Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Aishwarya Rai aliwahi kuwa miss world 1994 .
Priyanka nilikuwa sijui kama na yeye alishawahi kuwa miss world.
Priyanka nae alishika miss world
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aishwarya Rai aliwahi kuwa miss world 1994 .
Priyanka nilikuwa sijui kama na yeye alishawahi kuwa miss world.
Hizi story kama miezi mi3 iliyopita kwamba Ajey na Kajol wameachana ni kweli au?
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Dilwale ile ya kwanza na Karan ArjunWe unapenda ipi??
Hamna bwana zipo ambazo sichoki kuangalia. Kuna mwanadada Preity Zinta nampendaga sana. Movie zake hua sizichoki kama Salaam Namaste nimeaiangalia mara elfu 10😅😅😅Umeshaichoka kwa sababu 😂😂😂😂😂😂
Wewe umri gani?Kumbe ni age go hivi.
Ila bado mzuri😌
KabisaKumbe maisha yao ya kimahusiano ni kama mastaa wa Hollywood na bongo movie tu.
Usanii kwa kwenda mbele.
😂😂😂😂😂😂😂😂Amili kani kwenye ile movie alifanya nichukie mapenzi lakini mwisho wa siku nikasema wote ni waduazi wanigiza tu katika movie.
50Wewe umri gani?
Ehhhhh!![emoji15] Mimi ninavyo muonaga muhandsome sana yaani ana mvuto kumbe...[emoji22][emoji22]dah nimesikitika sana[emoji1]Wanavyosema Ajay hana muonekano mzuri kitu ambacho kina athiri sio tu mapenzi bali mpaka kazi zake.
Licha ya uwezo mkubwa wa uigizaji alionao anachukuliwa poa kutokana hana muonekano mzuri.
Kuna bibi wa zamani namkumbuka, anaitwa Madhuri Dixit, alikua yuko njema sana.Wahindi wengi wazuri sana ,hapo bado hujamgusa Priyanka Chopra, Bipasha Basu, Katrina Kaif, Aishwarya Rai Batchan, Pretty Janghan, Pretty Zinta nk
Madhuri Dixit Bonge moja la pini huyo.Kuna bibi wa zamani namkumbuka, anaitwa Madhuri Dixit, alikua yuko njema sana.
Ajay hana mvuto kwa mujibu wa wengi.Ehhhhh!![emoji15] Mimi ninavyo muonaga muhandsome sana yaani ana mvuto kumbe...[emoji22][emoji22]dah nimesikitika sana[emoji1]
Bila shaka wewe ni Juma Khani au ChikongweHapana ..
Alinyang'anywa Karishma Kapoor na Salman Khan...baadae Salman akampiga chini Karishma akaenda beba Aishwarya Rai... Aishwarya Rai nae akampiga chini Salman akaenda chukuliwa na jamaa underground alikuwa anaitwa Oberoi something baadae akampiga chini huyo Oberei akaja olewa na mtoto wa Amitabh Bachan....
Katika hao wengi nami nimo. Tena movie zake ndio sizipendi kabisa. Zile anapiga risasi huku gari inapinduka na haumii. Atleast ile ishq alikua na juhi chawla na kajolAjay hana mvuto kwa mujibu wa wengi.
Daaah ulivyotaja Juhi Chawla (Ki-Ki-Ki-raaaaan) umenikumbusha DarrKatika hao wengi nami nimo. Tena movie zake ndio sizipendi kabisa. Zile anapiga risasi huku gari inapinduka na haumii. Atleast ile ishq alikua na juhi chawla na kajol
Hahaaa. Alikuaga mzuri sana huyo mama sema umri ndio hivyoDaaah ulivyotaja Juhi Chawla (Ki-Ki-Ki-raaaaan) umenikumbusha Darr
[emoji2][emoji2]duhAjay hana mvuto kwa mujibu wa wengi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana aiseeBila shaka wewe ni Juma Khani au Chikongwe