Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
I remember those days... Hivi huyu si ndio yule wa The November crusade?Nilihudhuria mkutano wake Tanga 1993
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I remember those days... Hivi huyu si ndio yule wa The November crusade?Nilihudhuria mkutano wake Tanga 1993
Yule alikuwa ni Morris Cerulo...I remember those days... Hivi huyu si ndio yule wa The November crusade?
Ni yeye. Kule Nigeria walipokea neno miaka ya 90’s sasa hivi Bonnke akienda atapewa neno. Kuna prophets kila konaI remember those days... Hivi huyu si ndio yule wa The November crusade?
Ooh sawa sawa nilichanganya kidogoYule alikuwa ni Morris Cerulo...
Ni kweli nimekumbukaYule alikuwa ni Morris Cerulo...
Bila shaka tulikuwa pamoja eneo hilo. Nakumbuka alisimamishaga mvua. Ni muinjilisti mmoja matata. Nakumbuka salamu yake ya mwisho ilikuwa ni "Tutaonana Mbinguni"Nimemuona kwa macho uwanja wa sokoine Mbeya mwaka
1992 jamaa bonge la muinjilist.
Nakumbuka mwaka 1993 alikuja Mbeya, hapo nilikuwa na Walkman yangu ya Sony, nikiinunua kwenye duka la Sony Corporation Samora Avenue kwa TZS. 50'000/- ilikuwa inatwanga kinoma.
Siku hiyo nakumbuka nilikuwa naisikikiza album ya 2pac Me Against The World, nilipofika kwa Bonke uwanja wa Sokoine, mvua kubwa ikaanza, Bonke akaionyeshea mkono, mvua ikakata instantly
Hao Mabwana wakiamua Kuwa na Dini hata sisi tunasubiri sana.Nimemuona kwa macho uwanja wa sokoine Mbeya mwaka
1992 jamaa bonge la muinjilist.
kumbe umekula chumvi eee...nilidhani ni kabintiNilihudhuria mkutano wake Tanga 1993
Nilihudhuria mkutano wake wa mwisho DarNilihudhuria mkutano wake Tanga 1993
Nimemuona kwa macho uwanja wa sokoine Mbeya mwaka
1992 jamaa bonge la muinjilist.
Hakuwa na miujiza?Habari wana ndugu mnaendeleaje na vyuma kukaza
Moja kwa kwa moja kwenye pointi leo naomba tukumbashane kidogo mtu aliwai kuvuma sana hapa duniani Enzi za miaka ya 70 -2003 miaka hiyo Mtumishi kutoka Ujerumani bwana REINHARD BONKE aliwazaliwa mwaka 1940-4-19 alimpokea YESU akiwa na miaka 9 kwenye mkutano uliofanywa na huko MUNICH mwaka 1949 akiwa ndie mototo pekee alienyoosha mkono anaitaji kuokoka baada ya kuokoka alikuwa na kipaji cha kipekee cha kuchambua vitabu vya dini hadi wazazi wake waliatamania kasomee ukasisi aje kuwa papa lakini haikuwezeka akiwa na miaka 17 aliandika kitabu cha Time is running alijunga na masomo ya bible school huko Swansea
Bonke aliowa 1964 akapata wototo 3 na wajukuu 8
Mwaka 1974 Bonke alianza huduma yake akiwa na watu 100 hivi alianzisha ya chama CHRIST FOR ALL NATION'' CfaN''' 1986
Bonke alizunguka zaidi ya nchi zote African ikiwemo Tanzania mikoa ya Dar es Salaam na Kilimanjaro
Nigeria
SOUTH AFRICA
UGANDA
KENYA
UGANDA
DRC
NIGER
ZAMBIA
MALAWI
Na nchi nyingi hapa na Duniani huku akishika nafasi ya juu kuliko wote kukusanya watu katika mikutano yake ambayo wahuzuriaji wa mikutano yake hawakuwa chini ya Laki 400,000
Kwa sasa Bonke anamiaka 79 umri umeenda sana hafanyi tena huduma ya dunia nzima anatoa huduma ndogo ndogo huko vitongoji vya nchi za Ujerumani na Uingereza
Anajulikana kama ''GREAT AFRICAN MISSIONARY'' Ameacha jina kubwa sana dunia tangu miaka ya ya 1990 hadi leo hakuibuka mtu wakujaza nafasi ya katika mikutano yake Africa na dunia kwa ujumla
kwa ufupi tumekumbushana tuu juu ya BWANA REIHHARD BONKE
''NASHUKURU''
View attachment 754305
Habari wana ndugu mnaendeleaje na vyuma kukaza