Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka The Drunken masterAnaitwa.Kapteni Gaspa derki mkandala lufufu,, afu mbele Apo kuna maneno ya kihaya alipenda kuyaweka Mnaokumbuka Vyema Mtatukumbusha.
Baada ya kustaafu kazi ya Jeshi Lufufu aliamua kuanza kutafsiri picha (Movie) za kizungu nk. kwa kiswahili, jina lake likawa maarufu hapa nchini Tanzania huku akiwa mtu wa kwanza kabisa kuingiza maneno ya kiswahili kwenye mikanda ya video VHS.
Huyu muasisi wa MaDj wote unaowaona wanatamba hivi sasa alifariki Mwaka 2015 na kuzikwa Moshi Mkoani Kilimanjaro. Baba yake alikuwa mchaga na mama yake alikuwa mhaya.
Alikuwa akinogesha movie kwa maneno yake ambayo hatuyajui maana yake mpaka leo ila wapenzi watazamaji walimwelewa. [emoji2]
"""Eeeee Tujuane wale wote wa vibanda umiza kipindi kileee tulio kuwa tukirudi tunafikia kwenye kichapo na maji ya baridi juu. watoto wa getini mtupishe kidogo [emoji2][emoji2]"""
Unaikumbuka muvi ipi kutoka kwa huyu mkali....View attachment 2242541
Kanyampasiira hapo ni pale mtu kabanwa ready handed huna pa kuchomokea,kama alivyofanyiwa KOLO leoHaya ni baadhi ya maneno yake ninayotakumbuka enzi anatafsiri
" akamweka kwenye kanyampasila"
"Na picha letu linaisha hapa, sterling wetu anapanda gari Aina ya chai maharage na kutekomea zake kusikojulikana"
Rufufu alikuwa anatafsiri picha Hadi kuna maneno ukisikia unajua kbs hii ni chai,Ila tulipokuwa na kujua kiingereza Kish atukazirudia zile picha tunakuja kugundua kwamba kweli zile tafsiri za rufufu zilikuwa ni chai[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwenye movie za makomandoo wa marekani na wavietinam niliinjoy sanaAnaitwa.Kapteni Gaspa derki mkandala lufufu,, afu mbele Apo kuna maneno ya kihaya alipenda kuyaweka Mnaokumbuka Vyema Mtatukumbusha.
Baada ya kustaafu kazi ya Jeshi Lufufu aliamua kuanza kutafsiri picha (Movie) za kizungu nk. kwa kiswahili, jina lake likawa maarufu hapa nchini Tanzania huku akiwa mtu wa kwanza kabisa kuingiza maneno ya kiswahili kwenye mikanda ya video VHS.
Huyu muasisi wa MaDj wote unaowaona wanatamba hivi sasa alifariki Mwaka 2015 na kuzikwa Moshi Mkoani Kilimanjaro. Baba yake alikuwa mchaga na mama yake alikuwa mhaya.
Alikuwa akinogesha movie kwa maneno yake ambayo hatuyajui maana yake mpaka leo ila wapenzi watazamaji walimwelewa. [emoji2]
"""Eeeee Tujuane wale wote wa vibanda umiza kipindi kileee tulio kuwa tukirudi tunafikia kwenye kichapo na maji ya baridi juu. watoto wa getini mtupishe kidogo [emoji2][emoji2]"""
Unaikumbuka muvi ipi kutoka kwa huyu mkali....View attachment 2242541
Nitaicheki mkuuMkuu Mimi siyo Mzee wa muvi,Ila niliwahi kuona akaunti inaitwa DJ Mark huko Instagram..jaribu kuandika DJ Mark movies pengine utapata kitu
Au tungoje wajuzi zaidi watakuja kutoa jibu sahihi
Ndo maana nilitoa Angalizo mapema watoto wa kota mtupishee!!!Mtu mzima unaanzaje kuangalia movie iliotafsiriwa kwa kuingiza sauti? Hizo movie huwa naona hazina tofauti na katuni za watoto za akina Kibena.
Apumzike kwa amanAlikuwa mwasisi na alihamasisha sana vijana wwngu kuanza kufanya kazi za kuingiza sauti kwenye picha. Alikuwa mzuri sana kwenye picha za kivita.
Juma khan alikuwa mzuri san kwenye picha za kihindi.
Kiufupi mkandala alijua sana kazi yake na alitumia maneno nje ya picha ili kunogesha na hata picha ambayo ilikuwa imepoa inachangamshwa na maneno yake.
Apumzike kwa aman
HahaaMzee wa kamnyweso, makagari, akamchoma Uswadi, anataka kumtafuna uroro, Indaa!!!
Msimsahau Dj Afro Amigo.
Rufufu nimuongo alikua anaelezea matukio badala ya kutafsiri maneno.
Kwangu Dj Mack na Dj Afro ndio the best wanajua kingereza vizuri na hawachoshi kuwasikiliza
AmenAliporudi kutoka vitani kagera miaka ya 79 aliamua kuacha jeshi hakustafu, tuliishi mbagala kwa makuka, nyumba yake kwa miaka ile ilikuwa ni miongoni mwa nyumba kali sn kwa makuka mbele alijenga fremu kadhaa za biashara, alikuwa kipenzi cha watu sn Huyu mzeee dah, mwenyezi mungu amuweke anapostahili