Mfahamu mtunzi mahiri was nyimbo za kikatoliki marehemu John Stephano Mgandu

Mfahamu mtunzi mahiri was nyimbo za kikatoliki marehemu John Stephano Mgandu

Hamjampa utakatifu? Maana hamkawii
Kama una kejeli hivi. Lakin process ya kuitwa saint hawapew random kama cheo cha siasa, ni process ndefu na ngum, na inachukua miaka mingi mpaka ije ikubaliwe. Hapo kuna background checks nzito sana.. kiufupi sio rahis unavyofikiri
 
Karibu nyimbo zote tunazoimba Kanisani Katoliki zimetokana na yeye. Amefanya makubwa kwa Kanisa. Jamaa alikuwa kweli genius. Apumzike kwa amani.
 
Huyu kapiga injili kisawasawa. Katuachia tungo zake zikiendelea kuinjilisha.
 
Yeah ni wimbo wake.
Karibia zile nyimbo maarufu za kanisa Katoliki katunga yeye.
Kwenye msiba wake mapadre wa kikatoliki walikuwa kama wote.
Weee...Wish I would b there!....nikashuhudia safari yake ya mwisho
 
"Bwana ni nuru yangu, wokovu wangu nimwogope nani, Bwana ni ngome ya uzima wangu....nimwofu naani"
R.I.P John Mgandu.

"Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, (nani angesimama...nani angesimama, nani angesimama mbele yako) x3"
Dah uko vizuri
 
Mzee Pascal florian mwarabu a.k.a kocha
Mkuu, naomba kama una audio ya "Gusaneni majeraha" ya Mwarabu unipatie...
Au yeyote aliye na hiyo audio aiweke hapa pls..
 
Back
Top Bottom