Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

Mwamposa hajaenda?
Hujajiuliza kwanini nimeweka uzi huu kuhusu mwaliko huo wa kipekee? Waliotoka Afrika kwenda kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Trump, kama sio watatu, ni wawili tu. Ninaowafahamu ni huyo Mchungaji Kumuyi na Nathaniel Bassey(Mwimbaji maarufu wa Nyimbo za Injili , Nigeria). Kama mtu anajua Waafrika wengine waliohudhuria, awataje hapa.
 
Taahira ni tusi? Hii mpya kwangu , hiyo ni ‘qualitative description’ na haina mbadala..
Referring to a pastor or any person as "taahira," a term denoting a "mentally retarded person" in Swahili, is neither an innocuous qualitative descriptor nor an appropriate articulation of intellectual assessment. Historically, the term may have been used clinically to describe individuals with intellectual or developmental impairments, but in contemporary parlance, it is laden with pejorative connotations and thus constitutes a flagrant affront. Such language is incongruous with the biblical mandate for believers to speak words that are gracious and constructive. As Ephesians 4:29 exhorts, "Let no corrupt communication proceed out of your mouth, but that which is good to the use of edifying, that it may minister grace unto the hearers." To purport that this term is devoid of offense is to disregard both the ethical imperative of respectful discourse and the scriptural injunction to esteem others as bearers of God’s image. Consequently, invoking such terminology in reference to a servant of God undermines the decorum and reverence owed to their sacred calling.
 
Kwa mantiki hii, hata nikikuita ‘Mjinga’ utasema ni tusi..,
 
Kwa mantiki hii, hata nikikuita ‘Mjinga’ utasema ni tusi..,
"Tusi" refers to a disparaging or derogatory remark intended to demean, belittle, or offend another individual. It is often laden with negative connotations, targeting a person's character, intelligence, appearance, or social standing. Insults undermine human dignity, breaching the ethical codes of respect and decorum that should govern interpersonal interactions.

Addressing a servant of God as "foolish" or "stupid" unequivocally qualifies as "tusi", particularly given the gravity of their spiritual office. Such language not only disrespects the individual but also disregards the sanctity of their divine calling. Biblically, Christ Himself admonishes against calling someone a fool (Matthew 5:22), emphasizing the profound moral implications of uttering contemptuous words.
 
Hao ni watu wa mfumo CIA, huko kajificha tu. Msimdharau mzungu bongozozo, mtakuja kuacha kinywa wazi inzi wajae
 
Hao ni watu wa mfumo CIA, huko kajificha tu. Msimdharau mzungu bongozozo, mtakuja kuacha kinywa wazi inzi wajae
Ungechunguza kwanza maisha ya Mchungaji huyo kabla ya kumuweka kwenye kundi la CIA.
 
Trump yeye ni muumini wa dhehebu gani huko Marekani? Au ni Mfuasi wa kanisa gani? Na je anaenda kanisani na kama ni ndiyo anaenda kanisa gani? Au naye anaenda kwenye kanisa linaloongozwa na huyo Mchungaji?

Unaweza kujibu kuhusu "Trump Bible"? Imesheheni nini humo ndani na anaiuza bei ghali kwa nini?

Siku ya Kuapa kwake Hakuweka mkono wake kwenye biblia kama wafanyavyo wengine waliopita, alikuwa anaiogopa au alikataa makusudi, na je hili alimuondolei uaminifu wake kwa makanisa?
 
Sasa si uongee kiswahili, kiingereza mimi sijui, unacopy na kupaste vitu hata huvielewi.., kwamba quality mbaya yoyote uliyonayo tusikwambie, kisa utajisikia vibaya..(tusi)
 
7,000 sq km kanisa limejengwa? Duh; be serious!
 
Sasa si uongee kiswahili, kiingereza mimi sijui, unacopy na kupaste vitu hata huvielewi.., kwamba quality mbaya yoyote uliyonayo tusikwambie, kisa utajisikia vibaya..(tusi)
Aliyeanza kuchanganya kiingereza ni nani, kama sio wewe. Hiyo "Qualitative description" uliyotaja ni Kiswahili?
 
Aliyeanza kuchanganya kiingereza ni nani, kama sio wewe. Hiyo "Qualitative description" uliyotaja ni Kiswahili?
Hilo ni neno moja, sio insha.., haya , tufanye nimetukana.., tukirudi kwenye mada, huo ni utaahira sababu ameitwa huko kwa ajili ya kutumika kama toilet paper.
 
Hilo ni neno moja, sio insha.., haya , tufanye nimetukana.., tukirudi kwenye mada, huo ni utaahira sababu ameitwa huko kwa ajili ya kutumika kama toilet paper.
Kwenda kumuombea Rais Trump ndio kutumika kama Toilet paper? Hayo kama sio matusi ni nini? Hukumbuki Trump alikoswakoswa na risasi. Bila Mungu, Biblia inasema ailindaye nyumba anakesha bure. Maombi ni muhimu.

Hata kama humpendi Trump au huyo Mchg, onyesha basi ngaa kidogo heshima kwa wenye mvi.
 
Ndio ni matusi nimetukana. Kwahiyo Trump kakosa watu wa kumuombea huko Marekani sio?
 
Ndio ni matusi nimetukana. Kwahiyo Trump kakosa watu wa kumuombea huko Marekani sio?
Aliyesema amekosa watu wa kumuombea ni nani? Hiyo ni ishara kwamba Waafrika wanaofanya vizuri Trump anawathamini. By the way, huyo Mchg. Kumuyi ana wamisionari waliotoka Nigeria wanaohubiri Injili ya nguvu hukohuko kwa Trump. Kwahiyo usifikiri Trump alimchagua Mchg huyo bila kujua ni mtu wa namna gani. Anaheshimika ulimwenguni. Leo wewe unamvunjia heshima Mtumishi huyo wa Mungu kwa kumfananisha na toilet paper? Mungu akusamehe bure asikuhesabie huo uovu. Biblia inasema kila anayestahili heshima, apewe heshima.
 
Wa Tanzania wengi wanapewa mafunzo huko Nigeria kwahio lazima ma master wajulikane kuliko wanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…