witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mi naomba uniambie kuhusu ukweli kuhusu kifo mkuu, maaana sinaga amani asee!Haaaaa hapana mkuu!
Naomba uwe free!
Uliza lolote nami nitakujibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naomba uniambie kuhusu ukweli kuhusu kifo mkuu, maaana sinaga amani asee!Haaaaa hapana mkuu!
Naomba uwe free!
Uliza lolote nami nitakujibu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushahidi Sina!
Anasema kwamba Pre-Adamic Race ilikuwa Corrupted na Lucifer na wakaanza kumwabudu. Sasa anatumia kitabu cha Ezekiel kusema kwamba Uzuri wako (Lucifer) na hekima zako ziliwadanganya wafalme wa Ulimwengu na ukasema utajiiunua juu ya nyota za Mungu (Wafalme gani hawa wanaongelewa hapa kabla ya uumbaji) Dake anazungumza vitu hadi unaweza kusema anakufuru.......Mkuu umenifikirisha sana hapo kuhusu uwepo wa pre adamic race......
Utofauti wako ni upi mkuu?Kwanza binafsi sifahamu mungu ni Nani?
Najua kuna SUPER NATURAL POWER ambayo Ina control universe
Inshu ya hao majitu Na fallen angel
Na ishu ya Seth Na Cain
Mimi naijua tofaut Na wengi humu!
Neno wana wa Mungu lilitumika hapo kwenye Biblia Asilia ya kihebrania ni neno "B'nai Elohim" ambalo sehemu zote lilipotumika lilimaanisha Malaika.
Kuna comments hapo juuUtofauti wako ni upi mkuu?
Kwa sample hii imenitia hamu sana kutafuta maandiko ya huyu jamaa hicho kitabu itabidi utufanyie mpango mkuu tupanue fikra maana hii dunia hii kuna mengi sana tunafichwa sana na tunayoelezwa hayafiki 10% ya yaliyopo kma alivyowahi kusema PLATO!!Anasema kwamba Pre-Adamic Race ilikuwa Corrupted na Lucifer na wakaanza kumwabudu. Sasa anatumia kitabu cha Ezekiel kusema kwamba Uzuri wako (Lucifer) na hekima zako ziliwadanganya wafalme wa Ulimwengu na ukasema utajiiunua juu ya nyota za Mungu (Wafalme gani hawa wanaongelewa hapa kabla ya uumbaji) Dake anazungumza vitu hadi unaweza kusema anakufuru.......
Absolutely!kuna genge dogo la wahuni (mi nawaita wahuni tu) ambao wamekuwa wakificha ukweli kuhusu huu ulimwengu. watu wamefungwa fikra zao huku wakiamini kuwa wako huru.
Shost uko vizuri...heko[emoji122] [emoji122]Kuna Wana wa Mungu na wana wa adamu.
wana wa Mungu nafikiri ni Immortal beings..wana uungu ndani yao,yani wana uwezo,sijui tuseme material ya Ki Mungu.
Yesu alipendelea kusema mm mwana wa adamu...
Mmmh we mjamaaa ntakutafuta, sijui uko bongo![emoji15] [emoji15]Ukija nitamalizia
Na impact zake zilikuaje!
Na jinsi ilivyokuwa mgawanyiko!
Kumbuka Hawa nephilism kuna wengine walikimbia Dunia! Wakaenda mbali!
Ndiyo baadhi tuna waita so called UFO's !
Mkuu mitale na midimu mie bado nashikilia msimamo kuwa kila inapotajwa wana wa Mungu tuisome kwa context husika sio general sababu kati ya hizo maana 3 unakuta kila mwandishi alimaanisha yake ila kuhusu mwanzo 6 hao wana wa mungu walikua ni wanadamu au Malaika nafkiri tuangalie muktadha alafu linganisha na huu mstariMkuu neno hilo hilo kwa Mujibu wa Israel Institute of Biblical Studies humaanisha "
wana wa wafalme, au wana wa waamuzi, pia malaika"
kuna tafsiri tatu kanganyifu hadi sasa.
