Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Daah una hazina kubwa saana ila ningekuomba tu mkuu ufafanue kidogo kuhusu makazi ya hawa jamaa huko chini lkn pia kuhusu Obama,Asante sana!!
 
Utanitag mkuu hiyo mada
 
Waamori ni uzao wa nimrodi unafikiri nimrodi alikuwa nani ni yale yale majitu soma mwanzo hakunahaja ya kukimbia mbele mwazo 10:8-20
Je nimrodi si alizaliwa na kushi mwana wa hamu mzao wa nuhu je nuhu hakuwa mabaki ya gharika au nini tena
Umeelewa nilichoandika?
 
Amina ndugu,
Barikiwa sana,
Wewe endelea kumuomba mungu
Ila mimi nna muomba Mungu,
 
Mkuu popbwinyo kwanza punguza mihemko kama una hoja unaweza ileta tu kistaarabu bila kushambulia mtu yeyote humu mbona kina mitale na midimu au mkuu Eiyer wamepinga hoja yangu ila tumeeleweshana kwa vifungu na facts na mjadala umeenda vizuri tu sasa kejeli matusi ya nini tujifunze kuweka mahaba ya kiimani pembeni tunapojadili mada kama hizi

1. Kwanza toka mwanzo nimesema source zangu ni VITABU tofauti yaani biblia quran na vitabu vya wayahudi kma tanakh,torah au talmud pia pseudepigraphi kama book of jubilees,jasher,book of giants n.k sasa sielewi kwanini mada ya kihistoria nikiquote vitabu vinginr igeuke ya VIJIWENI ina maana hata historia ya nyerere itageuka ya vijiweni kisa haipo kwenye biblia??? Kwanini tunapenda kujifunga sana ina maana hiyo biblia ilishushwa tu au ulitegemea ingeandika kila kitu

Kwa mfano wwe nilikuhoji unaweza niambia biblia inaongeleaje kuhusu kifo cha ogu??? Kama haiongelei je ukitaka kujua alikufaje utafanyeje?? Kwanini hatupendi kupanua ufahamu kisa tu KWENYE BIBLIA HAIPO

Kitabu nilichoquote baadhi ya simulizi kutoka kitabu cha Yasher wwe umeita za vijiweni lakini nabii musa na waandishi wengine 3 wa biblia wanakitambua hata book of Enoch biblia kupitia kitabu cha YUDA inakitambua sasa ww ni nani kuita za kijiweni ina maana unajua sana kuliko musa au daudi ama Yuda??

Joshua 10:13
Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari

2 Samuel 1:18
18 (kama ilivyoandikwa katika kitabu cha Yashari), akasema,Wana wa Yuda na wafundishwe haya

2. Kingine hii historia ya waisraeli imeandikwa kwenye vitabu vingi tu vya kihistoria vya waisraeli na wanavitumia kma official factbook sasa iweje historia ya nchi yao wameandika wenyewe ila mtanzania wa kutoka kakonko kigoma aseme historia hiyo ni ya uongo kisa biblia haijaandika?? Kweli tumefikia hapo kiasi kwamba historia za nchi zetu tunazipuuza kisa imani za kidini?? Yaani leo hii historia ya nchi flani huitambui kisa biblia haijaandika?? Ulitegemea biblia itaandika kila kitu??

3. Kingine vipimo vya ogu niliviweka hapa kwamba alikuwa na zaidi ya futi 13 kulingana na vipimo vya muandishi wa hesabu ingawa wachambuzi wanasema kulingana na tafsiri ya orijino biblia ya kiebrania wanasema amezidi futi 28!! Sasa hiyo ya Amos nimeweka ili kuonyesha kuwa ALIKUWA mrefu na mkubwa hta kama hafikii MNAZI.... Ila kma hoja ni urefu takwimu za kibiblia unazotaka nmeshaweka ssa sijaelewa kipi unachoamua kubisha

Ni hayo tu
Barikiwa
 
Umepitia aina ya maneno waliyotumia walio ni quote?
Hebu yapitie uone km haikuwa sahihi mm kuwajibu hivyo,
Am 43 mtu ananiita mtoto kisa tu nimejibu kwa kuchelewa hoja zungumzwa,sasa ulitegemea nijibu vipi,acha unafki
 
Umepitia aina ya maneno waliyotumia walio ni quote?
Hebu yapitie uone km haikuwa sahihi mm kuwajibu hivyo,
Am 43 mtu ananiita mtoto kisa tu nimejibu kwa kuchelewa hoja zungumzwa,sasa ulitegemea nijibu vipi,acha unafki
Basi sawa mkuu ila jaribu kupunguza jazba haina haja ya kumrushia mtu maneno makali kisa naye kakurushia sasa busara yako ya 43 iko wapi?? 2 wrongs don't make a right

