Mfalme Abdallah wa Jordan na Rais El Sisi wa Misri waitaka Israel ifungue mpaka haraka

Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja.

Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana na mashambulizi yanayoendelea huko Gaza kutoka jeshi la Israel.

Katika mkutano wao huo wote walikubaliana kutoruhusu wapalestina kufanywa wakimbizi kwa mara nyengine.Badala yake wamesisitiza Israel wafungue mipaka yake na hasa upande wa Misri ili misaada ya chakula na mahitaji mengine iwafikie wapalestina.

Katika nchi ya Misri maandamano yamepigwa marufuku kwa muda mrefu,hata hivyo jana Ijumaa raisi mwenyewe ndiye aliyeyapa kibali.

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa naye ameonekana kukemea kwa ukali kitendo cha Israel kukataa kufungua mpaka ili misaada inayosubiri mpakani iweze kuingia Gaza.

Misaada hiyo imeelezwa isipoingia katika kipindi cha masaa 24 yajayo wapalestina wataanza kufa kwa njaa na kiu kwani wamezuilika kujitafutia riziki zao kutokana na kudondoshewa mabomu mfululizo kutoka jeshi la Israel.

Egypt's El Sisi and Jordan's King Abdullah call for 'immediate stop' to Israel-Gaza war

View attachment 2787908
Wapewe msaada ili washibe waendeleze ukora big NO NO...
Wavune walichopanda
 
Nimeona wamisr wengi wameandamana wanataman wavunje geti wanasema wapo tayar kwa vita,,,inasikitisha sana mtu ufungiwe hamna maji,chakula,umeme,etc misaada pia izuiliwe hata kama ni roho ya ushetani hiki kiwango ni chakutisha[emoji1373][emoji174]unyama wanaofanyiwa wa palestina [emoji1373]
Hii ndio namna bora ya kudeal na kobasi, tofauti na hapo hawasikii.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja.

Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana na mashambulizi yanayoendelea huko Gaza kutoka jeshi la Israel.

Katika mkutano wao huo wote walikubaliana kutoruhusu wapalestina kufanywa wakimbizi kwa mara nyengine.Badala yake wamesisitiza Israel wafungue mipaka yake na hasa upande wa Misri ili misaada ya chakula na mahitaji mengine iwafikie wapalestina.

Katika nchi ya Misri maandamano yamepigwa marufuku kwa muda mrefu,hata hivyo jana Ijumaa raisi mwenyewe ndiye aliyeyapa kibali.

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa naye ameonekana kukemea kwa ukali kitendo cha Israel kukataa kufungua mpaka ili misaada inayosubiri mpakani iweze kuingia Gaza.

Misaada hiyo imeelezwa isipoingia katika kipindi cha masaa 24 yajayo wapalestina wataanza kufa kwa njaa na kiu kwani wamezuilika kujitafutia riziki zao kutokana na kudondoshewa mabomu mfululizo kutoka jeshi la Israel.

Egypt's El Sisi and Jordan's King Abdullah call for 'immediate stop' to Israel-Gaza war

View attachment 2787908
BINADAMU KUFA KWA NJAA NI AIBU KWA DUNIA. Inakuaje utumie njaa kwa Raia kama njia ya kupigana vita...?? Hii inaonesha wewe huna mbinu za kivita.

Mtu hawi gaidi mpaka atende ugaidi. HAMAS ni magaidi kwa sababu wametenda ugaidi NDIO. Lakini Je..! Vipi na Israel mbona nao wanatenda yale yale ya HAMAS tuwaitaje..?? 🤔🤔
 
Wao wanatenda unyama halisi na zaidi.Kutumia maji na chakula ni ukatili wa hali ya juu.Urusi ana uhasama sana na Ukraine lakini ameshindwa kuzipiga mabomu meli zinazokwenda kibabe kuchukua chakula ili kifike Ulaya japo ana uwezo huo na onyo ameshatoa.Kwa vile shida ni kupambana na kiburi kitokanacho na uchumi wa kilimo wa Ukraine lakini anachofanya ni chakula kibaki zaidi Ukraine na sio kufika Ulaya kwenye watu wanaompiga vita na yeye pia.
 
kwa bahati mbaya, hawana uwezo kuiamuru Israel na hawatakuwa na uwezo huo maisha yao yote. israel itafungua mipaka pale itakapotaka, itakapoona usalama wake u mzuri, la sivyo, wakakojoe wakalale.
 
