Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Misri wanasubiri nini kwa nini wasikusikie waipige basi Israel kwa hayo masaa na kwa nini Israel ndio waombwe wakubali kufunguliwa kwa mpaka wa Misri na Gaza.Hao ni mapuppet wa America nchi kama Misri inaweza kuipiga Israel kwa masaa tu , lakini eti wanaomba Israel afungue mpaka pumbafu tu, hawa ndio viongozi Mwenyezi Mungu atawadhibu sana.
haisikitishi kuua mwiz mtaan?Nimeona wamisr wengi wameandamana wanataman wavunje geti wanasema wapo tayar kwa vita,,,inasikitisha sana mtu ufungiwe hamna maji,chakula,umeme,etc misaada pia izuiliwe hata kama ni roho ya ushetani hiki kiwango ni chakutisha[emoji1373][emoji174]unyama wanaofanyiwa wa palestina [emoji1373]
We fatlia story 1973 Misri ndio alishinda hio vita na tukiwambia Israel hawezi kupigana vita bila US mnabisha.Sasa Misri wanasubiri nini kwa nini wasikusikie waipige basi Israel kwa hayo masaa na kwa nini Israel ndio waombwe wakubali kufunguliwa kwa mpaka wa Misri na Gaza.
Kama wewe huna jibu basi Misri wanalo, hawapendi yale ya 1973 yajirudie tena. Wewe dini ya mwarabu imekulewesha huwezi kufahamu.
Hivi kwanini neno "KIBARAKA " ni common sana midomoni mwa waislamu?.Hao ni mapuppet wa America nchi kama Misri inaweza kuipiga Israel kwa masaa tu , lakini eti wanaomba Israel afungue mpaka pumbafu tu, hawa ndio viongozi Mwenyezi Mungu atawadhibu sana.
Maneno yako ni kweli lakini warabu tumewekewa vibaraka wa kimarekani na waingereza au wafaransa ndio wanatutawala wao wananua silaha lakini hizo silaha sio za kumpiga Israel ni kwa ajili ya kuwauwa wananchi zao kama vile wafrika silaha hizo walizo nazo nakujiuwa wenyewe kwa wenyewe kama warabu.Wa Arab na porojo zao, wanajua kupiga kelele na maneno tu, ndugu zenu wanapigwa, nyie mnatoa matamko tu! Russia ilipoivamia Ukraine, si mliona wazungu walichofanya kulinda ndugu zao?
Na nyie tangazeni, "No, fly zone ndani ya anga ya GAZA" Kuzuia ndege za Israel kushambulia,
Mlikaa kimya,wakati Ghadafi wa Libya, anakula kichapo cha mbwa mwizi, kutoka NATO na USA, sasa hv, mnafura hasira, hamfanyi chochote zaidi ya, maneno!
Undeni umoja wa kijeshi wa kiarab, Arab nations, military and defence Force.
Bila hivyo hawa, Judeo Christians, watawachezea Sana.
Kwani kuwaita viongozi hao vibaraka ni uwongo, ukitaka kujua kama ni vibaraka tazama wanavyo mpokea waziri wa America ambaye anajisifu kabisa yeye ni myahudi wangekuwa hao si vibaraka wengempokea kwenye nchi zao kama kweli warabu na wanapenda uwarabu wao.Hivi kwanini neno "KIBARAKA " ni common sana midomoni mwa waislamu?.
Ni ngumu sana mwana-mqawama kujadili Siasa za kimataifa bila kutaja ilo neno.
Ni kweli Sheikh ila mi nilitaka kujua kwanini ilo neno ni Common sana midomoni mwenu.Kwani kuwaita viongozi hao vibaraka ni uwongo, ukitaka kujua kama ni vibaraka tazama wanavyo mpokea waziri wa America ambaye anajisifu kabisa yeye ni myahudi wangekuwa hao si vibaraka wengempokea kwenye nchi zao kama kweli warabu na wanapenda uwarabu wao.
Misri 1967 ilipigwa na Israel kwa masaa, ndani ya siku sita wakapoteza eneo lote la Sinai, na Gaza ndani ya siku 6Hao ni mapuppet wa America nchi kama Misri inaweza kuipiga Israel kwa masaa tu , lakini eti wanaomba Israel afungue mpaka pumbafu tu, hawa ndio viongozi Mwenyezi Mungu atawadhibu sana.
Kwani mtu kuitwa kibaraka ni kwa sababu gani?Ni kweli Sheikh ila mi nilitaka kujua kwanini ilo neno ni Common sana midomoni mwenu.
Ungemuambia kwanza Biden awache kuiba mafuta ya Syria ndio huyo angaishi vizuri Syriahuyu mdada aende kuishi Syria
Saudia mnafiki. Anakusanya hela ya Mahujaji kila mwaka Ila ikifika kipindi cha kutoa misaada ananyuti kama Sisi tu huku TangonyekaJuhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja.
Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana na mashambulizi yanayoendelea huko Gaza kutoka jeshi la Israel.
Katika mkutano wao huo wote walikubaliana kutoruhusu wapalestina kufanywa wakimbizi kwa mara nyengine.Badala yake wamesisitiza Israel wafungue mipaka yake na hasa upande wa Misri ili misaada ya chakula na mahitaji mengine iwafikie wapalestina.
Katika nchi ya Misri maandamano yamepigwa marufuku kwa muda mrefu,hata hivyo jana Ijumaa raisi mwenyewe ndiye aliyeyapa kibali.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa naye ameonekana kukemea kwa ukali kitendo cha Israel kukataa kufungua mpaka ili misaada inayosubiri mpakani iweze kuingia Gaza.
Misaada hiyo imeelezwa isipoingia katika kipindi cha masaa 24 yajayo wapalestina wataanza kufa kwa njaa na kiu kwani wamezuilika kujitafutia riziki zao kutokana na kudondoshewa mabomu mfululizo kutoka jeshi la Israel.
Egypt's El Sisi and Jordan's King Abdullah call for 'immediate stop' to Israel-Gaza war
View attachment 2787908
Hizo ni propoganda za Western walio pigana ni hao hao America, Europe afu kwenye Google huwezi upata ukweli daima Israel yeye anajisifia.Misri 1967 ilipigwa na Israel kwa masaa, ndani ya siku sita wakapoteza eneo lote la Sinai, na Gaza ndani ya siku 6
Safi sana kiongoziIpo nyengine.Achia ardhi za watu na kuua uishi kwa usalama.
Shuleni ndiyo ulifindishwa hivyo au kanisani?Hao wapalestina mwisho wa siku waje wasambazwe tu kwa hao waarabu ndio amani itakapopatikana, sio kweli kwamba hizo ardhi wanazodai eti ni zao wakati walikuja tu wakazivamia wakati Israel walipoenda uhamishoni.
Wapalextina wameshikilia mateka kwani?Ipatikane TU win-win solution, achia mateka pata chakula, pata chakula achia mateka
Wapalextina wameshikilia mateka kwani?Ipatikane TU win-win solution, achia mateka pata chakula, pata chakula achia mateka