Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

Mwamposa hajaenda?
Hujajiuliza kwanini nimeweka uzi huu kuhusu mwaliko huo wa kipekee? Waliotoka Afrika kwenda kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Trump, kama sio watatu, ni wawili tu. Ninaowafahamu ni huyo Mchungaji Kumuyi na Nathaniel Bassey(Mwimbaji maarufu wa Nyimbo za Injili , Nigeria). Kama mtu anajua Waafrika wengine waliohudhuria, awataje hapa.
 
Taahira ni tusi? Hii mpya kwangu , hiyo ni ‘qualitative description’ na haina mbadala..
Referring to a pastor or any person as "taahira," a term denoting a "mentally retarded person" in Swahili, is neither an innocuous qualitative descriptor nor an appropriate articulation of intellectual assessment. Historically, the term may have been used clinically to describe individuals with intellectual or developmental impairments, but in contemporary parlance, it is laden with pejorative connotations and thus constitutes a flagrant affront. Such language is incongruous with the biblical mandate for believers to speak words that are gracious and constructive. As Ephesians 4:29 exhorts, "Let no corrupt communication proceed out of your mouth, but that which is good to the use of edifying, that it may minister grace unto the hearers." To purport that this term is devoid of offense is to disregard both the ethical imperative of respectful discourse and the scriptural injunction to esteem others as bearers of God’s image. Consequently, invoking such terminology in reference to a servant of God undermines the decorum and reverence owed to their sacred calling.
 
Kwa mantiki hii, hata nikikuita ‘Mjinga’ utasema ni tusi..,
 
Kwa mantiki hii, hata nikikuita ‘Mjinga’ utasema ni tusi..,
"Tusi" refers to a disparaging or derogatory remark intended to demean, belittle, or offend another individual. It is often laden with negative connotations, targeting a person's character, intelligence, appearance, or social standing. Insults undermine human dignity, breaching the ethical codes of respect and decorum that should govern interpersonal interactions.

Addressing a servant of God as "foolish" or "stupid" unequivocally qualifies as "tusi", particularly given the gravity of their spiritual office. Such language not only disrespects the individual but also disregards the sanctity of their divine calling. Biblically, Christ Himself admonishes against calling someone a fool (Matthew 5:22), emphasizing the profound moral implications of uttering contemptuous words.
 
Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini alialikwa? Mchungaji Kumuyi ni Askofu Mkuu, au kama anavyojulikana zaidi “Mwangalizi Mkuu” na Mwanzilishi wa Kanisa la “Deeper Life Bible Church” lenye makao yake makuu Gbagada, Lagos, Nigeria. Alizaliwa tarehe 6 Juni 1941. Kabla hajapata wito wa kuwa Mchungaji , alikuwa Profesa wa Hesabu katika Chuo Kikuu cha Lagos, Nigeria.

Kanisa la Deeper Life alilianzisha mwaka 1973 likiwa na watu wachache lakini sasa lina mamilioni ya waumini katika nchi mbalimbali duniani. Mchungaji Kumuyi anaheshimiwa sana kwa jinsi asivyopenda makuu na pia kwa jinsi alivyo mnyenyekevu. Mchungaji Kumuyi amejitoa kufundisha Neno la Mungu huku akiweka msisitizo kuhusu utakatifu na haki. Chini ya uongozi wake, jengo la Kanisa hilo lina uwezo wa kuketisha watu 30,000 kwa wakati mmoja. Kanisa hilo kila Jumapili linakuwa na ibada tano zinazohudhuriwa na washirika wapatao 150,000. Kanisa hilo lina matawi Marekani, Uingereza, Ujerumani, Canada, India, Dubai na nchi kadhaa za Afrika. Mchungaji Kumuyi, katika mafundisho yake, anaeleza kwamba wokovu unapatikana kwa imani katika Yesu Kristo, na kwamba ni muhimu mtu apate utakaso na kuishi maisha matakatifu ili aweze kumuona Mungu(Ebr 12:14).

Yamkini hizo ndizo sababu zilizomfanya Mchungaji Kumuyi apate heshima ya kupata mwaliko huo wa kipekee. Kitendo cha kualikwa kwa Mchungaji Kumuyi katika sherehe ya uapisho wa Rais Trump, kinaonyesha wazi dhamira aliyo nayo Rais Trump ya kulinda na kukuza uhuru wa kuabudu nchini Marekani na kimataifa.

View attachment 3211047
Mchungaji William Kumuyi
Hao ni watu wa mfumo CIA, huko kajificha tu. Msimdharau mzungu bongozozo, mtakuja kuacha kinywa wazi inzi wajae
 
Hao ni watu wa mfumo CIA, huko kajificha tu. Msimdharau mzungu bongozozo, mtakuja kuacha kinywa wazi inzi wajae
Ungechunguza kwanza maisha ya Mchungaji huyo kabla ya kumuweka kwenye kundi la CIA.
 
Trump yeye ni muumini wa dhehebu gani huko Marekani? Au ni Mfuasi wa kanisa gani? Na je anaenda kanisani na kama ni ndiyo anaenda kanisa gani? Au naye anaenda kwenye kanisa linaloongozwa na huyo Mchungaji?

Unaweza kujibu kuhusu "Trump Bible"? Imesheheni nini humo ndani na anaiuza bei ghali kwa nini?

