Mfahamu Mtawala wa Dubai, Sheikh Maktoum

Ila Princess Haya alimkomesha huyu mzee,alitoroka akaenda London na wanae wawili.Akafungua kesi,sasa mzee analipa child support ,Haya alikuwa anatembea na Mlinzi.Naona mzee shughuli ya kitandani haiwezi .
Siku mwanamke alipoumbwa ndio siku kifo cha mwanaume kilipotangazwa rasmi. Mzee mmoja mwenye hekima aliwahi kusema kwamba mwanamke aliumbwa kuja kumsaidia mwanaume lakini pia mwanamke aliumbwa ili mwanaume afe.
 
Pongezi nyingi kwake Shehe Al Maktoum. Nimewahi kufika Dubai mara 3 Ila kila nikifika nakuta kitu kipya. Kama Dubai wameweza kubadili jangwa kuwa mji wa kibiashara na utalii sisi hapa tuna mbuga, bandari, madini. Tunashindwa wapi?
Hamna viongozi wenye utimamu wa akili, serikali mmejaza watu ambao utotoni waliathirika na lishe mbovu. Mnategemea wataweza kufanya lolote la maana lenye ku involve critical thinking ?
 
Ukitaka jamii yako iparaganyike mpe mwanamke uhuru au tangaza takataka za haki sawa uone moto wake.
 
Unafikiri shule na hospitali alizojenga mkoloni ilikua kwa kuwa anakupenda wewe nyani!?...au kueneza dini yake ili ujione unafanana naye afanikishe ajenda zake!?..bogus!!
Baada ya kupigwa kwenye mbupu umeamua kubadilisha magoli, ili mradi tu uendeleze ubishani.
 
Pole sana kijana kwa kulazimishwa kufumuliwa marinda, vipi ulichukua hatua zipi jamaa walipokupakaza shawaha zao siku ya kwanza ??

Ulifurahia au ulienda kuwashtaki polisi ?
 
Crown prince ni Hamdan bin Mohammed Al maktoum,kuna mtoto mwingine wakiume wa huyu mtawala wa Dubai alifariki miaka ya hivi karibuni,

Huyu crown prince hata yeye ni tajiri tayari na ana makampuni makubwa tu huko Dubai.
Mnazijua habari za familia za kiarabu kuliko hata resources zilizopo nchini kwenu na namna ya kuzibadili kuwa na faida kwenu kiuchumi.
 
Waislamu hawathamini wanawake
 
Kweli kabisa Nyerere ndo alaumiwe kwa matatizo yote ya Tanzania.

Yeye alipopokea nchi hakupaswa wafukuza wakoloni, alitakiwa akae nao kwa pamoja wapange mipango ya kuendesha nchi hadi pale Watanzania watakapo pata Elimu inayofaa.

Badala yake yeye akaweka udikteta na sera za ujamaa
 
Acha kupanik mvaa pempaz

Mwaka 1961 wakat Mchonga anapewa mamlaka nchi haikua na njaa

Miongon mwa vitu vilivyomfelisha ni uchaguz wa sera

Aliuchagua ujamaa bila ya kuangalia athar zake

Alidhamin wapigania uhuru wa baadh ya nchi za kiafrika bila ya kuzingatia uhalisia wa uchumi wetu km unahimil

Na unatakiwa ujue huu utaratibu wa mikataba kuwa ni siri Mchonga ndio muasis hawa wa sasa wamerith
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…