1:Walikuwa ni wanadamu wana wa uzao wa Seth (naamini hii maana inaleta mantiki zaidi)
2:Walikuwa ni malaika
3:walikuwa ni tabaka flani la wanadamu watawala wenye nguvu sana.
lakini mkuu Mathayo 22:30 Yesu anasema wazi...
"Kwa kuwa katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, BALI HUWA KAMA MALAIKA WA MBINGUNI"
nashawishika kuamini wale hawakuwa malaika bali, ni watu japo kuna mahala malaika wameitwa kama wana wa Mungu.
"Zaeni mkaongezeka muijaze nchi" kuzaa ni suala la wanadamu sio malaika mkuu.
Lakini pia lawama za uasi ktk mwanzo 6 zinawaelekea wanadamu sio malaika.
kwa mtazamo wangu concept ya malaika haiingii na naona kama ni biologically imposible event, na Yesu anathibitisha hilo.
CC
zitto junior
Siku ukijua, kwanini ufe?Siri zilizopo duniani ni
1) Hewa / Pumzi
2) Maji (colouless n tasteless first and most liquid)
3) Jua
Siri ya nne ni MUNGU mwenyewe, hii ya nne siku ukijua ndio siku utakayokufa.
Asomaye na Afahamu
Dunia nyingine ipi?Yah kwanzia hao alliens Na wengineo!
Japo Mungu aliumba Dunia nyingine!!!
D😀😀
Duuh!.Mmmh we mjamaaa ntakutafuta, sijui uko bongo![emoji15] [emoji15]
Ntakusaka unitoe ufala fala nilionao!
Mbona hapo juu malcon Lumumba kajaribu kuelezea!..!Dunia nyingine ipi?
Mi niko shallow kinoma[emoji15] [emoji15]
Annunaski ni viumbe washenzi au piece tu?Hawa annunaski niliwasikia kwa mara ya kwanza kuwa walikujaga miaka mingi sana hapa duniani
huwa wanakuja na sayari yao na kuondoka kwa kila baada ya kipindi fulani.. Mara ya mwisho walikuja enzi za kina nuhu au babeli kama sijakosea
Hivi karibuni ilizushwa kuwa ile sayari ya nibiru ndio wao na wanasemekana wapo karibuni kuja tena duniani
Na ni viumbe ambao wapo advanced saana
Mkuu neno hilo hilo kwa Mujibu wa Israel Institute of Biblical Studies humaanisha "
wana wa wafalme, au wana wa waamuzi, pia malaika"
kuna tafsiri tatu kanganyifu hadi sasa.
1:Walikuwa ni wanadamu wana wa uzao wa Seth (naamini hii maana inaleta mantiki zaidi)
2:Walikuwa ni malaika
3:walikuwa ni tabaka flani la wanadamu watawala wenye nguvu sana.
lakini mkuu Mathayo 22:30 Yesu anasema wazi...
"Kwa kuwa katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, BALI HUWA KAMA MALAIKA WA MBINGUNI"
nashawishika kuamini wale hawakuwa malaika bali, ni watu japo kuna mahala malaika wameitwa kama wana wa Mungu.
"Zaeni mkaongezeka muijaze nchi" kuzaa ni suala la wanadamu sio malaika mkuu.
Lakini pia lawama za uasi ktk mwanzo 6 zinawaelekea wanadamu sio malaika.
kwa mtazamo wangu concept ya malaika haiingii na naona kama ni biologically imposible event, na Yesu anathibitisha hilo.
CC
zitto junior
Why so?Sahihi
Lakin kumbuka biblia imeandikwa kwa mtindo wa mafumbo Na code maalumu!.
Weka hapa na utupe source ulitoa wapi mkuu tujifunzeKwanza binafsi sifahamu mungu ni Nani?
Najua kuna SUPER NATURAL POWER ambayo Ina control universe
Inshu ya hao majitu Na fallen angel
Na ishu ya Seth Na Cain
Mimi naijua tofaut Na wengi humu!