Mfalme Abdallah wa Jordan na Rais El Sisi wa Misri waitaka Israel ifungue mpaka haraka

Hao ni mapuppet wa America nchi kama Misri inaweza kuipiga Israel kwa masaa tu , lakini eti wanaomba Israel afungue mpaka pumbafu tu, hawa ndio viongozi Mwenyezi Mungu atawadhibu sana.
Sasa Misri wanasubiri nini kwa nini wasikusikie waipige basi Israel kwa hayo masaa na kwa nini Israel ndio waombwe wakubali kufunguliwa kwa mpaka wa Misri na Gaza.

Kama wewe huna jibu basi Misri wanalo, hawapendi yale ya 1973 yajirudie tena. Wewe dini ya mwarabu imekulewesha huwezi kufahamu.
 
haisikitishi kuua mwiz mtaan?
 
Kwani Misri si ana mpaka na Palestine kusini mwa Gaza...

Angefungua mpaka raia waende Misri au la hasha misaada ipite huko...

Kitendo cha Misri kutofungua huu mpaka ni kama anahofia kujiweka matatani na Israel...
 
We fatlia story 1973 Misri ndio alishinda hio vita na tukiwambia Israel hawezi kupigana vita bila US mnabisha.

Hamasi peke yake ana muogopa na tukiwambia America na yeye yupo mnabisha haya jionee mwenyewe hi picture alibandika Rais wa America badaye akaifuta 😂
 
Attachments

  • 1697884565280.png
    380.5 KB · Views: 3
Hao ni mapuppet wa America nchi kama Misri inaweza kuipiga Israel kwa masaa tu , lakini eti wanaomba Israel afungue mpaka pumbafu tu, hawa ndio viongozi Mwenyezi Mungu atawadhibu sana.
Hivi kwanini neno "KIBARAKA " ni common sana midomoni mwa waislamu?.
Ni ngumu sana mwana-mqawama kujadili Siasa za kimataifa bila kutaja ilo neno.
 
Maneno yako ni kweli lakini warabu tumewekewa vibaraka wa kimarekani na waingereza au wafaransa ndio wanatutawala wao wananua silaha lakini hizo silaha sio za kumpiga Israel ni kwa ajili ya kuwauwa wananchi zao kama vile wafrika silaha hizo walizo nazo nakujiuwa wenyewe kwa wenyewe kama warabu.

Misri, Saud Arabia, UAE, Algeria, Morocco wana silaha nyingi tu uliwahi kuona zinatumika kupiga Israel
 
Hivi kwanini neno "KIBARAKA " ni common sana midomoni mwa waislamu?.
Ni ngumu sana mwana-mqawama kujadili Siasa za kimataifa bila kutaja ilo neno.
Kwani kuwaita viongozi hao vibaraka ni uwongo, ukitaka kujua kama ni vibaraka tazama wanavyo mpokea waziri wa America ambaye anajisifu kabisa yeye ni myahudi wangekuwa hao si vibaraka wengempokea kwenye nchi zao kama kweli warabu na wanapenda uwarabu wao.
 
Ni kweli Sheikh ila mi nilitaka kujua kwanini ilo neno ni Common sana midomoni mwenu.
 
Hao ni mapuppet wa America nchi kama Misri inaweza kuipiga Israel kwa masaa tu , lakini eti wanaomba Israel afungue mpaka pumbafu tu, hawa ndio viongozi Mwenyezi Mungu atawadhibu sana.
Misri 1967 ilipigwa na Israel kwa masaa, ndani ya siku sita wakapoteza eneo lote la Sinai, na Gaza ndani ya siku 6
 
Saudia mnafiki. Anakusanya hela ya Mahujaji kila mwaka Ila ikifika kipindi cha kutoa misaada ananyuti kama Sisi tu huku Tangonyeka
 
Misri 1967 ilipigwa na Israel kwa masaa, ndani ya siku sita wakapoteza eneo lote la Sinai, na Gaza ndani ya siku 6
Hizo ni propoganda za Western walio pigana ni hao hao America, Europe afu kwenye Google huwezi upata ukweli daima Israel yeye anajisifia.

Hivi hichi kipigo alicho pigwa na Hamasi kwa masaa mawili tu akapigiwa barracks zake nne na kutekwa watu 300 hili ndio jeshi linaweza kupigana na Misri ambaye ndio super power wa Africa na middle East nzima.

Nyie ndio wale mnaosoma bibilia inasema hakuna mtu kamuona Mungu afu mnasema Yesu ni Mungu ukristo ni ukosefu wa akili.

Mwenye akili timamu anaweza amini kuwa Mungu ni mbaguzi akawa na taifa lake dogo tu, tena halifiki hata robo ya Tanzania 😂

Afu Mungu anavyo lidhalisha hilo taifa ndio la kwanza duniani kwa ushoga na la kwanza duniani kupewa misada 😂

View: https://youtu.be/J_j9y0gxHcE?si=XQkjbBGI--fLX_38
Hizo ndio silaha za Misri mwaka 2020 sa hivi ujuwe zimezidi sana
 
Hao wapalestina mwisho wa siku waje wasambazwe tu kwa hao waarabu ndio amani itakapopatikana, sio kweli kwamba hizo ardhi wanazodai eti ni zao wakati walikuja tu wakazivamia wakati Israel walipoenda uhamishoni.
Shuleni ndiyo ulifindishwa hivyo au kanisani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…