Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
Mwanga upi uliopata!kwa Angeles nineanza kupata mwanga. Tumalize na hilo la wanefili
Twende taratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanga upi uliopata!kwa Angeles nineanza kupata mwanga. Tumalize na hilo la wanefili
Impongo. Biblia soma kwa kuelwaMchawi Mkuu. Tatizo una
[Hebu nitafsirie hapo]
soma kwa kuridhisha nafsi haumizi kichwa kugundua halisi ulichokiandika hakileti mktadha wa kuwa malaika ni wana wa Mungu.
6 Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujihudhurisha mbele za Bwana, Shetani naye akaenda kati yao.
Ayubu 1 :6
kuwa ndio wana wa MunguMwanga upi uliopata!
Twende taratibu
Huyo anasoma biblia then anaitafsiri ki binadamu or ki uhalisia ndiyo maana anajikanganyahivi unajua ukienda kanisani unakua umeenda kujihudhurisha mbele za Bwana?
Asili yao ni kutokana Na fallen Angel walioasiSasa mkuu kama ni uzao wa binadamu kwa nini wao wakatenganishwa jina lao wakaitwa Nephil na wassitwe binadamu yaani mi nataka nijue asili yao hawa viumbe walitokana na nini?
Na Wana wa mungu umegundua n kina nankuwa ndio wana wa Mungu
kwa mujibu wa maelezo uliyo weka pale juh kwa kizungu ni kuwa wana wa mungu kwa tafsiri nyingine ni Angels.Na Wana wa mungu umegundua n kina nan
Hahahahaa safi sanaaa!kwa mujibu wa maelezo uliyo weka pale juh kwa kizungu ni kuwa wana wa mungu kwa tafsiri nyingine ni Angels.
Hahahahaa safi sanaaa!
Nadhani ubishi umeisha!
Mlikuwa mnanibishia!.
Haya leta swali lingine!
Asante sana kwa somo
Mkuu!japo bado naendelea kutafiti ukweli juu ya wana wa Mungu ni nani? hivyo siwezi kubali moja kwa moja.
swali ni
je hao ndio walijitwalia mabinti wa wanadamu?
nitarudi kesho panapo majaaliwaMkuu!
Ilikuwa hivi!
Malaika waasi chini ya azael walitua katika mlima flan hivi!.
Baada ya kuona bint za wanadamu
Wakawataman! Kumbuka Lucifer alikuwa Na Vita ya chini Na Mungu!.
Ukija nitamalizianitarudi kesho panapo majaaliwa
Zitto junior Nakuthibitishia Malaika hawezi kuzaa na mtu na mbinu aliyoitumia Mungu kumleta Yesu Malaika haiwezi. Maana Mungu alitoa nafsi moja ambayo ndiyo yesu ili malaika afanye hivo ajiingize mwenyewe. sasa ataweza??Mkuu hakuna anyepotosha kwani kuna mahala nmeandika malaika walizaa na binadamu?? Kwenye mada yangu maana wote tunajua wanefili ni uzao wa cain na seth likowazi kabisa ila Nimeleta hiyo hoja ya MALAIKA baada ya mchangiaji mmoja kusema malaika hawezi kumzalisha mwanadamu ndio nkauliza Yesu aliwezaje kuzaliwa bila maria kulala na mwanaume?? Kama alipata kwa kupandikizwa tu na roho mtakatifu je malaika hawawezi pia..... Ni swali tu kusaidiana hakuna upotoshaji
Kingine nmesema kma hao malaika waliweza kwenda kwa Abraham kwa muonekano wa kibinadamu na walifanya kila kitu ambacho mwanadamu anaweza kufanya kwanni usiamini pia wangeweza hata kulala na mwanamke??
Haya ni maswali ya kujiuliza tu so hakuna haja ya kutoa kashfa kuwa nani mpotoshaji nani sio ni kueleweshana tu
Siri zilizopo duniani niKwenye hii dunia kuna kitu kimoja ambacho binadamu tumefichwa. Na sijui ni kitu gani....
Mkuu huo uzao wao ni wakubwa kwa maumbo kama hao wa zamani au?Hapana kiongozi
Hawa wanefili uzao wao Bado upo Na unaendelea Ku exist katika Dunia ya Leo!
Malaika waaasi baada ya kushuka Na kuzini Na dada zetu!
Walitimuliwa mbinguni Na wapo Na adhabu yao siku ya mwisho
Also tambua kuwa Super Natural aliamua kuangamiza Hawa majitu coz ya kulinda utaratibu !Na mfumo wa ulimwengu!
Mkuu mwana wa Mungu inatafsiri tofauti kwa kila kifungu inapotajwa sasa kwa muktadha wa job na zaburi na daniel wana wa Mungu ni MALAIKAzzt Junior hii unaizungumziaje?
Hapana!Mkuu huo uzao wao ni wakubwa kwa maumbo kama hao wa zamani au?
Mbona hatujawahi kuwaona?
Hhahhahhh.. We unavyoona Wana wa mungu watashindwa kujiweka kimaumbo sawa na hawa wa sasa?Binadamu wa sasa hawataweza kuhimili nanihino yao maana wao walikuwa majitu makubwa mno