Mimi nimefanya na naendelea kufanya marshal arts jiu jitsu ya Kibrazili, hakuna mtu anayefanya marshal arts akawa kibonge na mentally unstable namna hiyo kama Tundu Lissu, ondoeni porojo zenu hapa, ...
Mi huwa siwaelewi hawa walinzi wa Viongozi wetu. Mara wanakamatwa na polisi wa kawaida na kuteswa kwa staili ya popo kunyea mbingu. Na ni X comandos na Martial arts experts