BINADAMU KUFA KWA NJAA NI AIBU KWA DUNIA. Inakuaje utumie njaa kwa Raia kama njia ya kupigana vita...?? Hii inaonesha wewe huna mbinu za kivita.

Mtu hawi gaidi mpaka atende ugaidi. HAMAS ni magaidi kwa sababu wametenda ugaidi NDIO. Lakini Je..! Vipi na Israel mbona nao wanatenda yale yale ya HAMAS tuwaitaje..?? 🤔🤔
israel wanajilinda, na hao raia wa gaza wote ni hamas, wamechagua chama cha hamas, kwa lugha nyengine hamas ni magaidi na wale waliopiga kura kuwachagua wamechagua chama cha kigaidi na ni magaidi. uliona walivyofurahia mauaji ya israel? sasa wakipigwa wanatakiwa kukubaliana na hali kwasababu ni wafuasi wa hamas. hata hapa ukiwa mfuasi wa chadema unastahili kile chadema inakipata, sio viongozi tu ndio wanakabiliana.
 
Pole sana
 
Ndio maana wote wanazunguka halafu wanaishia Misri.Wanajua kipi kitakachotokea pindi Elsisi atakapoingiwa na imani ya hali ya juu akafungua geti.Wataanza askari wake kwanza kuvuka kabla ya wananchi. Kule Jordan geti limewekwa mbali sana na raia kwani nako wakati wowote mambo yakizidi hakuna wa kuwazuia asilimia 80 ya raia hao kukanyaga kwa mguu mpaka Jericho.
Maneno mengi ya nini,wao wavunje tu hayo mageti na waende wakawasaidie ndugu zao kama kweli wana nia ya kuwasaidia
 
Wao wanatenda unyama halisi na zaidi.Kutumia maji na chakula ni ukatili wa hali ya juu.Urusi ana uhasama sana na Ukraine lakini ameshindwa kuzipiga mabomu meli zinazokwenda kibabe kuchukua chakula ili kifike Ulaya japo ana uwezo huo na onyo ameshatoa.Kwa vile shida ni kupambana na kiburi kitokanacho na uchumi wa kilimo wa Ukraine lakini anachofanya ni chakula kibaki zaidi Ukraine na sio kufika Ulaya kwenye watu wanaompiga vita na yeye pia.
Israel nao ni Nchi ya kigaidi
 
Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja.

Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana na mashambulizi yanayoendelea huko Gaza kutoka jeshi la Israel.

Katika mkutano wao huo wote walikubaliana kutoruhusu wapalestina kufanywa wakimbizi kwa mara nyengine.Badala yake wamesisitiza Israel wafungue mipaka yake na hasa upande wa Misri ili misaada ya chakula na mahitaji mengine iwafikie wapalestina.

Katika nchi ya Misri maandamano yamepigwa marufuku kwa muda mrefu,hata hivyo jana Ijumaa raisi mwenyewe ndiye aliyeyapa kibali.

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa naye ameonekana kukemea kwa ukali kitendo cha Israel kukataa kufungua mpaka ili misaada inayosubiri mpakani iweze kuingia Gaza.

Misaada hiyo imeelezwa isipoingia katika kipindi cha masaa 24 yajayo wapalestina wataanza kufa kwa njaa na kiu kwani wamezuilika kujitafutia riziki zao kutokana na kudondoshewa mabomu mfululizo kutoka jeshi la Israel.

Egypt's El Sisi and Jordan's King Abdullah call for 'immediate stop' to Israel-Gaza war

View attachment 2787908

Anaitwa Fatah Al Sisi
Ni Classmate wangu yule
 
Wao wanatenda unyama halisi na zaidi.Kutumia maji na chakula ni ukatili wa hali ya juu.Urusi ana uhasama sana na Ukraine lakini ameshindwa kuzipiga mabomu meli zinazokwenda kibabe kuchukua chakula ili kifike Ulaya japo ana uwezo huo na onyo ameshatoa.Kwa vile shida ni kupambana na kiburi kitokanacho na uchumi wa kilimo wa Ukraine lakini anachofanya ni chakula kibaki zaidi Ukraine na sio kufika Ulaya kwenye watu wanaompiga vita na yeye pia.
Naunga mkono hoja 🤝💯 tena Ukitumia njia za kigaidi kupambana na gaidi ata wewe nae ni gaidi haijalishi ulikuwa unapambana kwa lengo gani

Ivo HAMAS na ISRAEL wote ni MAGAIDI.
SIUNGI MKONO UGAIDI
 
Back
Top Bottom