zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
- #381
1.Nimeelewa kuwa ni kizazi ndio nasema kwanini wahesabu kizazi cha SETH na sio Cain au watoto wengine wa Adam??? Why itumike MTU wa saba ilihali adam alizaa kizazi tofauti na cha Seth hivo bado hakimfanyi Enoch kuwa wa 7 au 8 sababu inaonekana wazi kabisa biblia imekitambua kizazi cha SETH pekee kuwa ndio WATU kuendana na mstari huunakupata mkuu, inahitaji tafakari ya neno na kuomba Mungu atusaidie.
Mfano Ukisoma 1Nyakati 1:1 inaonyesha kuwa HENOKO ni mtu wa saba. tunaweza kusema Yuda kusema mtu wa saba aliitolea hapa.
"1/Adam, na 2/ Seth, na 3/ Enosh; na 4/ Kenani na 5/ Mahalaleli, na 6/ Yaredi na 7/HENOKO.
ukweli hadi kufikia henoko kulikuwa na maelfu ya watu tayari wameshazaliwa.
amesema ni mtu wa saba kutoka adam, hajasema mtu wa saba kuzaliwa tangu adam. Yawezekana alimaanisha kizazi cha saba "seventh generation''.
baadhi ya commentators wanasema hivyo.
(((((((( Je kma definition ya biblia kwa MTU ni hii kivp basi Ogu atatambulika kma mtu if at all watoto wengine wa adam akiwemo cain hawakutambulika kma WATU?? ))))) sijaelewa hapa kiongozi.
Je kma definition ya biblia kwa MTU ni hii kivp basi Ogu atatambulika kma mtu if at all watoto wengine wa adam akiwemo cain hawakutambulika kma WATU??
2.Hapa nliuliza kama biblia inatambua MTU kama ni uzao wa SETH je si ina maana Ogu anatambulika kma mnyama ivo kuna uwezekano na yeye basi alipona kwenye gharika kwa kuwa Nuhu alimchukua kama moja ya MNYAMA hivyo kwa maneno ya YUDA tunaweza conclude kuwa waliopona kwenye gharika ni WATU NANE (waliotoka kwa seth) na wanyama kadhaa walipona kwenye safina (Uzao wa Cain kma Ogu na wengineo kma mke wa Ham n.k) kumbuka watoto pia hawakuhesabiwa hapa!!!
Umenipata hapo nachouliza??