Siku ya Kuapa kwake Hakuweka mkono wake kwenye biblia kama wafanyavyo wengine waliopita, alikuwa anaiogopa au alikataa makusudi, na je hili alimuondolei uaminifu wake kwa makanisa?
 
"Tusi" refers to a disparaging or derogatory remark intended to demean, belittle, or offend another individual. It is often laden with negative connotations, targeting a person's character, intelligence, appearance, or social standing. Insults undermine human dignity, breaching the ethical codes of respect and decorum that should govern interpersonal interactions.

Addressing a servant of God as "foolish" or "stupid" unequivocally qualifies as "tusi", particularly given the gravity of their spiritual office. Such language not only disrespects the individual but also disregards the sanctity of their divine calling. Biblically, Christ Himself admonishes against calling someone a fool (Matthew 5:22), emphasizing the profound moral implications of uttering contemptuous words.
Sasa si uongee kiswahili, kiingereza mimi sijui, unacopy na kupaste vitu hata huvielewi.., kwamba quality mbaya yoyote uliyonayo tusikwambie, kisa utajisikia vibaya..(tusi)
 
View attachment 3211192
Hivyo ndivyo linavyoonekana kwa mbele, jengo la Kanisa la Deeper Life, makao makuu, Gbagada, Lagos, Nigeria. Jengo hili limejengwa katika eneo lenye kilometa za mraba zipatazo 7000. Kanisa hilo lina sehemu ya kupaki magari madogo zaidi ya 500 na mabasi zaidi ya 70. Sehemu ya chini(basement) ya Kanisa hilo ina uwezo wa kuketisha watoto tu 7500. Kanisa lina milango 14 ya kuingia na kutoka. Wachunguzi wanadai kwamba thamani ya jengo hilo ni dola za kimarekani milioni 16. Pesa hizo zilitokana na sadaka na michango ya washirika. Hata hivyo maafisa wa Kanisa hawajathibitisha taarifa hizo. Sehemu kubwa ya Wahandisi waliohusika katika ujenzi wa Kanisa hilo ni washirika wa Kanisa hilohilo. Jengo lote lina vipoza joto(AC) vingi kwa sababu ya umati mkubwa wa watu wanaohudhuria ibada. Jengo hili ni mojawapo ya vivutio vikubwa kwa watu wanaotembelea mji wa Gbagada, Lagos.
7,000 sq km kanisa limejengwa? Duh; be serious!
 
Sasa si uongee kiswahili, kiingereza mimi sijui, unacopy na kupaste vitu hata huvielewi.., kwamba quality mbaya yoyote uliyonayo tusikwambie, kisa utajisikia vibaya..(tusi)
Aliyeanza kuchanganya kiingereza ni nani, kama sio wewe. Hiyo "Qualitative description" uliyotaja ni Kiswahili?
 
Aliyeanza kuchanganya kiingereza ni nani, kama sio wewe. Hiyo "Qualitative description" uliyotaja ni Kiswahili?
Hilo ni neno moja, sio insha.., haya , tufanye nimetukana.., tukirudi kwenye mada, huo ni utaahira sababu ameitwa huko kwa ajili ya kutumika kama toilet paper.
 
Hilo ni neno moja, sio insha.., haya , tufanye nimetukana.., tukirudi kwenye mada, huo ni utaahira sababu ameitwa huko kwa ajili ya kutumika kama toilet paper.
Kwenda kumuombea Rais Trump ndio kutumika kama Toilet paper? Hayo kama sio matusi ni nini? Hukumbuki Trump alikoswakoswa na risasi. Bila Mungu, Biblia inasema ailindaye nyumba anakesha bure. Maombi ni muhimu.

Hata kama humpendi Trump au huyo Mchg, onyesha basi ngaa kidogo heshima kwa wenye mvi.
 
Ndio ni matusi nimetukana. Kwahiyo Trump kakosa watu wa kumuombea huko Marekani sio?
 
Ndio ni matusi nimetukana. Kwahiyo Trump kakosa watu wa kumuombea huko Marekani sio?
Aliyesema amekosa watu wa kumuombea ni nani? Hiyo ni ishara kwamba Waafrika wanaofanya vizuri Trump anawathamini. By the way, huyo Mchg. Kumuyi ana wamisionari waliotoka Nigeria wanaohubiri Injili ya nguvu hukohuko kwa Trump. Kwahiyo usifikiri Trump alimchagua Mchg huyo bila kujua ni mtu wa namna gani. Anaheshimika ulimwenguni. Leo wewe unamvunjia heshima Mtumishi huyo wa Mungu kwa kumfananisha na toilet paper? Mungu akusamehe bure asikuhesabie huo uovu. Biblia inasema kila anayestahili heshima, apewe heshima.
 
Hili kanisa la Deeper Life lipo mpaka Tanzania, nimeliona Moshi na Singida. Hata la prophet bushiri yule wa south africa lipo Tanzania. Hata haya makanisa ya Tanzania kuna nchi yapo. Wachungaji wa kinigeria wanajulikana sana nje ya nchi yao kuliko hawa wa kwetu. Sijui kama kina Tramp wanawajua kina mwamposa, geo devie, mtokambali, lusekolo, malasusa nao waalikwe kuhudhuria dhifa zao huko marekani
Wa Tanzania wengi wanapewa mafunzo huko Nigeria kwahio lazima ma master wajulikane kuliko wanafunzi
 
Back
Top Bottom