Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

Maelezo yako na majibu yaliyonyooka bila chembe ya unafiki umenifanya nivutiwe na huu Uzi

Subscribed
 
Usikute C.I.A wamemfuatilia muda mrefu sana na wakagundua hana makandokando, au huenda ni mtu wao wanafanya nae kazi kwa siri sana! Lakini wamemfunika na blanketi la uchungaji.
 
Inawezekana Kanisa lilianzishwa na CIA na linaendelea kujihusisha na majukumu hayo. Hii ndiyo sababu ya kutambuliwa na kualikwa kwenda kushiriki.
 
Inawezekana Kanisa lilianzishwa na CIA na linaendelea kujihusisha na majukumu hayo. Hii ndiyo sababu ya kutambuliwa na kualikwa kwenda kushiriki.
duh! Kwa staili hiyo hata hata hapa kuna makanisa yalianzishwa na TISS kwa malengo fulani kama ya CIA. Hii dunia ina siri nyingi sana
 
Inawezekana Kanisa lilianzishwa na CIA na linaendelea kujihusisha na majukumu hayo. Hii ndiyo sababu ya kutambuliwa na kualikwa kwenda kushiriki.
Tujadili mambo ambayo tuna uhakika nayo au tunayoyafahamu. CIA walikuambia kwamba kazi yao ni kuanzisha makanisa?
 
Usikute C.I.A wamemfuatilia muda mrefu sana na wakagundua hana makandokando, au huenda ni mtu wao wanafanya nae kazi kwa siri sana! Lakini wamemfunika na blanketi la uchungaji.
Unaota ndoto? Ndoto huwa zina michanganyiko mingi
 
Scam pastor
Hahaa, leta ushahidi. Kwanza wewe si ulisema huna muda wa kupoteza, umerudije tena hapa? Pastor Kumuyi has dedicated decades to spreading the gospel and leading people to Christ with humility and a commitment to biblical truth; labeling him a "scam pastor" without evidence disregards his life's work and impact. Instead of making accusations, it's more constructive to discuss specific concerns or questions respectfully. Wazee wenye mvi tuwape heshima zao bwana!
 
Kumuyi na kanisa lake la deeper life sio wakristo hujiita wapentecoste wa sabato wanaosali jumamosi
Soma uzi vizuri. Ibada zao kuu zinafanyika Jumapili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…