GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
Ila muna ana sura nzito jamani utadhani turubai, usiombe kuona picha ambayo hajaedit kama sio yeye maimuna
Hili uzito wa sura kufanana na turubai ni special release dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila muna ana sura nzito jamani utadhani turubai, usiombe kuona picha ambayo hajaedit kama sio yeye maimuna
Binamu huyu atakuwa mgeni humu, hajui unaweza kubishana na watu wote pekeako? Wageni hawa wasamehe tu.Hvi unamjua warumi au unamsikia?? Aaah eti nikimbie, mtakimbia nyie mniache
Peoplee talk too much,halaf wanawaambia wenzao wambea wanapenda fatilia mambo ya watu wakayi nao ni wale wale ama kweli nyani haoni mkunduu wake ulivyo mwekundu anaona wa wenzie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dina Z...kulikoni bibie? Wakupe breki....they talk too much?😀
Cheka mwayaaaa ,kumbe hawajionagi hahahhaaaaaa umejua kunichekesha
SouthPlate number za wapi hizo?
Mtto wa peter yule mzee aliefunga nae ndoa uyo casto kuuzisha sura tu insta baba wa instasio ni muna love kazaa na casto dickson wa siz kitaa
Hahahahaaa wewe komeshaaaa!unajua mpaka kiasi alichokopa, kalala alifata hela kwa muna, hivyo kumchuna ndio lilikuwa lengo.Muna alimwacha kalala, badaya ya kalala kumkopa mill 1 hajamludishia
Binamu kama tuliwashinda kipindi like bhaaas hawatuwez tenaaPeoplee talk too much,halaf wanawaambia wenzao wambea wanapenda fatilia mambo ya watu wakayi nao ni wale wale ama kweli nyani haoni mkunduu wake ulivyo mwekundu anaona wa wenzie tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kipindi kile ndio ilikua moto haaaaBinamu kama tuliwashinda kipindi like bhaaas hawatuwez tenaa
Mtoto wa casto, Peter alibambikiwa tu ile mimba wakati huo Muna alikuwa na hamu ya ndoa, ila ndoa ilivyomchefua aliweka wazi kuwa Peter si baba wa mtoto na hii ilimuumiza sana peter maana ni aibu kwa ndugu na jamaa kwa jinsi alikuwa kuwa amelea mimba na mtoto, maskini leo casto anajishebedua kwa kulelewa mtoto.Mtto wa peter yule mzee aliefunga nae ndoa uyo casto kuuzisha sura tu insta baba wa insta
Mmh mwasu sidhani mbona peter alimwandikia nyumba yule mtto na yy ndo anamuhudumia kila kitu mpk sasaMtoto wa casto, Peter alibambikiwa tu ile mimba wakati huo Muna alikuwa na hamu ya ndoa, ila ndoa ilivyomchefua aliweka wazi kuwa Peter si baba wa mtoto na hii ilimuumiza sana peter maana ni aibu kwa ndugu na jamaa kwa jinsi alikuwa kuwa amelea mimba na mtoto, maskini leo casto anajishebedua kwa kulelewa mtoto.
Anaendaga na kuludiinamaan muna anakaa sauzi.? mana plate number zetu hizo wa Gauteng pande za jozi Pretoria na viunga zake
Yaliwekwa wazi insta na mashoga zake muna my dia sisi wambea yetu kusoma tuHahahahaaa wewe komeshaaaa!unajua mpaka kiasi alichokopa, kalala alifata hela kwa muna, hivyo kumchuna ndio lilikuwa lengo.