Wayahudi chimbuko lao ni Ibrahim,Ibrahim ni muhamiaji huko Israel,alitokea Iraq ya leoWapelestina walikuwa wafanyabiasha waliokuwa wakifika Uyahudini kufanya biashara kabla ya kuanza kufanya makazi yao!
Ardhi hii ni wayahudi kwa asili kabisa na sio vinginevyo!
Ibrahim alikuwa Myahudi!!!!!?????Ugomvi wa wayahudi na wafilist ulianza tangu enzi za kina Daudi na Goliath wakati wa utawala wa Mfalme Sauli pale Islael.
Ibrahim alikuwa ni myahudi na milki hii alipewa na Mungu miaka mingi kabla ya Kristo.
Msamehe bure.Ibrahim alikuwa Myahudi!!!!!?????
Una akili za kizwazwa.Hao Ottoman waliomuuzia nao ilikuwa sio ardhi yao.
Hivi mfano waarabu wa pale Mecca wangetolewa na wagiriki na wakahamishiwa ugiriki lakini eneo la Mecca wakaja kukaa waisrael, je Mu israel angeuziwa eneo na mgiriki hii hati ingekuwa na mashiko kipindi waarabu wamerudi hapo Mecca ?
Hivi huku afrika kwenye koo zetu tunaweza kuji trace back mpaka 1906 huko na kujua tulikua vipi na kumiliki nini?
Itakubidi uhihoji QURAN ,,Ikaumbie wale wayahudi waliotolewa MISRI na Nabii Musa saw katika "surat ban izarail " Mungu aliwapa ardhi ya Sehemu ipi katika dunia hii,, ikikupatia jibu,, utakuwa umemaliza mzozo uliomo kwenye ufahamu wako.Ile ardhi sio yenu, kaeni mtulie vinginevyo mtaondolewa kabisa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unaweza kuandika chochote,kama unavyoweza kusoma chochote, vilevile WATU hubuni na kuandika ili kuwavutia wanaofuata machapisho yao,Book: The 13th tribe, The khazar empire and its heritage by Arthur Koestler.
Book: The Balfour Declaration... How world War II helped Jew Zionist to capture Palestine territory.
Rev 2:9.
True Child of Israel ni Weusi hawa wengine walitokea wapi na kujimilikisha ardhi hy na kusingizia Ulikuwa mpango wa mungu.
Ile ardhi sio yenu, kaeni mtulie vinginevyo mtaondolewa kabisa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hao Ottoman waliomuuzia nao ilikuwa sio ardhi yao.
Hivi mfano waarabu wa pale Mecca wangetolewa na wagiriki na wakahamishiwa ugiriki lakini eneo la Mecca wakaja kukaa waisrael, je Mu israel angeuziwa eneo na mgiriki hii hati ingekuwa na mashiko kipindi waarabu wamerudi hapo Mecca ?
Wapelestina walikuwa wafanyabiasha waliokuwa wakifika Uyahudini kufanya biashara kabla ya kuanza kufanya makazi yao!
Ardhi hii ni wayahudi kwa asili kabisa na sio vinginevyo!
Wapalestina wa sasa ndio hao hao wapalestina wa kale, wayahudi wa kale ndio wapaleatina wa sasa. Hili lishathibitishwa mara kibao sijui kwanini bado watu wanaendelea kudanganya.Kwani Ottoman na Ibrahim nani alitangulia?
Kwani huyu babu wa huyo mzee na mzee Ibrahim nani alikabidhiwa hiyo ardhi na Mungu.
Huyo mzee karithi kwa Babu yake, wayahudi nao wamerithi kwa babu yao Ibrahim.
NYARAKA.
Huyo mzee anaonyesha nyaraka yake ya urithi toka kwa babu zake.
Wayahudi nyaraka yao ipo kwa biblia. Mipaka ya ardhi yao imeainishwa humo na nadhani bado hawajaipata yote. Au nasema uongo jamani
Hata waarabu baba yao ni Ibrahim, Kizazi cha waisrael kinaanzia kwa Yaaqub(Jacob) ambaye ni Mjukuu wa Ibrahim na kizazi cha Waarabu (sio wote) kimetoka kwa Ismail mtoto wa Ibrahim.Waisrael baba yao Ibrahim,Ibrahim ni mtu wa Iraq
Nakwambia Ibrahim katoka Iraq,hakuwa mwarabu peke yake huko Iraq, waarab hawakuanzia kwa ismailHata waarabu baba yao ni Ibrahim, Kizazi cha waisrael kinaanzia kwa Yaaqub(Jacob) ambaye ni Mjukuu wa Ibrahim na kizazi cha Waarabu (sio wote) kimetoka kwa Ismail mtoto wa Ibrahim.
Ibrahim mwenyewe sio Myahudi, wala sio mwarabu.
Una ushahidi toka Quran na sunnah ama credible source kwamba Babylon walikua ni waarabu?Nakwambia Ibrahim katoka Iraq,hakuwa mwarabu peke yake huko Iraq, waarab hawakuanzia kwa ismail
Kwamba Iraq wairaq wa enzi ya Ibrahim walikumbwa na pepopunda wakafa wote!?Una ushahidi toka Quran na sunnah ama credible source kwamba Babylon walikua ni waarabu?
Nikihangaika mimi wewe unapungukiwa kipi ?Unaweza kuandika chochote,kama unavyoweza kusoma chochote, vilevile WATU hubuni na kuandika ili kuwavutia wanaofuata machapisho yao,
,Kwenye MGOGORO WA WAYAHUDI NA WAPALESTINA,, hatujawahi kuwasikia waafrika wakidai wao ndio WAYAHUDI, ila tumewasikia wazungu tumewasikia Waarabu wakiwa na madai hayo,,,!
Pia tumeasikia na kuwashuhudia (wazungu na waarabu)wakijaribu kuwaingiza waafrika kwenye MGOGORO huo kwa kuwapandikizia sumu kuwa WAAFRIKA NDIO WAYAHUDI.
Ni Jambo ambalo halijawahi kufanikiwa na halitafanikiwa, kujaribu kuwafanya waafrika wafikirie kubwa wao ndio wayahudi,,
Hivyo Usiangaike kujijaza ujinga ukifikili utawabadilisha WATU weusi wafikirie wao ni wayahudi.
Hii sio evidence mkuu, Definition ya sasa ya Uarabu ni mtu mwenye culture ya kiarabu basi ni Muarabu, ila kihistoria Sudan, Nchi za Africa kaskazini, huko Palestine, Iraq na wengineo sio waarabu. Iraq ya kusini waliishi waarabu ila juu kule kulikua na watu wengi tu kama Sumerian,Kwamba Iraq wairaq wa enzi ya Ibrahim walikumbwa na pepopunda wakafa wote!?