Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

hivi kwanini hizi story za kale za wazungu tunalazimishwa kuamini ni matukio yaliyotokea kweli lakini zile za kibongo za hadithi hadithi tunaaminishwa ni hadithi tu???nakubali watu wenye maumbo makubwa waliwahi kuwapo lakini hii size inayoelezwa sitaki kuamini!!katika hadithihadithi Wanefili si ndio Mazimwi???
 
Annunaski ni viumbe washenzi au piece tu?
annunaki inasemekana wapo poa tu[emoji3][emoji3]
na inasemekana ndio waliowapa binadamu elimu ya kutengeneza vitu kama zile pyramids za zamani
Wanasema huwa wanakuja kila baada ya miaka 3600 kutoka huko anga za mbali
 
Kwamba Abili na Caini waligombania papuchi?

Mbona biblia haisemi hivyo?
Mkuu biblia haielezi kila kitu hata Adam alikuwa na watoto zaidi ya seth na abel na kumbuka kabla ya seth kuzaliwa kulikuwepo na dada yake ila hakuna mahala anatajwa kabisa!!!! So ukitaka kujifunza zaidi usijifunge tu kwenye biblia kumbuka vitabu vya manabii walioandika biblia ni vingi sana ila walichagua vichache tu ambavyo ni vya muhim vingine vimeachwa

Mfano ukisoma kitabu cha jasher utagundua kitabu cha mwanzo ni summary tu maana jasher imeingia deep sana kwenye story ya mwanzo wa dunia ila kitabu cha mwanzo kinapita juu juu

Kuna watu wanasema hivi vitabu vilivyoachwa eti vya kishetani ndio maana vimeachwa ila cha kushangaza waandishi wa biblia kadhaa wanavinakili mfano Yuda alinakili baadhi ya mistari kutoka kitabu cha Enoko vilevile hata Joshua kwenye biblia alinakili maneno kutoka kitabu cha Yasher ssa kma hao wahenga wa imani walisoma hivo vitabu kwanni sisi tukivisoma tunaonekana wapinga kristo!!! Nini kinafichwa??

Cc Malcom Lumumba mitale na midimu Mchawi Mkuu Kipanga boy 911sep11
 
Sasa nimeamini....na hivyo vitabu vilivyoachwa ndo vina ukweli wote! Ila kwa manufaa ya watu fulani humu duniani vimefichwa!

Nasikia yule jamaa aliyechora mchoro wa monalisa ( sijui anaitwa Da Vinci) wakati anafanya kazi ya architect pale Vatican aligundua siri nyingi mno akabaki kuduwaa

Alisema ukweli umefichwa ila uwongo ndo umetamalaki duniani!
 
nimekupata vizuri mkuu, hasa kwenye hitimisho pametulia zaidi.
ninaking james yangu hapa yenyewe hata chakula inaita nyama (meat).
sina reference za kigiriki na kiebrania, zaidi huwa natafuta kwenye websites zinazotoa ufafanuzi wa neno kwa neno.
Taadhali ni muhimu katika kujadili huku ukiwa na backup ya ukweli. Binafsi naamini Bibilia ina ULTIMATE AUTHORITY kwenye maisha yangu ya Imani, chochote nje ni assumption kama zinaumana na bibilia naziamini kama zinapingana bibilia inabaki kama mamlaka kuu.
Natambua kuna maandishi mengi nje ya bibilia ambayo yanapewa hadhi sawa na bibilia lkn contents zinakinzana na bibilia. nimejiwekea wigo wa bibilia pekee.

