Mfahamu Mateso, mtu mwema wa Msasani aliyeuawa kwenye tukio la ujambazi Mikocheni jirani na Coca-Cola

Hili ndio lile kundi lilimiminiwa risasi na vijana wa mambosasa ,wakiwa kwenye harakati za kutafuta hela ya sikukuu ya idd...

Ila ndio dawa Yao Kuna kundi la vijana kuanzia Biafra,namanga, block 41,mpaka msasani kazi Yao ni kupiga dili feki,nakujiona wao ndio wajanja.. piga risasi TU sio Zama
Wanapenda vitu vzri Kwa haraka hao

Ova
 
Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar.

Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live.

Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja viwanja. Pia kama umeibiwa na MTENDAKAZI wa mitaa ya Msasani, we nenda kwa John, mbona faster tu unampata mwizi wako. Awe ni Zabibu, Mourine,, Mwantumu, Mwmvita, Irene au MTENDAKAZI yoyote Yule, hapa ndio fungulia keba.

Mateso alikuwa ni MNYIHA WA MBOZI, Kijiji kimoja na Ester Mwampashe, mama Eliza mke wa Willy. Mateso alikuwa bonge la giant, handsome, mpole, mwenye haiba na kada maatufu wa CHADEMA.

Kuanzia Namanga hadi Msasani mwisho alijulikana Kama meneja wa bandari, hamna aliyemshitukia kuwa anapiga kazi za hatari.

Kuna kipindi inasemekana kuwa jamaa alijiteka, kumbe kuna wachina alikuwa anapiga nao dili, wale wachina wakampa begi limejaa pesa , wakamuuliza jamaa, huu mzigo wetu unaweza kutupelekea benki? Jamaa akajibu, “bila hofu”. Wachina wakamkabidhi jamaa begi, kumbe wamefanya ujanja, wamebasilisha begi, alilopewa sio Lile la kwanza, hili chini lilikuwa na makaratasi, juu hela kidogo.

Jamaa akatokomea nalo na Kisha kutangaza kuwa ametekwa, alipokaa na kutulia akagundua kuwa kumbe chini Kuna magazeti.

Mateso alikuwa mtu mwema akisaidia watu na chama pia. Siku moja kabla ya kuuawa kwake, alimuaga mkewe kuwa ana Safari, mke akamuandalia nguo kwenye lasket. Jamaa akaondoka.

Kumbe MATESO alikuwa amechora mchoro na mlinzi wa ghala la GSM Mikocheni jirani na Coca-Cola, akamshikisha mil 1.5 akamueleza na muda atakaokuja na crew Yake. Mateso akakubaliana na mlinzi kuwa watakaofika wakina MATESO watamfunga mlinzi makamba na kumlisha dawa za kulevya ambazo zitamlaza kwa siku mbili. Mlinzi alikubali, lakini akaenda Polisi kutoa taarifa.

Mateso alimtuma kijana aitwaye Mashaka, aende Biafra kukodi Noah, akalamba elfu 40 kwa kazi hiyo.

Usiku MATESO akiwa na wenzake sita Ndani ya Noah, bunduki moja na mitungi miwili ya gesi kwa ajili ya kuvunjia wakawa wanaelekea eneo la kazi.

Jirani na ghala la GSM, kulikuwa na Vitz inabadilishwa tairi. Kina MATESO walipofika, wakashuka na vitendea kazi vyao. Mara kutoka upande ilipoegeshwa ile Vitz, ikapigwa risasi hewani.

Kina MATESO wakajibu, kumbe nyuma yao Kuna difender nne ziko full loaded zinakuja. Jamaa wakamiminiwa risasi za kutosha, akabakizwa MATESO peke yake. Polisi wakamchukua na kwenda kufanya naye mahojiano. MATESO akauliwa kesho Yake.

Ilichukua zaidi ya siku kumi na nne kupatikana kwa mwili wa MATESO. Mateso alisafirishwa na kwenda kuzikwa kwao MBOZI.

MATESO ndio walewale, TUMUGOJE, TUMULESHE? Maana Yake, tumuue au tumuache?

Karibuni Msasani makazi rasmi ya Malaya, matajiri, majambazi, mateja na vibaka.
Wauaji ukaa ukaa viti vya mbele kanisani.Hakuna watu wenye roho nzuri na wema kwa Jamii Kama wachawi na majambazi.Kwa wema Hawa wanaenda mbinguni
 
angekuwa mwanacha wa CCM asinge uwawa

Mateso simjui hanijui..ila anaonekana alikua anafanya ujambazi local sana, na wa kizamani mno. 1.5 kwa mlinzi wa GSM its a peanut. Vitz wakati wa tukio ni wake up call!

