Mfalme Abdullah II wa Jordan amwaga darasa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye Bunge la Ulaya

Tatizo la wakristo wengi wao ni mbumbumbu sana na ndio Hilo kundi linajitahidi kuukataa ukweli huku wakinadi dini za mababu zao..

*...wamekwisha kufuru wale wasemao Mungu ni watatu... *

Kwa kumfanya Allah kuwa mwenye mwana.
W
Mimi naamini wapinzani wa Uislam siyo wakristo, wanaoupinga Uislam ni ni dini mpya inayoitwa lgbtq.
 
HA
Hahahahaha yeyote aneupinga ukristo au uislamu uyo ni upinde
Huo ndiyibukweli, tazama Qur'an inasenaje kuhusu Wakristo👇🏾

Qur'an 5:82. Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara (Wakristo). Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi. 82
Hilo darsa linawahusu nini wasio waislam? Wazungu wala hawaelewi hicho kitu ni nini, yaani huyo mfalme ndiyo atanataka kuona utamaduni wa kiislam ndiyo bora duniani? Abaki nalo hilo darsa
Waliokuwa wanapewa hilo darsa ni bunge la Ulaya ambao 95% siyo Waislam.

Wewe kama siyo Muislam lisikilize darsa japo uelewe ni nini Uislam kutoka kwa Muislam siyo kudanganywa na lgbtq wanaoeneza uongo kuhusu Uislam na Ukristo.



Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Pitia post yako fanya editing uandike vizuri ili tukuelewe.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Kuna vitu mnadanganyana kanisani ngoja nikufundishe Leo

Mwanzo 15:3
Abramu akasema, Tazama, hukunipa uzao, na mtu aliyezaliwa nyumbani mwangu ndiye mrithi wangu.
Mwanzo 15:4
Nalo neno la Bwana likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakayekurithi.
Mwanzo 15:5
Akamleta nje, akasema, Tazama sasa mbinguni, kazihesabu nyota, kama ukiweza kuzihesabu. Akamwambia, Ndivyo utakavyokuwa uzao wako.

Mungu anamwambia Ibrahim mtoto atakaye kurithi atatoka katika viuno vyako na nabii Ishmael ndio mtoto wa viuno wa Ibrahim

Mwanzo 16:2
Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, Bwana amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Mwanzo 16:3
Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.
Mwanzo 16:4
Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.


Na hii ndio ahadi ya Mungu Kwa Ishmael

Mwanzo 16:11
Malaika wa Bwana akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana Bwana amesikia kilio cha mateso yako.
Mwanzo 16:12
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.


Kama unao ushahidi kuwa Isihaka ndio mtoto wa viuno weka hapa tuone maana mandiko yote yanasema Isihaka ni mtoto wa ahadi kama vile Yesu
 
Ukristo ni ushoga na chuki
Mimi naamini huo siyo Ukristo, hiyo ni dini mpya ya kishetani "lgbtq" iliyopenyezwa kwenye Ukristo na sasa inafanyika bidii kuipenyeza kwenye Uislam.

Naamini pia, lgbtq wanachochea migongano na migogoro kwa kupenyeza chuki huku wakijificha kwenye pazia la Ukristo na Uislam.


Hata kwenye huu uzi ukiona lugha siyo za malumbano ya hoja kwa ustaarabu, elewa kuwa huyo ni lgbtq, siyo Muislam wala Mkristo. Ukitaka kujuwa Muislam ni nani, sikikiza post #1.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Exactly
 
Sawa, kabisa.
Allah Apostle say: 'Whoever wants to see Satan should look at Nabtal.' He was a sturdy BLACK man with long flowing hair, inflamed eyes, and dark ruddy cheeks

Sahih Muslim 5:2334
 
Blacks wapuuzi sana. Makenge kabisa wale
BLacks, Waislam na Mashoga...haya ni makundi maakum, ukiyagusa haya unalo.
Hata wanawake na watoto siku hizi wame advance yamebaki makundi hayo
Waislam wamekukosea nini?


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Nyiny kweny mabungw yenu mna ruhusu wengine kuwaelimisha kuhusu imani zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…