Unaweza kuandika chochote,kama unavyoweza kusoma chochote, vilevile WATU hubuni na kuandika ili kuwavutia wanaofuata machapisho yao,
,Kwenye MGOGORO WA WAYAHUDI NA WAPALESTINA,, hatujawahi kuwasikia waafrika wakidai wao ndio WAYAHUDI, ila tumewasikia wazungu tumewasikia Waarabu wakiwa na madai hayo,,,!
Pia tumeasikia na kuwashuhudia (wazungu na waarabu)wakijaribu kuwaingiza waafrika kwenye MGOGORO huo kwa kuwapandikizia sumu kuwa WAAFRIKA NDIO WAYAHUDI.
Ni Jambo ambalo halijawahi kufanikiwa na halitafanikiwa, kujaribu kuwafanya waafrika wafikirie kubwa wao ndio wayahudi,,
Hivyo Usiangaike kujijaza ujinga ukifikili utawabadilisha WATU weusi wafikirie wao ni wayahudi.