inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Unafikiri shule na hospitali alizojenga mkoloni ilikua kwa kuwa anakupenda wewe nyani!?...au kueneza dini yake ili ujione unafanana naye afanikishe ajenda zake!?..bogus!!Hatuzungumzii historia, tunazungumzia Sasa. Mkoloni wa kizungu alijenga makanisa, shule, mahospitali, na mbo chungu mzima ya manufaa kwa nchi na vizazi vijavyo
Mwarabu yeye ajuacho msaada ni kujenga misikiti na tende za bure huwa hafikirii kujenga hospitali au shule tofauti na madrasa. Yeye huwa chochote snachokifanya ni mpango wa muda mrefu wa kuibadilisha dunia kuwa ya Imani yake kitu ambacho kwake ni njozi za mchana lakini hakati tamaa.
Karne ya Sasa hakuna kanisa linalojengwa kwa msaada wa mzungu, Bali ni waamini wenyewe wanajenga kwa nguvu zao na haeajengi makanisa tu Bali huduma za kijamii wanazingatia