Malaya tu ila wale matawi badae ndo uswaz
Jina jipya la mboga ya usikuWatenda kazi gani ?
Na bado yupo anaendelea na kazi au nae kauwawa ?
MATESO ndio walewale, TUMUGOJE, TUMULESHE? Maana Yake, tumuue au tumuache?
Umenikumbusha yule Mwenyekiti wa serikali mtaa mama mzungu nilisumbuana naye sanaaaMji wangu huo mji wa marehemu Jah Kimbute, mji wa kijana Gomba Gonna, mji wa Sheikh Hassan (aliyekua akienda misri bila visa) mji wa wahaya wa buku tatu, pale macho na mandazi road, mji wenye misikiti mingi, mji wenye maajabu ya maji kujaa ndani kutokea kwa chini, mji wenye uswahili uliopea.
Msasani bana imezungukwa na washua japo yenyewe Kama sambusa, huku ni oysterbay, kule masaki, pale mikocheni, na jirani wa Block 41 mji wenye ubalozi wa Wale watesi wa George Floyd.
Msasani kuchele
Yupo anakula hela za wauza karanga, maji, kahawa, mihogo na pweza wa pale macho wanamuona nuksi ile mbayaUmenikumbusha yule Mwenyekiti wa serikali mtaa mama mzungu nilisumbuana naye sanaaa
Hivi bado yupo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Duh! Alingiaga kwenye mziki wangu aliucheza alifurahi mwenyeweYupo anakula hela za wauza karanga, maji, kahawa, mihogo na pweza wa pale macho wanamuona nuksi ile mbaya
MpwaaHuyu mtu nilishawahi kukutana naye hapo msasani. Hapo kwa mzee daudi. Mida ya jioni jioni
Ngoja niishie hapa
Ova
Muda wake ushaisha,... babe fulaniYupo anakula hela za wauza karanga, maji, kahawa, mihogo na pweza wa pale macho wanamuona nuksi ile mbaya
Msasani sijui hata imekuaje uswaziMji wangu huo mji wa marehemu Jah Kimbute, mji wa kijana Gomba Gonna, mji wa Sheikh Hassan (aliyekua akienda misri bila visa) mji wa wahaya wa buku tatu, pale macho na mandazi road, mji wenye misikiti mingi, mji wenye maajabu ya maji kujaa ndani kutokea kwa chini, mji wenye uswahili uliopea.
Msasani bana imezungukwa na washua japo yenyewe Kama sambusa, huku ni oysterbay, kule masaki, pale mikocheni, na jirani wa Block 41 mji wenye ubalozi wa Wale watesi wa George Floyd.
Msasani kuchele
KiburudishoJina jipya la mboga ya usiku
Yeah kokakolaHili ndio lile kundi lilimiminiwa risasi na vijana wa mambosasa ,wakiwa kwenye harakati za kutafuta hela ya sikukuu ya idd...
Ila ndio dawa Yao Kuna kundi la vijana kuanzia Biafra,namanga, block 41,mpaka msasani kazi Yao ni kupiga dili feki,nakujiona wao ndio wajanja.. piga risasi TU sio Zama