Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No..haijaeditiwa mkuu.ndio ilivyo ivyo ivyo,niliwai kumuona NAyo wema iyo gari.Hivi hamuoni hata hicho Ki Prado chenyewe hiyo plate number imeeditiwa tu...
Kweli kwenye maisha hakuna aijuaye kesho , huyu demu alikuaga anaigiza kipindi hicho tamthilia za ITV, kala msoto wa nguvu lakini hakufanikiwa kutoka, baadae akaja kuibuka kwa Lulu akawa bodyguard kama sio secretary wa Lulu ,kutwa akawa anagandana na Lulu, baadae naona ubest ukafa, siku si nyingi akaibukia kwa madame wema sepetu, unaambiwa sasa hvi Ana pesa chafu na ndie anayemsaidia shoga ake wema sepetu karibia kila kitu, sasa sijui aka ka andunje kamepata wapi jeuri ya pesa View attachment 400952
Hehehehe huyo ni tajiri na mpambe wake ni tajiriHii show ya ya usiku wa Vigoma ni kama stippers tu wanachofanya bt in local way Wema kweli kushnei inambidi akatike mbele ya kadamnasi ili apate fedha na huyo Muna kama anapesa asingefanya upuuz huo, mtoa mada heshimu neno "TAJIRI" next time View attachment 401310
Kweli kila mtu ana define utajir in the way anavyojua yy [emoji2] [emoji1] [emoji2] "Hehehehe huyo ni tajiri na mpambe wake ni tajiri
Hahahhhnawaza kwa sauti.. mujage basi na bank statement
Alikuepo kaoleKakubwa hako ,mi sikumbuki kama nilimuona ITV
Hahahhh alaf itv wabaya kwakurusha maigizo ya zamani sipati picha wahusika sijui wanajisikiajehe mi nilimuona huko hata sura nimeikumbuka baada ya kuona hiyo ya zamani kweli umasikini unatuchakaza
akaza
Muna alimwacha kalala, badaya ya kalala kumkopa mill 1 hajamludishiaNani aliyemuacha mwenzie?