Mfahamu "Mkandala Rufufu" mzee wa kukotola


Jamaaa yangu hiyo ilikuwa Lugha ya kihaya....ww umetupiga Chai la kufa mtuuu
#Sio mfufulizo ni mpulutulizo mana yake kitanzi
#Kanyabazongo ni kizungu zungu.
#Sio nkorombo wabeje ni lukoma abambeija
#Sio kumimina mwanyu ni kumimina Mwani(Mwani kahawa)....nk-nk-nk-nk
 
Akaenda kujisongobeka kwenye gari aina ya mfukunyu Mfukunyuuu ni magari yanayobeba silaha nzito nzito......#Ngoja nikasubale kwanza
 
Zamani pale kimara kituo cha polisi kulikuwa kuna ukumbi tunaangalia ssna hizi muvi za lufufu mkandala daaah kitambo sana
 
Kila adui akipigwa teke la uku utasikia β€œakampiga kwenye paakuchu!!” [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa anavyoisema hiyo β€œpaakuchu” lazima banda zima mcheke [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna Adui Mmoja kwenye Tiger Cage ya Don Yen Lufufu alkua anamwita Mpika chips manzese baunsa flan mfupi
 
Katika Maadui ambao alkuwa anampatia sana ni Carlos Bill Drago alvyokuwa anamuigiza anavyoongea kiteja
Hii muvi ni ya kitambo ila niliipenda sana!

Bill drago ni yule jamaa aliyechomwa kisu kwenye kikao kwa kesi ya usaliti.

Carlos ni yule kipara mwenye nywele zilizomwagika mgongoni.

Ramon cota ndiye huyo teja unayemzungumzia..
 
Fundi
 
"Naitwa captain Gaspar Derrick Mkandala a.k.a Rufufuuuuu"

Jamaa alikuwa mwongo sana Ila alijua kucheza na maneno Hadi muvi unaiona tamu

Lkn kwangu DJ Mark Mzee wa acheche production namkubali zaidi
Muongo sana...utoke kwa wasomi utaishije mjini bila maneno maneno mengi? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hayo maneno unayoyasema ni Mkandara lufulu "lukoma abambeija" maneno mengi aliyokuwa akitumia yalikuwa ni ya kihaya mfano

Nyugunyu ni nyonga
Kanyampasila ni sehemu iliyobana mfano cell au mahabusu
Akakoimoza ni akakimbia
Dawa aina ya ntale ye ilungu dawa inayopatikana porini sana
Bunduki aina ya ebitoke binura yaani ndizi tamu

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…