Kuhusu suala la Tuiache bibilia ijitafsiri kusema wale ni malaika au sio malaika inaweza ikawa na impact ndogo katika imani. Lkn nadhalia ya wale kuwa malaika mkuu inafungulia mafuriko ya mafundisho tata kuaminika.
1: Itakutaka uamini kitabu cha Enoch &co ambacho kina contradictions kibao.
2:Bibilia inasema mwanadamu nimekuumba punde kidogo ya malaika, akiwepo nephili ambaye ni hybrid wa malaika maana yake atakuwa na intermediate ability, hivyo kama ambavyo majini na mapepo hayakufa katika mafuriko kuna uwezekano akawepo huyo mdau OGU kukwepa hiyo adhabu ya Mungu. Hii inahafifisha uwezo wa Mungu kuwa wanadamu hao wanaweza kukwepa adhabu ya Mungu kiujanjaujanja.
3:Itabidi tukubaliane na hadithi zilizopo uswahilini kuwa flani alizaa na jini.
4:Itabidi tutlie mashaka authoritative statement ya yesu kuwa Malaika hawazai, wala hawana hizo habari.
5:Itatutaka tujiulize hilo zoezi la mapenzi ya malaika na wanadamu lilikwamia wapi, maana baada ya gharika majin na malaika walikuwepo, na hao wanadamu wapo hivyo hadi kesho tunaweza kudate malaika na majini. Tutaipa mzigo bibilia kutoa majibu ambayo tayari yapo kwenye vitabu vinavyopingana na bibilia.

mtazamo kiongozi.
Watu mna mawazo jamani yaani unawza hadi natabasam[emoji122]
 
Mkuu biblia haielezi kila kitu hata Adam alikuwa na watoto zaidi ya seth na abel na kumbuka kabla ya seth kuzaliwa kulikuwepo na dada yake ila hakuna mahala anatajwa kabisa!!!! So ukitaka kujifunza zaidi usijifunge tu kwenye biblia kumbuka vitabu vya manabii walioandika biblia ni vingi sana ila walichagua vichache tu ambavyo ni vya muhim vingine vimeachwa

Mfano ukisoma kitabu cha jasher utagundua kitabu cha mwanzo ni summary tu maana jasher imeingia deep sana kwenye story ya mwanzo wa dunia ila kitabu cha mwanzo kinapita juu juu

Kuna watu wanasema hivi vitabu vilivyoachwa eti vya kishetani ndio maana vimeachwa ila cha kushangaza waandishi wa biblia kadhaa wanavinakili mfano Yuda alinakili baadhi ya mistari kutoka kitabu cha Enoko vilevile hata Joshua kwenye biblia alinakili maneno kutoka kitabu cha Yasher ssa kma hao wahenga wa imani walisoma hivo vitabu kwanni sisi tukivisoma tunaonekana wapinga kristo!!! Nini kinafichwa??

Cc Malcom Lumumba mitale na midimu Mchawi Mkuu Kipanga boy 911sep11
Mkuu biblia haielezi kila kitu hata Adam alikuwa na watoto zaidi ya seth na abel na kumbuka kabla ya seth kuzaliwa kulikuwepo na dada yake ila hakuna mahala anatajwa kabisa!!!! So ukitaka kujifunza zaidi usijifunge tu kwenye biblia kumbuka vitabu vya manabii walioandika biblia ni vingi sana ila walichagua vichache tu ambavyo ni vya muhim vingine vimeachwa

Mfano ukisoma kitabu cha jasher utagundua kitabu cha mwanzo ni summary tu maana jasher imeingia deep sana kwenye story ya mwanzo wa dunia ila kitabu cha mwanzo kinapita juu juu

Kuna watu wanasema hivi vitabu vilivyoachwa eti vya kishetani ndio maana vimeachwa ila cha kushangaza waandishi wa biblia kadhaa wanavinakili mfano Yuda alinakili baadhi ya mistari kutoka kitabu cha Enoko vilevile hata Joshua kwenye biblia alinakili maneno kutoka kitabu cha Yasher ssa kma hao wahenga wa imani walisoma hivo vitabu kwanni sisi tukivisoma tunaonekana wapinga kristo!!! Nini kinafichwa??

