Mfahamu rafiki mpya wa wema, Muna na "UTAJIRI" wa kutisha

Wema kashindwa kuutumia ukubwa wa jina lake hapa bongo..angekuwa mbali sana...
 
gari mbona ya kimaskini ...ndio pesa chafu hizo?
 
Kama Prado ni utajiri hata mimi ni tajiri,nafikiri maana ya utajiri haikutumika vizuri mkuu.
 
Bongo ukiwa na kibajaji tu unaitwa tajiri.
 

MCHANGO WA MADAWA YA----SI MDOGO KATIKA TAIFA HILI..NDO MAANA UKASEMA ANAPESA CHAFU
 
Warumi njoo Arusha uone watoto wakike wadogo waalivyo kua pesa chafu. Kwanza kakongwe majika ya bi cheka cjui anafanya nini inst kila kukicha. Hana lolote kutembelea nyota madame. Camera 360 inambeba

 
Hii show ya ya usiku wa Vigoma ni kama stippers tu wanachofanya bt in local way Wema kweli kushnei inambidi akatike mbele ya kadamnasi ili apate fedha na huyo Muna kama anapesa asingefanya upuuz huo, mtoa mada heshimu neno "TAJIRI" next time
 
Hehehehe huyo ni tajiri na mpambe wake ni tajiri
 
Mi mbona nashindwa kuelewa Kwani tajiri mi nani?? Kuwa na Prado ndo utajiri wa kutisha ?? Mbona watu wengi wanayo na wana kipato cha kawaida?? Wabongo tuache ushamba jamani...
 
Mimi nadhani watu wanapaswa kuelewa huku kwa ma celebrity ni full of gossips kama unajua wewe upo serious na maisha hautaki kufata au kusikia maisha ya watu wanaofahamika wanafanya nini au nini kimetokea usije huku celebrity forum..komaa na siasa na habari mchanganyiko.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…