Mfahamu Mateso, mtu mwema wa Msasani aliyeuawa kwenye tukio la ujambazi Mikocheni jirani na Coca-Cola

Mateso alitesa wenzake akasahau ipo siku na yeye atateseka.
Mkuu Heci tunashukuru sana kwa tanzia swafi ya Kaka Jambazi Mateso au Meshach mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni.
 
Huyu anasifiwa sana kwa upole wake. Hizi story nimezipata vijiwe vya bodaboda
 
Mji wangu huo mji wa marehemu Jah Kimbute, mji wa kijana Gomba Gonna, mji wa Sheikh Hassan (aliyekua akienda misri bila visa) mji wa wahaya wa buku tatu, pale macho na mandazi road, mji wenye misikiti mingi, mji wenye maajabu ya maji kujaa ndani kutokea kwa chini, mji wenye uswahili uliopea.

Msasani bana imezungukwa na washua japo yenyewe Kama sambusa, huku ni oysterbay, kule masaki, pale mikocheni, na jirani wa Block 41 mji wenye ubalozi wa Wale watesi wa George Floyd.

Msasani kuchele
 
Umenikumbusha yule Mwenyekiti wa serikali mtaa mama mzungu nilisumbuana naye sanaaa
Hivi bado yupo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Hili ndio lile kundi lilimiminiwa risasi na vijana wa mambosasa ,wakiwa kwenye harakati za kutafuta hela ya sikukuu ya idd...

Ila ndio dawa Yao Kuna kundi la vijana kuanzia Biafra,namanga, block 41,mpaka msasani kazi Yao ni kupiga dili feki,nakujiona wao ndio wajanja.. piga risasi TU sio Zama
 
,..Hukumalizia issue ya Wachina.
Iliishaje?

Kichwa cha Habari cha Post pia hakijakaa vyema... Huyu no MTU aliyewaumiza Binadamu wenzake kadhaa kutokana Matendo yake... Wema wake Unakujaje hapo?
Kwamba alikuwa Robin Hood akiwaibia Matajiri na kuwagaia Masikini?
Tujulishe hapo Mkuu!
Wema wa Jambazi unakujaje?
 
Mji wangu huo mji wa marehemu Jah Kimbute, mji wa kijana Gomba Gonna, mji wa Sheikh Hassan (aliyekua akienda misri bila visa) mji wa wahaya wa buku tatu, pale macho na mandazi road, mji wenye misikiti mingi, mji wenye maajabu ya maji kujaa ndani kutokea kwa chini, mji wenye uswahili uliopea.

Msasani bana imezungukwa na washua japo yenyewe Kama sambusa, huku ni oysterbay, kule masaki, pale mikocheni, na jirani wa Block 41 mji wenye ubalozi wa Wale watesi wa George Floyd.

Msasani kuchele
Msasani sijui hata imekuaje uswazi

Mitaa inayoizunguka msasani yote ya kishua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndio lile kundi lilimiminiwa risasi na vijana wa mambosasa ,wakiwa kwenye harakati za kutafuta hela ya sikukuu ya idd...

Ila ndio dawa Yao Kuna kundi la vijana kuanzia Biafra,namanga, block 41,mpaka msasani kazi Yao ni kupiga dili feki,nakujiona wao ndio wajanja.. piga risasi TU sio Zama
Yeah kokakola

Ova
 
Back
Top Bottom