Cc Malcom Lumumba mitale na midimu Mchawi Mkuu Kipanga boy 911sep11
mkuu mimi vitabu vya Jasher na Enock na apocalipse books zote sizipi mamlaka sawa na bibilia.
Ukiziingiza zitaibua Contradiction ambazo zitaondoa hata maana ya bibilia nzima.
summary ya mwanzo inanitosha kabisa.
kuhusu yuda kuvicopy na wazee wa zamani hapo huwa inaleta debate kubwa sana, maana wapo wengi wanaamini vilitungwa kiujanjaujanja na kuwa backdated ili vipate authority na vionekane kuwa vilicopowa kwenye bibilia.
mjadala huo umo humo lkn kwa maoni yangu huwezi kuviamini katika hadhi sawa na bibilia alafu ikabaki unamwamini Mungu katika viwango vya bibilia. kwanza hakiwepo hata kwenye canon za wayahudi nadhani.
Pia ni kweli kuna vitabu vingine vingi ambavyo vimekuwa refered na manabii wa kwenye bibilia lkn havikujumuishwa kwenye bibilia. ikiwa vinapatikana mahala na havikinzani na maandishi ya bibilia ni jambo jema.

maoni.
 
Ukweli unafichwa na mkumbuke biblia inasemaga ukweli na Adhabu ya hao walioificha kweli ipo siku ya mwisho wamefanya kondoo wa bwana wasijue lipi jani lipi tembele, na Haya yote yalipangwa kwenye Berlin Conference. Yakiwa na Target maalum. Hata vyombo vya Habari visemavyo ukweli kuhusu berlin conference huwa vinabanwa sana mfano Al Jazeera akipewa nafasi ya kujitawala dunia itajua ukweli na mtawaona waarabu ni watu wema sana na mtagundua wazungu ni watu makatili sana tena ndio manefili hayo.
 
Wana wa Mungu ni uzao wa adam...seth.....na kuendelea
Wana wa wanadamu...ni uzao wa Cain ...na kuendelea
Gharika likakipoteza kizazi cha Cain chote sababu Nuhu alikuwa bloodline ya Seth(adam)
Then ikaja BUT BUT BUT why KAANANI alaaniwe badala HAM????
Vipi kuhusu wake wa watoto wa nuhu hasa wa Ham....je alikuwa na damu ya Cain ( au alikuwa tayari ana mimba ya mtu wa uzao wa cain ambaye sio Ham)??????
Mkuu mtu akijiuliza kma seth na cain ndio wana wa Mungu na wana wa adamu je vipi kuhusu watoto wengine wa Adam ambapo hta Cain mwenyewe alienda kuishi kwao huko Nod!! Je wanaangukia upande upi???

Biblia ina mafumbo mengi sana mkuu embu soma huu mstari

Walawi 20:30
11 Na mtu mume atakayelala pamoja na mke wa baba yake amefunua utupu wa baba yake; wote wawili hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao

Nadharia hii kupitia definition hii ya kitabu cha walawi inasema Ham alilala na mama yake ndio maana mtoto aliyezaliwa yaani Canaan alilaaniwa na sio Ham..... Na nadharia hii naweza ikubali sababu hata mtoto aliyezaliwa yaani canaan alikua wa ajabu ajabu tu hta kizazi chake walikuwa majitu makubwa ya kutisha hii inaweza tokana na uzao wa ajabu kati ya mwana na mama!!!

Nadharia ya pili inasema alimlaani canaan sababu ndio unabii unaonyesha alikuja kupigwa na waisraeli na kuondolewa kabisa hapo mashariki ya kati hivyo alimtaja canaan sababu ndio atatimiza unabii wa laana ya Ham.... As u know kwenye biblia mtu akitoa laana anamaanisha inaenda hadi kizazi cha nne

Nadharia ya tatu inasema canaan ndio alimuona babu yake yaani Nuhu yupo uchi na akaenda mshtua baba yake yaani ham aone ila Ham akaishia kucheka tu so hasira za Nuhu zikaishia kwa canaan sababu ndio alikua wakwanza kumuona!!

