia mdogo wetu kwa hidden agenda iwe wapo kimapenzi kweli.
 
Huwez amin mpwa I thot about this since day one aisee
Ndomo kupandishwa private jet tu kashasanda aiseee
Aangalie sana sawa he is getting advantage sababu umaarufu wake unapaa zaid so as mauzo lkn iblv the queen herself zarina has hidden agenda I just don't knw how to prove t ila ukiunganisha dots tu smthng rings a bell
 
Hakika huyu kiumbe ni moja ya viumbe ambao Mungu alipoteza muda mwingi sana kuwaumba
Dah I wish........................
Atanitangaza kila media za mtoni aisee

No wonder ndio maana alikuwa anakula vichwa first class vya mjini with VIP status.

Nadhani haya ni matoleo ya mwisho ya uumbaji wa Allah.
 
Zari yupo juu! Mzuriiiiiiii kuna mwingine nimeona hapo miguu imekomaa ina vigimbiiii.....
Mtoto Zarina ndo habari ya town. Sura kama malaika dah!
 
Hakika huyu kiumbe ni moja ya viumbe ambao Mungu alipoteza muda mwingi sana kuwaumba
Dah I wish ule uzima Wa milele nipate
Akifanya hilo kosa la kunitunuku i promise u atanitangaza kila media za mtoni aisee

Mkuu wala sikulaumu kwa hilo..huyo mwanamama kajaaliwa...nashangaa wajinga wajinga wanapagawa na nini na wema sepetu.
Huyo mumewe Kama asipompa haki yake kikamilifu atakuwa hamtendei haki yake.
 
Back
Top Bottom