Mfahamu play boy

Hivi tezi dume ni mwanaume akiwa anafanya kinyume na maumbile or?
Hausiani na kufanya kinyume na maumbile.Inahusiana na mwanaume kutojishughulisha kwenye ile michezo pendwa halafu mwili upo active kuzalisha hormone za testosterone(zinazozalisha mbegu kwa wingi)
 
Inatokana na nini Luca?
Nachojua ki hkl ni kua umri unavokua mkubwa ndio hufanya prostate grand (tezi ) ipanuke iwe kubwa hivo kumfanya mtu akojoe kwa tabu na ashindwe kufanya mapenzi

Ila hakuna sababu hasa ya tezi dume hata madaktari wanabuni tu.mara waseme ni kula mno nyama ya ng'ombe

Ila hiyo ya kula tigo nilisikia pia ina madhara fulani kwa mwanaume ila sikufatilia niluona tu humu jf
 
Asante mkuu
 
Mmmh mi najuaga hivyo kweli tena!
 
Mmmh! Hizo nguvu alizitoa wapi!!!
 
Halafu jamaa kama huyu niende nae kwenye moto sawa siku nikifa...
Hapa lazima ni appeal maana papuchi nilizokula mpaka sasa hazifiki 3 alafu nichomwe moto sawa na jamaa aliyekula pochi manyoya zote hizo
Mkuu haujui alikufaje Shangaa unamkuta anaelekezwa kuingia peponi kwa heshiiima kweli .wewe unapelekwa kwa kipigo motoni [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu haujui alikufaje Shangaa unamkuta anaelekezwa kuingia peponi kwa heshiiima kweli .wewe unapelekwa kwa kipigo motoni [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huyu hàta church alikua haendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…