Mateso kafa inaonekana kataja vibaka tu hakuna jambazi mwelewa atafanya kazi na mtu wa kariba ya mateso....

All in all, anifurahisha kuwa mtu wa watu na kada wa CHADEMA Ilikua inamuondolea suspicions. Pia inaonekana alikua family man.

Wangemueleza sku hz watu hawaibi na magari, its too risk. Kungekua na piki piki baadhi wangepona nd live to tell the Tale but now, Dead Men tell no Tale.

RIP Mateso, only GOD can judge you!
 
"Mfahamu Mateso, mtu mwema wa Msasani aliyeuwawa kwenye tukio la ujambazi Mikocheni jirani na Coca-Cola"

Hii heading ni kama vile mateso hakuwa jambazi, alikuwa mtu mwema aliyeuwawa kimakosa.
Hahahaha, wakabaji wa msasani hao niliwaacha watoto Leo hadi JF wanandikwa khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar.

Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live.

Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja viwanja. Pia kama umeibiwa na MTENDAKAZI wa mitaa ya Msasani, we nenda kwa John, mbona faster tu unampata mwizi wako. Awe ni Zabibu, Mourine,, Mwantumu, Mwmvita, Irene au MTENDAKAZI yoyote Yule, hapa ndio fungulia keba.

Mateso alikuwa ni MNYIHA WA MBOZI, Kijiji kimoja na Ester Mwampashe, mama Eliza mke wa Willy. Mateso alikuwa bonge la giant, handsome, mpole, mwenye haiba na kada maatufu wa CHADEMA.

Kuanzia Namanga hadi Msasani mwisho alijulikana Kama meneja wa bandari, hamna aliyemshitukia kuwa anapiga kazi za hatari.

Kuna kipindi inasemekana kuwa jamaa alijiteka, kumbe kuna wachina alikuwa anapiga nao dili, wale wachina wakampa begi limejaa pesa , wakamuuliza jamaa, huu mzigo wetu unaweza kutupelekea benki? Jamaa akajibu, “bila hofu”. Wachina wakamkabidhi jamaa begi, kumbe wamefanya ujanja, wamebasilisha begi, alilopewa sio Lile la kwanza, hili chini lilikuwa na makaratasi, juu hela kidogo.

Jamaa akatokomea nalo na Kisha kutangaza kuwa ametekwa, alipokaa na kutulia akagundua kuwa kumbe chini Kuna magazeti.

Mateso alikuwa mtu mwema akisaidia watu na chama pia. Siku moja kabla ya kuuawa kwake, alimuaga mkewe kuwa ana Safari, mke akamuandalia nguo kwenye lasket. Jamaa akaondoka.

Kumbe MATESO alikuwa amechora mchoro na mlinzi wa ghala la GSM Mikocheni jirani na Coca-Cola, akamshikisha mil 1.5 akamueleza na muda atakaokuja na crew Yake. Mateso akakubaliana na mlinzi kuwa watakaofika wakina MATESO watamfunga mlinzi makamba na kumlisha dawa za kulevya ambazo zitamlaza kwa siku mbili. Mlinzi alikubali, lakini akaenda Polisi kutoa taarifa.

Mateso alimtuma kijana aitwaye Mashaka, aende Biafra kukodi Noah, akalamba elfu 40 kwa kazi hiyo.

Usiku MATESO akiwa na wenzake sita Ndani ya Noah, bunduki moja na mitungi miwili ya gesi kwa ajili ya kuvunjia wakawa wanaelekea eneo la kazi.

Jirani na ghala la GSM, kulikuwa na Vitz inabadilishwa tairi. Kina MATESO walipofika, wakashuka na vitendea kazi vyao. Mara kutoka upande ilipoegeshwa ile Vitz, ikapigwa risasi hewani.

Kina MATESO wakajibu, kumbe nyuma yao Kuna difender nne ziko full loaded zinakuja. Jamaa wakamiminiwa risasi za kutosha, akabakizwa MATESO peke yake. Polisi wakamchukua na kwenda kufanya naye mahojiano. MATESO akauliwa kesho Yake.

Ilichukua zaidi ya siku kumi na nne kupatikana kwa mwili wa MATESO. Mateso alisafirishwa na kwenda kuzikwa kwao MBOZI.

MATESO ndio walewale, TUMUGOJE, TUMULESHE? Maana Yake, tumuue au tumuache?

