Mfalme Abdallah wa Jordan na Rais El Sisi wa Misri waitaka Israel ifungue mpaka haraka

Wapewe msaada ili washibe waendeleze ukora big NO NO...
Wavune walichopanda
 
Hii ndio namna bora ya kudeal na kobasi, tofauti na hapo hawasikii.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
BINADAMU KUFA KWA NJAA NI AIBU KWA DUNIA. Inakuaje utumie njaa kwa Raia kama njia ya kupigana vita...?? Hii inaonesha wewe huna mbinu za kivita.

Mtu hawi gaidi mpaka atende ugaidi. HAMAS ni magaidi kwa sababu wametenda ugaidi NDIO. Lakini Je..! Vipi na Israel mbona nao wanatenda yale yale ya HAMAS tuwaitaje..?? πŸ€”πŸ€”
 
Wao wanatenda unyama halisi na zaidi.Kutumia maji na chakula ni ukatili wa hali ya juu.Urusi ana uhasama sana na Ukraine lakini ameshindwa kuzipiga mabomu meli zinazokwenda kibabe kuchukua chakula ili kifike Ulaya japo ana uwezo huo na onyo ameshatoa.Kwa vile shida ni kupambana na kiburi kitokanacho na uchumi wa kilimo wa Ukraine lakini anachofanya ni chakula kibaki zaidi Ukraine na sio kufika Ulaya kwenye watu wanaompiga vita na yeye pia.
 
kwa bahati mbaya, hawana uwezo kuiamuru Israel na hawatakuwa na uwezo huo maisha yao yote. israel itafungua mipaka pale itakapotaka, itakapoona usalama wake u mzuri, la sivyo, wakakojoe wakalale.
 
israel wanajilinda, na hao raia wa gaza wote ni hamas, wamechagua chama cha hamas, kwa lugha nyengine hamas ni magaidi na wale waliopiga kura kuwachagua wamechagua chama cha kigaidi na ni magaidi. uliona walivyofurahia mauaji ya israel? sasa wakipigwa wanatakiwa kukubaliana na hali kwasababu ni wafuasi wa hamas. hata hapa ukiwa mfuasi wa chadema unastahili kile chadema inakipata, sio viongozi tu ndio wanakabiliana.
 
Pole sana
 
Maneno mengi ya nini,wao wavunje tu hayo mageti na waende wakawasaidie ndugu zao kama kweli wana nia ya kuwasaidia
 
Israel nao ni Nchi ya kigaidi
 

Anaitwa Fatah Al Sisi
Ni Classmate wangu yule
 
Naunga mkono hoja πŸ€πŸ’― tena Ukitumia njia za kigaidi kupambana na gaidi ata wewe nae ni gaidi haijalishi ulikuwa unapambana kwa lengo gani

Ivo HAMAS na ISRAEL wote ni MAGAIDI.
SIUNGI MKONO UGAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…