Mfahanu Williams Shakespeare na utata wa kazi zake

" IT WILL COME WHEN IT WILL COME". Nishaichukua hiyo, Imependeza
 
Ahsante sana mkuu nimeongeza kitu hapa..

Huu mkanganyiko ndo shida sasa duuh..Labda walimfichia ukweli wazungu..
 
Mkuu Umesoma Riwaya za Kevin Mponda..?
Riwaya kama Ufukwe wa madagascar, Mtutu wa bunduki, Tai kwenye mzoga nk..*?

Jamaa anavyoo elezea Barabara na mitaa ya nchi mbalimbali utadhani upo unacheki muvi..Nimepanga nimpigie simu siku moja nimuulize akitaka kuandika Riwaya zake hua anaanza kutembelea nchi na kujifunza lugha ya nchi hiyo au..
 
Hapana mkuu sijabahatika kusoma hivyo vitabu. Ila ujue walau siku hizi rahisi kidogo kuliko enzi hizo, maana unaweza jua barabara na mitaa ya London ukiwa kwako umekaa bila kutoka kwa kutumia Ovi maps au hata google maps.
We fikiria google inajua mitaa na barabara za dar kuliko hata wakazi wa dar.
Kuna siku jama aliniambia tukutane china restaurant posta nilikuwa hata sijui iko wapi nilichofanya nilitumia google map yani ilinielekeza kiasi kwamba nimefika ikaniambia your destination is on your right nageuka naipna kweli.
Siku nyingine kuna mdada flani aliniambia niende kwake mbezi akanitajia mtaa siufahanu ila akashate nami location whatsapp yani google map iliniongoza mpaka mlangoni kwake.
Sasa sijui enzi za hawa jamaa walikuwa wanafanyaje.
Kuna kipindi nilikuwa nasoma hadithi za shigongo kitambo early 2000's naye alikuwa anaeleza mitaa ya nchi mbalimbali sasa sijui ilikuwa kweli au alikuwa anatupiga kamba, ila niliacha soma hadithi zake baada ya kusoma za Hussein Twaha kama Mtuhumiwa, mkimbizi na msunguaji (Hii mdunguaji Hussein nahisi aliicopy kutoka kwenye movie ya sniper reloaded).
 
Swali linakuja hivi..Hawa waandishi wetu wa zamani waliwezaje kuandika mitaa na barabara za nchi mbalimbali..?
.......

Kama upo Interested na simulizi ngoja nikutag kwenye hizo hadithi za hadithi mponda maana hata humu zimo..!
 
Swali linakuja hivi..Hawa waandishi wetu wa zamani waliwezaje kuandika mitaa na barabara za nchi mbalimbali..?
.......

Kama upo Interested na simulizi ngoja nikutag kwenye hizo hadithi za hadithi mponda maana hata humu zimo..!
Hebu ntag nkasome mkuu namkumbuka mzee willy gamba
 
Zamani nilikua napenda sana kusoma vitabu hasa Novel za Sidney Sheldon ila siku hzi majukumu ya umama na familia vimenifanya nisahau kidogo. Ila huyo Shakespeare
 
Na huyo mwanamke ni wewe hapo I guees
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…