zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Na Mwamposa ni Prof wa nini pale kawe beach Dar es Salaam?alikuwa Profesa wa Hesabu katika Chuo Kikuu cha Lagos, Nigeria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mwamposa ni Prof wa nini pale kawe beach Dar es Salaam?alikuwa Profesa wa Hesabu katika Chuo Kikuu cha Lagos, Nigeria.
Inawezekana Kanisa lilianzishwa na CIA na linaendelea kujihusisha na majukumu hayo. Hii ndiyo sababu ya kutambuliwa na kualikwa kwenda kushiriki.Hili kanisa la Deeper Life lipo mpaka Tanzania, nimeliona Moshi na Singida. Hata la prophet bushiri yule wa south africa lipo Tanzania. Hata haya makanisa ya Tanzania kuna nchi yapo. Wachungaji wa kinigeria wanajulikana sana nje ya nchi yao kuliko hawa wa kwetu. Sijui kama kina Tramp wanawajua kina mwamposa, geo devie, mtokambali, lusekolo, malasusa nao waalikwe kuhudhuria dhifa zao huko marekani
duh! Kwa staili hiyo hata hata hapa kuna makanisa yalianzishwa na TISS kwa malengo fulani kama ya CIA. Hii dunia ina siri nyingi sanaInawezekana Kanisa lilianzishwa na CIA na linaendelea kujihusisha na majukumu hayo. Hii ndiyo sababu ya kutambuliwa na kualikwa kwenda kushiriki.
Tujadili mambo ambayo tuna uhakika nayo au tunayoyafahamu. CIA walikuambia kwamba kazi yao ni kuanzisha makanisa?Inawezekana Kanisa lilianzishwa na CIA na linaendelea kujihusisha na majukumu hayo. Hii ndiyo sababu ya kutambuliwa na kualikwa kwenda kushiriki.
Hahaa, leta ushahidi. Kwanza wewe si ulisema huna muda wa kupoteza, umerudije tena hapa? Pastor Kumuyi has dedicated decades to spreading the gospel and leading people to Christ with humility and a commitment to biblical truth; labeling him a "scam pastor" without evidence disregards his life's work and impact. Instead of making accusations, it's more constructive to discuss specific concerns or questions respectfully. Wazee wenye mvi tuwape heshima zao bwana!Scam pastor
"Unyonge wa mwafrika..!!"Kwa kweli anastahili hongera. Kutambuliwa na "rais wa dunia" sio mchezo
Una uhakika ni Trump mwenyewe alimwalika? Huenda wala hata hafahamu.Mbona amealika Mchungaji kutoka Africa