Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Huyu jamaa alikuwa na P. A ya hatari . Nakumbuka mwaka 1996 alikuja pale kwenye viwanja vya nje shamba la bb mi nilikuwa maeneo ya Tazara natokea airport nikawa nasikia kila kitu clearly nikiwa Tazara kwenye daladala ikabidi niahirishe safari yangu kueleke Upanga niende tu pale Uwanjani kuona hizo spika zikoje haswa .
 
Nakumbuka mwaka 1993 alikuja Mbeya, hapo nilikuwa na Walkman yangu ya Sony, nikiinunua kwenye duka la Sony Corporation Samora Avenue kwa TZS. 50'000/- ilikuwa inatwanga kinoma.
Siku hiyo nakumbuka nilikuwa naisikikiza album ya 2pac Me Against The World, nilipofika kwa Bonke uwanja wa Sokoine, mvua kubwa ikaanza, Bonke akaionyeshea mkono, mvua ikakata instantly

Ahahaha hii mbeya moja.
 
Nikikutana naye viwanja vya Furahisha Mwanza.Alikuwa na makontena kibao,wakaanza kumsingizia eti anasafirisha unga.
 
Umesahau kuwa darasani alikuwa kilaza, kwa mujibu wa ushuhuda wake
 
Habari wana ndugu mnaendeleaje na vyuma kukaza

Moja kwa kwa moja kwenye pointi leo naomba tukumbashane kidogo mtu aliwai kuvuma sana hapa duniani Enzi za miaka ya 70 -2003 miaka hiyo Mtumishi kutoka Ujerumani bwana REINHARD BONKE aliwazaliwa mwaka 1940-4-19 alimpokea YESU akiwa na miaka 9 kwenye mkutano uliofanywa na huko MUNICH mwaka 1949 akiwa ndie mototo pekee alienyoosha mkono anaitaji kuokoka baada ya kuokoka alikuwa na kipaji cha kipekee cha kuchambua vitabu vya dini hadi wazazi wake waliatamania kasomee ukasisi aje kuwa papa lakini haikuwezeka akiwa na miaka 17 aliandika kitabu cha Time is running alijunga na masomo ya bible school huko Swansea
Bonke aliowa 1964 akapata wototo 3 na wajukuu 8
Mwaka 1974 Bonke alianza huduma yake akiwa na watu 100 hivi alianzisha ya chama CHRIST FOR ALL NATION'' CfaN''' 1986
Bonke alizunguka zaidi ya nchi zote African ikiwemo Tanzania mikoa ya Dar es Salaam na Kilimanjaro
Nigeria
SOUTH AFRICA
UGANDA
KENYA
UGANDA
DRC
NIGER
ZAMBIA
MALAWI
Na nchi nyingi hapa na Duniani huku akishika nafasi ya juu kuliko wote kukusanya watu katika mikutano yake ambayo wahuzuriaji wa mikutano yake hawakuwa chini ya Laki 400,000
Kwa sasa Bonke anamiaka 79 umri umeenda sana hafanyi tena huduma ya dunia nzima anatoa huduma ndogo ndogo huko vitongoji vya nchi za Ujerumani na Uingereza

Anajulikana kama ''GREAT AFRICAN MISSIONARY'' Ameacha jina kubwa sana dunia tangu miaka ya ya 1990 hadi leo hakuibuka mtu wakujaza nafasi ya katika mikutano yake Africa na dunia kwa ujumla
kwa ufupi tumekumbushana tuu juu ya BWANA REIHHARD BONKE

''NASHUKURU''

View attachment 754305
Hakuwa na miujiza?
 
Another bonafide conman!
 
Back
Top Bottom