Uwe na jioni njema
 
Basi sawa mkuu ila jaribu kupunguza jazba haina haja ya kumrushia mtu maneno makali kisa naye kakurushia sasa busara yako ya 43 iko wapi?? 2 wrongs don't make a right

Uwe na jioni njema
Asante sana kwa kunionesha busara ya vitabuni na siyo busara halisi
 
acha kuwa mgumu mimi nimesema malaika hao wamefungwa??
Au hukuelewa nimesema aliyefungwa ni shetani na ninakazia tena ni baada ya yesu kufufuka kama nilikosea kuandika nisamehe kwa hilo mkuu
Kingine ujue kama shetani angeoparate duniani mpaka Leo ungewaona wanefili wa kizazi kipya but wanao oprate now ni malaika Walio chini yake. Tena hawana nguvu wala haki hiyo kwa sababu kabla ya agano jipya walijiamlia kumwingia mwanadamu watakavyo.ila sio kama sasa hawa malaika kukutumikisha jua umeamua mwenyewe uliza tena mkuu nakukaribisha kwa upendo
 


Kwani yesu alikufa ??? unao ushahidi ??
 
Wewe usituharibie mada, kaa kimya watu tupate ilimu, kama huamini katika hilo wewe pita hivi


Mbona unakimbia swali ki aina aina ???

Mimi nimekuuliza kama ulivyoandika , jee yesu alikufa ??? unao ushahidi ?? kuamini au kutoamini ni jambo jengine

tuwekee ushahidi yesu alikufa wapi ???
 
Mi kwa uelewa wangu nadhani mnachanganya
OGU Alitoka kwenye jamii ya amorites people
Na AMORITES ni uzao wa CAANAN mwana wa Nuhu.
Na biblia iliposema alibaki OGU kati ya Giants ni kwamba yeye ndio alikuwa wa mwisho kwa duniani kusumbua kipindi kile.
SWALI MUHIMU NI KUWA: WALIRUDIJE BAADA YA GHARIKA??
Ndio wengi tunarudi kwa Ham baba yao na mama yao ambae haongelewi na huyo mtoto wa CAANAN why alizaa GIANTS mbona watoto wengine wa HAM hawakuzaa GIANTS??
SO CAANAN NDIO SHIDA HAPA YEYE NDIO WA KUDADAVUA.....(NA WHY NUHU ALIMLAANI)...KWA CAANAN NDIO PENYE JIBU LA KWELI
 
Mbona unakimbia swali ki aina aina ???

Mimi nimekuuliza kama ulivyoandika , jee yesu alikufa ??? unao ushahidi ?? kuamini au kutoamini ni jambo jengine

tuwekee ushahidi yesu alikufa wapi ???
Sio maudhui ya mada hii
Kuna mada kibao za aina ya ubishani unaoutafuta.
Kama huoni hizo mada, basi anzisha mada yako kwenye forum ya dini na sio huku kwenye jukwaa la intelligence lenye watu makini wasiohitaji mabishano yasiyojenga
 
1 uko sahihi kabisa kwa mujibu wa biblia ila vitabu vya wayahudi wenye nchi yao alipoishi ogu wanasema alikuwepo kabla ya gharika ndio maana nikaleta uzi humu ili tujue nani mkweli nani anapotoaha.... Wanadai hata hao waamori ni zao lake yeye ndio maana alikua mfalme wao miaka yote.

2.Kingine ni kweli nakubaliana na wwe kuwa itakuwa ham alioa mwanamke mwenye damu ya kinefili ndio maana wanefili walirudi baada ya gharika ila swali langu je Mungu hakulifahamu hilo na kma alifahamu kulikuwa na haja gani kuiangamiza dunia nzima ili kuwafuta wanefili ilihali mwingine (mke wa ham) alipona ??

3. 90% ya wanefili ni kweli walitokea kwenye kizazi cha ham kupitia canaan ila usisahau pia Mizraim naye alizaa mnefili mmoja anaitwa caphtor kma sikosei na ndio alizaa wafilisti kina goliath waliokuwa wanefili pia.....

Ni hayo tu
 
SO CAANAN NDIO SHIDA HAPA YEYE NDIO WA KUDADAVUA.....(NA WHY NUHU ALIMLAANI)...KWA CAANAN NDIO PENYE JIBU LA KWELI
Hii mada kuhusu canaan kulaaniwa na sio ham ni pana sana itabidi nipandishe uzi kabisa wa kujitegemea watu wafunguke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…