Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kushuhudia Trump kuapishwa ndio iwe head liner duniani as if ni kitu cha ajabu ..yaaani ni muujizaNani kasema mbingu iko duniani?
Kitu cha kawaida kwako sio lazima kiwe cha kawaida kwangu. Kwangu mimi naona Mchungaji huyo kualikwa ni kama muujiza. Kwani Afrika ina Mchungaji mmoja tu? Kwanini yeye peke yake aalikwe? Mchungaji huyo kualikwa ni promotion kwake. Kuketishwa na Wakuu wa dunia unaona kawaida wewe!Sasa kushuhudia Trump kuapishwa ndio iwe head liner duniani as if ni kitu cha ajabu ..yaaani ni muujiza
mkuu ni kweli hilo nalijua hii ni moja ya aina ya uandishi kufikisha ujumbeDuh, unauliza swali na kujijibu
Nakuunga mkoni kwa hili na hasa ukizingatia jinsi Trump anavyotuchukulia sisi wa Africa ni ShitholeKitu cha kawaida kwako sio lazima kiwe cha kawaida kwangu. Kwangu mimi naona Mchungaji huyo kualikwa ni kama muujiza. Kwani Afrika ina Mchungaji mmoja tu? Kwanini yeye peke yake aalikwe? Mchungaji huyo kualikwa ni promotion kwake. Kuketishwa na Wakuu wa dunia unaona kawaida wewe!
Kiongozi acha kutumia Lugha ya Sheria wakati wapenzi wasomaji humu ni watu wa mchanganyiko.... Tunakuheshimu hivo ilivo bila Kutujazia ungeli wa kimahakama😁😁Maelezo yote niliyotoa hayajaeleweka tu?
Inasemekana kakobe alianza akiwa deeper life baadae akajitoa na Kuanzisha full gospel.... Sasa vile tu nasikia kakobe ni mtumishi wa mchongo... Sijui kama umchonge huo inawahusu Hawa!!Huyu mzee nadhani ndiye baba wa kiroho wa Bishop Kakobe. Maana mafundisho yao yanafanana.
Jambo la kawaida tuKitu cha kawaida kwako sio lazima kiwe cha kawaida kwangu. Kwangu mimi naona Mchungaji huyo kualikwa ni kama muujiza. Kwani Afrika ina Mchungaji mmoja tu? Kwanini yeye peke yake aalikwe? Mchungaji huyo kualikwa ni promotion kwake. Kuketishwa na Wakuu wa dunia unaona kawaida wewe!
Umenena vema sanaNakuunga mkoni kwa hili na hasa ukizingatia jinsi Trump anavyotuchukulia sisi wa Africa ni Shithole
Huyu jamaa lazima ana kitu special.
Mfano wewe ukimpiga mkeo usiku hiyo sio habari haiwezi andikwa gazetini
Lakini raisi wa nchi mfano akimpiga mkewe habari zikavuja nje tayari hiyo ni habari
Hali kadhalika huyo mchungaji angealikwa kuapishwa balozi wake wa nyumba kumi kwa isingekuwa issue lakini vile amealikwa kualikwa raisi wa taifa kubwa hiyo ni habari nzito