Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

Nchi hii kuna vilaza wengi sana.
Ulitegemea baada ya mtu kuwa hispitali muda wote huo aendelee na marshal arts
 
Kaenda nae ubelgiji? Au ndio karudi jimn
 
Kuchorachora ukutani au chini ardhini.
Haya yooote yalikupita ajili ya Userure wa kudumu Loool!! ujui wewe!!.... JKT lazima ulikuwa Nanga hasa!! na Mtorokaji sugu!! mwizi wa mihogo, viazi miwa ya wana kijiji!!
Maafande wakiwasihi vijana Msijongo li Gwaride ni muhimu nyie ndo kwaaanza ....

mnawaita majina km Vile wanoko!! mara wanajipendekeza!! ...... Ona sasa Mzee mzima unavoumbuka! na mafunzo ulipata full course, 823 KJ Paleeee!!!! unabisha??
 
Nabisha. Sikipitia 823, ila nimetoroka vizuri tu na nimeshalala mahabusu kwa utoro na nimelipia siku 30 baada ya mafunzo
 
Sasa nimeelwa kwanini aliweza kukwepa risasi 40 na ushenzi
 
Ah ah anajikuta machimbo ya Mfalme Suleiman, msolopagaanzi..CHADEMA mnachekesha sana..mnakua kama vijana wa kijiweni bana
Jamaa nimemkubali sana mara ya kwanza nilimuona nilidhani ni mlinzi kutoka CIA.

😅😅Ana confidence
 
Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Mentaly unstable mkurupukaji kashazikwa kaka. Alikurupuka hapa mjini akaja na ushamba wake kutoka chato yakamtokea puani.
 
Mtoa mada itendee haki hii mada mbona umeiandika kama unakimbizwa?hebu urudie upya pls na weka nyama zaidi kwenye mifupa ili nami nikuelewe vema mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…