3. Kuhusu wake wa watoto wa Nuhu haielezwi kwenye biblia ila nje ya biblia tunaambiwa ni uzao wa methuselah aliotokana na seth nyingine inadai mke wa Ham alikuwa kitukuu cha cain aliyeitwa neitamuk..... Wengine wanasema walikuwa watoto wa methuselah ila damu ya unefili iliingia kupitia mimba ambayo mke wa Ham alipewa na shamael ambaye ni malaika aliyeasi!!!! Ila hoja hii ina mashiko sababu watoto karibu wote wa Ham walikuwa majitu makubwa kuliko upande wa shem na japhet
 
hivi kwanini hizi story za kale za wazungu tunalazimishwa kuamini ni matukio yaliyotokea kweli lakini zile za kibongo za hadithi hadithi tunaaminishwa ni hadithi tu???nakubali watu wenye maumbo makubwa waliwahi kuwapo lakini hii size inayoelezwa sitaki kuamini!!katika hadithihadithi Wanefili si ndio Mazimwi???
Wanatuaminisha sababu wao walitunza maandiko sisi hatuna maandishi ndio maana hatuaminiki..... Mfano kma mngetunza maandishi kabisa na baadhi ya painting ama souvenir za uwepo wa watu wenye maajabu hapa Tanzania unafkiri wangepinga ila kwakuwa hatuandiki wataishia kutulisha yao tu alafu ya kwetu yatakufa hewani
 
Sasa nimeamini....na hivyo vitabu vilivyoachwa ndo vina ukweli wote! Ila kwa manufaa ya watu fulani humu duniani vimefichwa!

Nasikia yule jamaa aliyechora mchoro wa monalisa ( sijui anaitwa Da Vinci) wakati anafanya kazi ya architect pale Vatican aligundua siri nyingi mno akabaki kuduwaa

Alisema ukweli umefichwa ila uwongo ndo umetamalaki duniani!
Nakubaliana na ww mambo mazito mengi sana tunafichwa kwa majibu mepesi kma hayo ya kwamba VITABU NJE YA BIBLIA NI VYA KISHETANI!! Ila wakubwa wa hii dunia hata vatican wamevisoma weee na wanavitunza kwenye maktaba yao na wamejifunza mambo ya ajabu kabisa ila ssi wenzangu na mmi tukivijengea hoja tunaonekana mashetani kwa kweli kwa staili hii tutaendelea kuachwa gizani milele huku watu wachache wakibaki na ukweli wa mambo
 
mkuu zitto junior
2 samwel 1:18 inarefer maandishi yaliyoandikwa katika kitabu cha YASHARI ambacho hakipo kwenye maandiko, na hata hakijawahi kuonekana.

lkn katika historia inaonyesha kuna kazi zimewahi kufanyika na kudai wamevumbua hicho kitabu miaka ya 1394,1544,1625 na 1751 kuhusu hiki cha mwisho kilionekana kama forgery.
nadhani tukitumia kama bibilia yetu ndio authority, na vingine nje vinapaswa kurandana na mahusia ya bibilia wala visikanushe itasaidia kuleta mwlekeo mzuri,

maoni...
 
mkuu mimi vitabu vya Jasher na Enock na apocalipse books zote sizipi mamlaka sawa na bibilia.
Ukiziingiza zitaibua Contradiction ambazo zitaondoa hata maana ya bibilia nzima.
summary ya mwanzo inanitosha kabisa.
kuhusu yuda kuvicopy na wazee wa zamani hapo huwa inaleta debate kubwa sana, maana wapo wengi wanaamini vilitungwa kiujanjaujanja na kuwa backdated ili vipate authority na vionekane kuwa vilicopowa kwenye bibilia.
mjadala huo umo humo lkn kwa maoni yangu huwezi kuviamini katika hadhi sawa na bibilia alafu ikabaki unamwamini Mungu katika viwango vya bibilia. kwanza hakiwepo hata kwenye canon za wayahudi nadhani.
Pia ni kweli kuna vitabu vingine vingi ambavyo vimekuwa refered na manabii wa kwenye bibilia lkn havikujumuishwa kwenye bibilia. ikiwa vinapatikana mahala na havikinzani na maandishi ya bibilia ni jambo jema.

maoni.
Joshua 10:13
13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari? Basi jua likasimama kimya katikati ya mbingu, wala halikufanya haraka kuchwa kama muda wa siku nzima.

