Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakubaliana na uwepo wa wanefili. nikikataa ntakuwa sinamaana ya kuamini bibilia.Lkn si unakubali uwepo wa Wanefili je wakitokea wapi?
Hebu nitafsirie hapohilo bandiko nimelitoa mahali kuleta mtazamo mpya juu ga wanao sema wana wa Mungu ndio malaika. Nimeomba ushahidi wa wapi ktk biblia unaonesha wana wa Mungu ndio malaika waasi sijapata mpaka sasa.
Impongo.Mchawi Mkuu.
Kwa andiko hili Mimi sikubaliani na wewe
[Wewe mjamaa!
Inshu ni kwamba
Wewe unasema wanefili n product ya Wana wa mungu ambao ni uzao wa Seth
But me nasema hao majitu ni uzao wa malaika waasi mbona history Na vitu vipo wazi]
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.
Mwanzo 6 :4
Mkuu soma biblia kwa tafakuru KUU!mitale na midimu.
Hili andiko linamaliza ubishi wa wanefili labda inahitaji tafakuri pana na weredi wa hali ya juu
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.
Mwanzo 6 :4
naunga mkono hoja ya wanefili kutokuwa wana wa majini/malaika/mapepo bali walizaliwa na wanadamu tu.mitale na midimu.
Hili andiko linamaliza ubishi wa wanefili labda inahitaji tafakuri pana na weredi wa hali ya juu
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.
Mwanzo 6 :4
umekubali kuwa nefili ni uzao wa wana wa Mungu?mitale na midimu.
Hili andiko linamaliza ubishi wa wanefili labda inahitaji tafakuri pana na weredi wa hali ya juu
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.
Mwanzo 6 :4
kwa Angeles nineanza kupata mwanga. Tumalize na hilo la wanefiliHebu nitafsirie hapoView attachment 762064View attachment 762066
hivi unajua ukienda kanisani unakua umeenda kujihudhurisha mbele za Bwana?Mchawi Mkuu. Tatizo una
[Hebu nitafsirie hapo]
soma kwa kuridhisha nafsi haumizi kichwa kugundua halisi ulichokiandika hakileti mktadha wa kuwa malaika ni wana wa Mungu.
6 Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujihudhurisha mbele za Bwana, Shetani naye akaenda kati yao.
Ayubu 1 :6
Sasa mkuu kama ni uzao wa binadamu kwa nini wao wakatenganishwa jina lao wakaitwa Nephil na wassitwe binadamu yaani mi nataka nijue asili yao hawa viumbe walitokana na nini?nakubaliana na uwepo wa wanefili. nikikataa ntakuwa sinamaana ya kuamini bibilia.
Ila siamini kama ni hybrid ya malaika na mwanadamu.
variation ya species za binadamu kwa size, rangi, mwonekano ni kitu cha kawaida. hivyo naamini ni zao la binadamu.
ndio maana leo tunajadili Nephili hatujadili mbilikimo walitoka wapi.
mkuu kwani nefili inamaanisha nini?Sasa mkuu kama ni uzao wa binadamu kwa nini wao wakatenganishwa jina lao wakaitwa Nephil na wassitwe binadamu yaani mi nataka nijue asili yao hawa viumbe walitokana na nini?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jamani haya yanawezekana maana hata toothpick walizokuwa wanatumie enzi hizo ni kubwa sana kwa sasa unaweza kuzifananisha na nguzo ya umeme.
Ni kweli...walikuwa wakiamua kula nyama, sometimes wanarushia ng'ombe mdomoni kama sisi tunavyorushia karanga.Jamani haya yanawezekana maana hata toothpick walizokuwa wanatumie enzi hizo ni kubwa sana kwa sasa unaweza kuzifananisha na nguzo ya umeme.