Kabisaa waende kwenye siasa wakajadili tanzania ya viwanda na kilimo cha nyanya uku watuache wambeaMimi nadhani watu wanapaswa kuelewa huku kwa ma celebrity ni full of gossips kama unajua wewe upo serious na maisha hautaki kufata au kusikia maisha ya watu wanaofahamika wanafanya nini au nini kimetokea usije huku celebrity forum..komaa na siasa na habari mchanganyiko.....
Mkwanja gani pyeeee angekua na mkwanja angefatwa yeye ndo kutwa kufata fata watu kama mkiaNdio hivyooo ,nasikia kana mkwanja kumzidii hata wema
hiv saa hz binamu mil 10 kwa mwaka au miaka mitatuKabisa binamu, maana mil 10 sio mchezo ujue, kuweka plate number jina lako fee yake ni sawa na bei ya vits
I apreciate you, come this way and take your promised gift Pm pleaseHvi unamjua warumi au unamsikia?? Aaah eti nikimbie, mtakimbia nyie mniache
hakuna tajir ambaye hana gari kaka wewe uwe na mashamba kibao na hauna gari wala pkpk sijui kama utaitwa tajiriTanzania ukiwa na gari hata la kukodi au kugongea kwa jirani utaitwa tajiri
Miss youhakuna tajir ambaye hana gari kaka wewe uwe na mashamba kibao na hauna gari wala pkpk sijui kama utaitwa tajiri
Gauteng Province South Africa... Kila mji una unique plateNumberPlate number za wapi hizo?
Plate number za wapi hizo?
sio ni muna love kazaa na casto dickson wa siz kitaaKwa mwaka binamu
miss you too [emoji105] [emoji105] [emoji105]Miss you
Ama kweli nyani haoni kundule cc Nyani Ngabu
haaaaaa umejua kunichekeshaBinam achana nao hao bana ,wao wenyewe wanapenda umbea balaa na ni wambea haswaaaa