Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

Sasa kushuhudia Trump kuapishwa ndio iwe head liner duniani as if ni kitu cha ajabu ..yaaani ni muujiza
Kitu cha kawaida kwako sio lazima kiwe cha kawaida kwangu. Kwangu mimi naona Mchungaji huyo kualikwa ni kama muujiza. Kwani Afrika ina Mchungaji mmoja tu? Kwanini yeye peke yake aalikwe? Mchungaji huyo kualikwa ni promotion kwake. Kuketishwa na Wakuu wa dunia unaona kawaida wewe!
 
Nakuunga mkoni kwa hili na hasa ukizingatia jinsi Trump anavyotuchukulia sisi wa Africa ni Shithole
Huyu jamaa lazima ana kitu special.
Mfano wewe ukimpiga mkeo usiku hiyo sio habari haiwezi andikwa gazetini
Lakini raisi wa nchi mfano akimpiga mkewe habari zikavuja nje tayari hiyo ni habari
Hali kadhalika huyo mchungaji angealikwa kuapishwa balozi wake wa nyumba kumi kwa isingekuwa issue lakini vile amealikwa kualikwa raisi wa taifa kubwa hiyo ni habari nzito
 
Maelezo yote niliyotoa hayajaeleweka tu?
Kiongozi acha kutumia Lugha ya Sheria wakati wapenzi wasomaji humu ni watu wa mchanganyiko.... Tunakuheshimu hivo ilivo bila Kutujazia ungeli wa kimahakama😁😁
 
Huyu mzee nadhani ndiye baba wa kiroho wa Bishop Kakobe. Maana mafundisho yao yanafanana.
Inasemekana kakobe alianza akiwa deeper life baadae akajitoa na Kuanzisha full gospel.... Sasa vile tu nasikia kakobe ni mtumishi wa mchongo... Sijui kama umchonge huo inawahusu Hawa!!
Tuzidi kumwombea mzee k, apone na arudi kuhubiri injili🙏
 
Kitu cha kawaida kwako sio lazima kiwe cha kawaida kwangu. Kwangu mimi naona Mchungaji huyo kualikwa ni kama muujiza. Kwani Afrika ina Mchungaji mmoja tu? Kwanini yeye peke yake aalikwe? Mchungaji huyo kualikwa ni promotion kwake. Kuketishwa na Wakuu wa dunia unaona kawaida wewe!
Jambo la kawaida tu
 
Kiongozi acha kutumia Lugha ya Sheria wakati wapenzi wasomaji humu ni watu wa mchanganyiko.... Tunakuheshimu hivo ilivo bila Kutujazia ungeli wa kimahakama😁😁
Kuuliza si ujinga
 
Jambo la kawaida tu

Kwani duniani kuna jambo jipya? Mambo yote ni ya kawaida.​

Mhubiri 1:9​

Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.
 
Nakuunga mkoni kwa hili na hasa ukizingatia jinsi Trump anavyotuchukulia sisi wa Africa ni Shithole
Huyu jamaa lazima ana kitu special.
Mfano wewe ukimpiga mkeo usiku hiyo sio habari haiwezi andikwa gazetini
Lakini raisi wa nchi mfano akimpiga mkewe habari zikavuja nje tayari hiyo ni habari
Hali kadhalika huyo mchungaji angealikwa kuapishwa balozi wake wa nyumba kumi kwa isingekuwa issue lakini vile amealikwa kualikwa raisi wa taifa kubwa hiyo ni habari nzito
Umenena vema sana
 
Back
Top Bottom