Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Narudia Tena wana wa Mungu ni kizazi cha Sethi wana wa binadamu ni kizazi cha ndugu wa Sethi na wanefili ni kizazi cha Kaini.

Wengine wanajua kabisa Adam alipata kuzaa watoto 40 mara 20 kila uzao pacha ni dume na jike.

Hata ugomvi wa kaini na Abili ilikuwa mke Abili alitaka kumuoa pacha wa kaini kaini akamwambia muoe dadako dadangu mzuri hivi, wakwako mbaya kila mtu aoe dada yake. na hapo ndio wakamwambia Adam, Adam akasema Abili uko sahihi kaini akahisi haki haijatendeka, Adam akasema basi tumuulize Mungu wakaomba wakanuia wakaweka sadaka kila mtu alitwaa katika kazi yake mfugaji aliweka mnyama na Mkulima aliweka mazao, Kwa kuwa Abili alikuwa sahihi Mungu akaitwaa sadaka Ya Abili utata ukaisha lakin kwa kuwa kaini hakuridhika na alichukia ndipo shetani akamjaza hasira na kumpa mbinu za kumuua ndugu yake kabla hajamuoa dadake, Kaini akatimiza Lengo la Shetani. Abili akafa ndipo Mungu akahamishia Baraka kwa Uzao uliofata yaan Sethi. sijui niongeze nini.
Mkuu nikubali tu leo umenifunza kitu kipya sijawahi kukisikia kabisa kuwa ugomvi wa cain na abel ulianzia kwa sketi!!! Duh you're a real great thinker ahsante kwa elimu hii adimu mkuu
 
Jamani haya yanawezekana maana hata toothpick walizokuwa wanatumie enzi hizo ni kubwa sana kwa sasa unaweza kuzifananisha na nguzo ya umeme.
Dah, JF ni kiboko, kweli nimefurahi kwa hiyo comment yako. Tooth pick = nguzo ya umeme
 
Mkuu nikubali tu leo umenifunza kitu kipya sijawahi kukisikia kabisa kuwa ugomvi wa cain na abel ulianzia kwa sketi!!! Duh you're a real great thinker ahsante kwa elimu hii adimu mkuu
Ile kusema kuwa mwingine alitoa sadaka iliyonona mwingine akatoa Ili dhaifu kuna mtu alisema ile ilikuwa target ya watu wapiga dili kanisani lakini uhalisia ni huo. Hivi kikawaida tu fikiria eti we ubarikiwe mi nichukie hadi niwaze kukuua ili nipate nini labda??

Lakini kuhusu mke nakuua aisee ila nikuue kisa unabarikiwa ni uongo.

Njoo kwenye maisha ya kawaida mtu anayebarikiwa kwenye familia hutegemewa sana na kupendwa sana na kuombwa msaada sana. hivo navoona Abili angependwa na kuombwa msaada na ndugu zake. Lakini Niambie ukweli kutoka moyoni kaka au mdogo wako akikuingilia kwa mkeo utamfanyaje??
Ndugu wangapi wameuana kisa mapenzi wengine wameua wazazi ila sijawahi kusikia Ndugu anamuua ndugu yake kisa ndugu anabarikiwa labda atake kumuibia ila sio kwa baraka na Kain asingemaindi maana kuchunga tu hajui yeye alikuwa Shamba boy[emoji120]
 
The so called Great Flood is a myth. There was no such a thing like Great Flood. And for your information kuna visa zaidi ya kumi na tano vinavyo fanana na kisa cha nuhu ambavyo vilitokea maelfu ya miaka kabla ya kutokea kwa kile kinacho itwa Gharika kuu....15 FLOOD MYTHS SIMILAR TO THE STORY OF NOAH
Ni kweli kabisa Mkuu, Bible yenyewe ina alot of discrepancies, from creation, to flood, to Ruth, to Exodus etc.
 
Nadharia No2 mkuu naipinga japo sio msomaji wa bible vizuri ,ila kibinadamu.

Hata angekuwaje hivi kama inavyosema biblia kuwa maji yalijaa duniani kote mikono kumi na tano (mikono kumi na tano ya wakati huosio sasa) ina maana yalikua maji marefu yenye nguvu unadhani kuna kiumbe kingeweza kabisa kushika safina ili kisiangamie kingali nje ya safina?


Na hio hoja ya kusema kuwa watu wangemvamia.. mkuu maji unayajua nadhani hivi yanavyojua kuwa na nguvu mtu unaweza kumvamia mwenzio? au hata kufikiria kumvamia bila kujiokoa.. Haiwezekani kwakweli.
Tuelimishane vizuri
Hio nadharia ya 3 naweza kuikubali ina make sense mkuu.
Pia safina isingeweza kuhimili mvua ya siku 40 usiku na mchana, pressure ingekuwa kubwa sana sana. Na hii hadithi utaikuuta bara Asia, mashariki ya kati n.k. The same story na kila upande wameisimulia kivyao. So simply this is a myth.
 
Eti Kipanga Boy Vipi mbona kila nikiandia Uzi zangu za Mahaba huwa hazionekani? Au nimetengwa kama Father Dr. Alex Malasusa na JF??
Hata mi sielewi mkuu juzi nilitaka kuanzisha uzi unaotaka mjadala wa aina ya wake wa kuoa kulingana na majukumu hao kwa sifa zao mfano sifa za askari anafaa kwa mazngira gan au nesi au ticha hakim kwani niliiona sasa. ila wacha hapite hapa tuna mada nzito sana tena ya kukeshea ikibidi.
 
Kuna viongozi wakubwa wa mataifa hapa duniani
Ni mifano hai ya mbegu ya nephilism!
Kwa kuanzia ,hivi unajua kuwa G.Bush ni moja wapo ya mbegu ya hao wanefili?
Hata JPM ni mbegu ya wanefili kabisa.
 