2 samueli 1:18
18 (kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema,Wana wa Yuda na wafundishwe haya,

Mkuu nakubaliana na ww kuwa vitajichanganya na biblia nzima ila je kwanni basi waandishi wa agano la kale walikuwa wanavitumia kujengea hoja why sasa hivi inakuwa kesi ??? Tusaidiane hapo mkuu maana najifunza mengi kupitia mjadala huu na watu makini

Cc Malcom Lumumba
 
Kitu ninachokijua kwa sehemu ndogo tu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba, Mungu akitaka kufanya jambo lake hashindwi kulifanya, huyo mnefili aliyesalia kwa kufikiri fikiri tu yaweza kuwa alikuwa mimba wakati wa gharika labda.
Kinyume na hapo yaliyobakia yote ni vigumu kukubaliana nayo kwa sababu tangu mvua kunyesha mpaka maji kuanza angalau kupungua ni zaidi ya mwaka! Sasa huyo ni kiumbe gani mwenye mwili ambaye hali wala kunywa kwa mwaka mzima kwenye dharuba nzito namna hiyo?!!!
kidogo wewe nimekuelewa lakini bado kuna mkanganyiko"" maana inasadikika kuwa huyo mtu ndiye aliyempa kampani Nuhu ya kutengeneza safina...
daaahh hizi story nyingine hzi"" haya ngoja nienndelee kuufuatilia Uzi"" huwenda nikapata mapya zaidi
 
Ukweli unafichwa na mkumbuke biblia inasemaga ukweli na Adhabu ya hao walioificha kweli ipo siku ya mwisho wamefanya kondoo wa bwana wasijue lipi jani lipi tembele, na Haya yote yalipangwa kwenye Berlin Conference. Yakiwa na Target maalum. Hata vyombo vya Habari visemavyo ukweli kuhusu berlin conference huwa vinabanwa sana mfano Al Jazeera akipewa nafasi ya kujitawala dunia itajua ukweli na mtawaona waarabu ni watu wema sana na mtagundua wazungu ni watu makatili sana tena ndio manefili hayo.
Mkuu umeongea ukweli kabisa hata biashara ya utumwa tumeaminishwa waarabu waliwatesa sana waafrika ila hatuambiwi ukatili wa wazungu waliofanyia waafrika hadi kuwapeleka kwenye maonyesho ya wanyama na kuteketeza kizazi karibia chote cha wamarekani wekundu achilia mbali wajerumani walivoteketeza karibia kabila zima la herero enzi hizo wamavamia namibia!! Na wamefanikiwa ndio maana hata leo hii Tanzania wanamuona muarabu ni tishio akirudi zanzibar kuliko mzungu anavyojileta kuwekeza zanzibar!! Ni ajabu sana
 
nimekupata vizuri mkuu, hasa kwenye hitimisho pametulia zaidi.
ninaking james yangu hapa yenyewe hata chakula inaita nyama (meat).
sina reference za kigiriki na kiebrania, zaidi huwa natafuta kwenye websites zinazotoa ufafanuzi wa neno kwa neno.
Taadhali ni muhimu katika kujadili huku ukiwa na backup ya ukweli. Binafsi naamini Bibilia ina ULTIMATE AUTHORITY kwenye maisha yangu ya Imani, chochote nje ni assumption kama zinaumana na bibilia naziamini kama zinapingana bibilia inabaki kama mamlaka kuu.

Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu.
Tuseme kwamba The BIBLE IS INFALLIBLE AND INERRANT because it was written by men but authored by The Holy Spirit. Itabaki kuwa BIBLIA na wala haihitaji Marekebisho yoyote yale: Lakini yanapokuja mambo haya kuhusiana na mafundisho mbali mbali nashauri tuyasome na tuyasome sana ili tutambue uongo katika historia uko wapi na ukweli uko wapi....
 
Back
Top Bottom