Karibuni Msasani makazi rasmi ya Malaya, matajiri, majambazi, mateja na vibaka.
Mkuu naomba kukuuliza unamfaham Eliza nyawale mwisho kumuona year 2000 na wakati huo alikuwa girlfriend a huyu mateso na eliza naye wa mbozi
 
Chanzo jina utamwitaje mtoto mateso sijui shida waswahili bana R.I.P
 
Sawa sawa ila watu wa msasani waajabu sana ,wana MTU anaitwa Kombo jamaa anatembeza sime na panga daily ,lkn wanamuacha tu

Nasubiri na yy wamuanzishie uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukingilia Mali za watu/serikali utakutana na polisi
Siku moja
Ukiwa mkabaji mporaji wa raia iko siku utakutana na raia washashi[emoji23][emoji23]

Ova
 
Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar.

Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live.

Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja viwanja. Pia kama umeibiwa na MTENDAKAZI wa mitaa ya Msasani, we nenda kwa John, mbona faster tu unampata mwizi wako. Awe ni Zabibu, Mourine,, Mwantumu, Mwmvita, Irene au MTENDAKAZI yoyote Yule, hapa ndio fungulia keba.

Mateso alikuwa ni MNYIHA WA MBOZI, Kijiji kimoja na Ester Mwampashe, mama Eliza mke wa Willy. Mateso alikuwa bonge la giant, handsome, mpole, mwenye haiba na kada maatufu wa CHADEMA.

Kuanzia Namanga hadi Msasani mwisho alijulikana Kama meneja wa bandari, hamna aliyemshitukia kuwa anapiga kazi za hatari.

Kuna kipindi inasemekana kuwa jamaa alijiteka, kumbe kuna wachina alikuwa anapiga nao dili, wale wachina wakampa begi limejaa pesa , wakamuuliza jamaa, huu mzigo wetu unaweza kutupelekea benki? Jamaa akajibu, “bila hofu”. Wachina wakamkabidhi jamaa begi, kumbe wamefanya ujanja, wamebasilisha begi, alilopewa sio Lile la kwanza, hili chini lilikuwa na makaratasi, juu hela kidogo.

Jamaa akatokomea nalo na Kisha kutangaza kuwa ametekwa, alipokaa na kutulia akagundua kuwa kumbe chini Kuna magazeti.

Mateso alikuwa mtu mwema akisaidia watu na chama pia. Siku moja kabla ya kuuawa kwake, alimuaga mkewe kuwa ana Safari, mke akamuandalia nguo kwenye lasket. Jamaa akaondoka.

Kumbe MATESO alikuwa amechora mchoro na mlinzi wa ghala la GSM Mikocheni jirani na Coca-Cola, akamshikisha mil 1.5 akamueleza na muda atakaokuja na crew Yake. Mateso akakubaliana na mlinzi kuwa watakaofika wakina MATESO watamfunga mlinzi makamba na kumlisha dawa za kulevya ambazo zitamlaza kwa siku mbili. Mlinzi alikubali, lakini akaenda Polisi kutoa taarifa.

Mateso alimtuma kijana aitwaye Mashaka, aende Biafra kukodi Noah, akalamba elfu 40 kwa kazi hiyo.

Usiku MATESO akiwa na wenzake sita Ndani ya Noah, bunduki moja na mitungi miwili ya gesi kwa ajili ya kuvunjia wakawa wanaelekea eneo la kazi.

Jirani na ghala la GSM, kulikuwa na Vitz inabadilishwa tairi. Kina MATESO walipofika, wakashuka na vitendea kazi vyao. Mara kutoka upande ilipoegeshwa ile Vitz, ikapigwa risasi hewani.

Kina MATESO wakajibu, kumbe nyuma yao Kuna difender nne ziko full loaded zinakuja. Jamaa wakamiminiwa risasi za kutosha, akabakizwa MATESO peke yake. Polisi wakamchukua na kwenda kufanya naye mahojiano. MATESO akauliwa kesho Yake.

Ilichukua zaidi ya siku kumi na nne kupatikana kwa mwili wa MATESO. Mateso alisafirishwa na kwenda kuzikwa kwao MBOZI.

MATESO ndio walewale, TUMUGOJE, TUMULESHE? Maana Yake, tumuue au tumuache?

Karibuni Msasani makazi rasmi ya Malaya, matajiri, majambazi, mateja na vibaka.
Du we bwana ni FBI?
 
Kama umefika Kidato cha 2, na umesoma somo la Kiswahili, mbona inaeleweka muandishi ana maana gani kwa kutumia kichwa hicho cha habari..
 
Mhhhh Chadema wameungika hapa kumbe hata watu wasiojulikana wanaweza kuwa wamo kwenye chama chetu kutupatia points woow
 
Back
Top Bottom