Mfahamu mtunzi mahiri was nyimbo za kikatoliki marehemu John Stephano Mgandu

Mungu ampe pumziko la amani.
Ingekuwa vizuri sasa uzi huu uwe maalumu wa kupost nyimbo zake na nyingine za walimu wakongwe kama P. Mwarabu, Kayetta, Nyundo, Ntapambata etc ili watu wajue nini kinachozungumziwa hapa (in Mwandri's voice)
 
Mwenye wimbo unaoitwa "hapa we msafiri simama " audio yake tafadhar naomba aniwekee hapa.. Ntashukuru sana.. Muwe na jpili njema

Ingia YouTube upo
 
Mungu ampe pumziko la amani.
Ingekuwa vizuri sasa uzi huu uwe maalumu wa kupost nyimbo zake na nyingine za walimu wakongwe kama P. Mwarabu, Kayetta, Nyundo, Ntapambata etc ili watu wajue nini kinachozungumziwa hapa (in Mwandri's voice)
Mkuu YouTube zipo
 
"Bwana ni nuru yangu, wokovu wangu nimwogope nani, Bwana ni ngome ya uzima wangu....nimwofu naani"
R.I.P John Mgandu.

"Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, (nani angesimama...nani angesimama, nani angesimama mbele yako) x3"
Kumbe huu wimbo pia wake?....huwa ukipigwa church nahisi napaa mbinguni
 
Hizi nyimbo zinanikumbusha mbali sana....mzee alikua na cassete za kutosha.....ila najiuliza sa iv zinapatikana wap!
 
Back
Top Bottom