Nilikua nataka nisome hadi mwisho lkn umenimaliza poz yani malaika kazaa na mwanadam?? Hii haiko sawa jaman sisi tunaambiwa malaika hanaga jinsia ngoja tu niishie hapa.
Si kwamba malaika hana jinsia tu, bali hakuna kitu kinachoitwa malaika, ni hadithi za kimapokeo tu.
 
Hawa wanefili ni matokeo ya malaika kuzaa na binadamu na inasemekana waliangamia na hawapo tena
Kwanini hawa malaika waliozaa na binadamu huwa hawashuki tena duniani na kuja kuzaa na mabinti wengine baada ya gharika hadi mpaka sasa?
Nini kimewazuia
kwa mujibu wa Enoch,walifungiwa mbingu ya ngapi huko sijui ili wasiendele. kueneza uovu duniani.
 
Kwa Historia hiii nitakataa katakata mpaka nakufa
Kiukweli hivi vitabu vyetu vitukufu vinatukanganya kila kukicha


Ukifunua ukurasa huu, kimeandkwa hivi.

Ukifunua ukurasa ule, kimeandkwa vile

Tena tofauti kabisa na kule mwanzo

Yaan inafkia hatua
Mpaka tunakosa imani na hv vitabu vyetu

MAANA
VINAJISAPPOTI NA KUJIPINGA VYENYEWE.
 
kuna jambo linakanganya!! kama unaamin kwamba kuna gharika ilitokea bas huna budi kuamini kuna Mungu. ukiamin juu ya Mungu maana yake unaamini Mungu ni mkuu kuliko huyo Og!! hivyo bas iweje apone na huku lengo la Mungu ni kuangamiza kizazi chote kitakachokua nje ya safina??

lugha rahisi huyu Og alimshinda hadi Mungu. hiyo haiwezekani. ila asante kwa habar yenye kufikirisha
Safi sana!
Hii hoja INA mashiko sana.

Yapaswa kutolewa Majibu
 
Hapo kitombeo hakijasimama, basi ata wanifeli wa kike walikuwa na bonge la papuchi haki ya mtume...!
Hahaha....

Aisee,

Najenga picha;
Ningempata demu mmoja wa KINEFILI ningewaletea mrejesho.

Najaribu tu kuwaza tu,

Binadamu wa sasa tulivokua addicted na misambwanda.

Mimate itakavokujaa mdomoni;

Pale Utakapopishana na demu Mnefili
"Mwenye bonge la Chura"

Afu maskioni ndo una bonge la headphone,

unaskiliza lile goma la
" mwana fa&AY- Bado mi nangoja ageuke"
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji115] [emoji115]
Duh! MAISHA NI MURUA KABISA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu tuliambiwa watu wataachana na neno, wageukie hadithi za kutungwa na philosophical ideas.
ni hatari sana kujadili mambo ya bibilia na kuyapa authority sawa na nadharia nyingine.

Kitendo cha bibilia kusema walikufa viumbe wote nje ya safina. na Yesu akapigilia msumari baadae. mada ya kwamba kuna lijamaa kubwa sana liliponyoka adhabu ya Mungu utadhani Mungu alikuwa anacheza kombolela na viumbe wake ilipaswa ijadiliwe kwa nadhalia nyingine bila kuhusisha bibilia ambayo huo mjadala ilishaufunga. chochote hai chenye ufanano na wanefili si wanefili wa kabla ya gharika.

maoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji106]
 
Mkuu mbona hata mimi naelewa hivyo kama ulivyosema yaani Wanefili si Malaika ila walitokana na Malaika walioshuka dunian na kuzaa na wanawake
Aisee,
BIBLIA NI PASUA KICHWA

Hii kitu ni
Equivalent to zile sentensi za:-
"Yesu ni Mungu"

Then;
"Mungu hafananishwi na kitu chochote"

Au
"Usimwabudu Mungu mwngn tofauti na Bw.Mungu wako"


Baada ya hapo,utaambiwa

"Yesu ni mwana wa Mungu"

Then;
"Mungu hakuzaa wala kuzaliwa"

JAMANI;
HAYA MAANDIKO YANATUCHANGANYA SANA

YAAN
INAFIKIA HATUA SASA MPAKA TUNAANZA KUWAZA KWA SAUTI VITU VYA AJABU AJABU;
(Mtanisamehe sn km ntawakwaza waungwana)

" Hizi dini hizi, inawezekana ndo zilikua siasa moto moto za miaka ile"

"Hizi biblia/Quran hizi, inawezekana ndo zilikua ilani za uchaguz madhubuti miaka ile ya kale"

"Ndo maana wakoloni waliwatanguliza kwanza wamissionari kutuletea hizi dini waafrica ili kutulainisha kwanza nyoyo zetu tukijiandaa kuupokea ukoloni KWA mikono miwili"

Bado nazid kujiuliza;

" lile Taifa letu teule&watu wake (Israeli) ambalo mungu alilipigania kulilinda&kulitetea sana miaka hiyo kama biblia inavotuelekeza,

Sasa mbona kiuhalisia watu wake mpk hivi sasa watu wake (wayahudi) hawaamini kabisa katika Yesu Kristo wala Ukristo wenyewe? "

Hili swali huwa lnaniumza sana KICHWA.

Na kama waisraeli hawaamini,

Sasa mbona mungu anazidi tu kuwaneemesha wao tu kila siku?

Wakati sisi waafrica wafia dini&IMANI tunazidi tu kua Maskini?

Nao Mungu si angewapiga tu lile Gharika kama lile la Nuhu tubaki wale tu watiifu Maisha yaanze upya?

NAjiuliza TU KWA SAUTI, Mwenye majibu tafadhari.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom